UKAWA wapokea mabilioni ya pesa kutoka Ujerumani kuvuruga mchakato wa Katiba

UKAWA wapokea mabilioni ya pesa kutoka Ujerumani kuvuruga mchakato wa Katiba

Kama Wajerumanj wanatusaidia kupata Katiba ya Wabanchi na si ya CCM, tunapaswa kuwashukuru sana. Mungu awazidishie

Wananchi wapi? Wananchi wengi wameiamimi CCM ni imani yangu kuwa msimamo wa CCM ndiyo masimamo wa wananchi...!
 
Kwani upuuzi wa UKAWA unamnyima Jk usingizi? hata wakiwachukua wazungu wao wakaenda nao ikulu kwenye mazungumzo, JK atawapokea tu, ila anajua ni wapuuzi tu.

UNAZI WA KICHAMA UNAWEZA UKAKUZUZUA MPAKA UKASAHAU UNAOWAPONDA NDIO WADAU WAKO MUHIMU..AMKA...
621.jpg
 
Rudi kwenye maada kwa nini mnahongwa kuvuruga nchi yetu nyie vibaraka weusi msiojitambua?
vibaraka ni nyie magamba ambao wamebakiza mashimo tu huko kwenu na kuondoka na dhahabu wakati wananchi wa kwenu hawana maendeleo hata chembe, wameachiwa ujinga wa kulogana tu na mjanja wao ndo wewe unaeongozwa na tumbo.
 
Housejizo...kama ilishaisha why wasting you times kwenye bunge la katiba si msaini tu hela kwa siku zilizobakia mkashibe na ndugu zenu kama mlivyozoea? nothing is new kwa watanzania jinsi mnavyotunyonya....everything has its beginning, so is its end!

Acheni kutapatapa, waambieni UKAWA waache ujinga huu wa kutumiwa na mataifa ya magharibi, enzi hizo zilishapitwa na wakati
 
habari za kijinga kwa watu wajinga...magazeti kama jambo leo,tazama hazihaminiki na wanaandika uzushi tu zenye lengo la kunufaisha kundi.na hii ni dalili ya kutapatapa

Mnataka kusifiwa tu kila siku? Basi msifanye maovu...!
 
UNAZI WA KICHAMA UNAWEZA UKAKUZUZUA MPAKA UKASAHAU UNAOWAPONDA NDIO WADAU WAKO MUHIMU..AMKA...
621.jpg

Hao walikuja kwa maslahi ha taifa na ndiyo maana wanaonekana wazi wazi , sasa hawa wa UKAWA wanaojifichafisha wanataka nini? Weka nw wa UKAWA basi tuwaone waziwazi wanafanya nini
 
Ujeruma wanafadhiri kikwete nae anataka aanzishe mazungumzo nao tena. Kweli ukawa itawapa mimba mwaka huu

Umevurugwa,,,mimba si mnapeana nyinyi kwenye chama chenu..Umesahau anachokifanya mwenyekiti wenu na yule babu?
 
vibaraka ni nyie magamba ambao wamebakiza mashimo tu huko kwenu na kuondoka na dhahabu wakati wananchi wa kwenu hawana maendeleo hata chembe, wameachiwa ujinga wa kulogana tu na mjanja wao ndo wewe unaeongozwa na tumbo.

Kwa hiyo mnataka UKAWA waendeleze U-vibaraka?
 
Kama mtakumbu waungwana Sikh za nyuma walisema chadema wanapomea pesa halamu Leo ukawa .hawa jamaa wanatafuta malango Wa kutokea
 
Mmiliki wake ni yule jamaa aliyemsindikiza masogange na lile begi lililojaa kemikali za bilioni 6.
Hapo nimekusoma, anajaribu kujificha kwenye kichuguu ili maovu yake yasishughulikiwe,kwa kuwa ukitaka mambo yako yakunyookee( kuuza unga,rushwa na wizi wa kila aina) njoo ccm - by sumaye
 
Ulisema uko kundi hili eeeeeeeeee!

CCM na washirika wake wanachowaza kwa sasa ni namna gani ya kuendelea kukwapua rasilimali za taifa na kulinda utawala wao wa kiimla na sio kujenga taifa imara lenye kujali raia wake
 

Attachments

  • PM.jpg
    PM.jpg
    33.7 KB · Views: 58
Hivi CCM wanadhani hata katika nchi nyingine kuna wajinga kama wao wanaoweza kugawa pesa ovyo ovyo hata kwa mambo ya kipuuzi? Ujerumani itoe hela kwaajili ya katiba ya Tanzania kwa faida ipi inayopata? Hawa CCM hata ikitokea mjumbe wa ukawa kajamba watasema amelipwa na watu wa nje. Tunaposema CCM kuna wengi wenye akili ndogo, kauli kama hizi zinathibitisha hilo.
 
umepitwa na wakati pole sana

Basi Mbowe atakuwa amepitwa na wakati zaidi kwa sababu juzi amesema amekata tamaa na Katiba mpya na kwamba wanajiandaa na uchaguzi kutumia Katiba ya zamani
 
KAZI KULETA UZUSHI WA UKAWA..HAYA HAYAONEKANI
itv-katuni-30-and-31-july-2009.jpg
 
Kwa jinsi mnavyoweweseka manathibitisha kuwa Homa ya UKAWA ni kali kuliko homa ya Ebola.
 
Back
Top Bottom