ROBERT MICHAEL
JF-Expert Member
- Oct 23, 2012
- 5,054
- 2,858
Duh inamaana hii nchi haina usalama kiasi kwamba wanaweza kuona kitu km hicho kinafanyika na wakakaa kimya kuruhusu pesa chafu ziingie ndani ya nchi na kusababisha vurugu km wanavyodai?
Nonsense
Acha uongo wewe.Kwa maslahi ya watanzania lakini, hawa Ukawa na Wajerumani ni kwa maslahi ya nani?
Kazi ilishaisha mkileta ujinga katiba ya zamani ndiyo itakayotumika tena bila maboresho yoyote.
Madai hao yametolewa na Kundi la Tanzania Kwanza
- Wamesema mabilioni hayo yanatoka katika taasisi mojawapo nchini Ujerumani na zinapitia akaunti iiyoko Uholanzi kuingia nchini.
- Inasemekana pesa hizo zinaingia kweneye akaunti za Katibu mkuu wa CHADEMA, Wilbroad Slaa, Mwenyekiti wa CUF, Ibrahim Harouna Lipumba na Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Aikaeli Mbowe.
Source: Jambo Leo
Tanzania Kwanza chukua hatua, kamata watu maana huu ni uhaini. Lakini mkilalama kwetu sisi wananchi ambao mmezika maoni yetu katika rasimu ya katiba mnataka tuwaeleweje? Tumewapa polisi, usalama wa taifa, magereza, jeshi halafu mnalalama utadhani nyie ndio wapinzani????? Kama mnafanya porojo tu bora mungeacha maana mnazidi kujifilisi kisiasa, mnaongeza agenda za kupondwa na wapinzani maana vituko vinazidi!!! Huku mnakusanya maoni ya wananchi ya katiba mpya, jambo lililokwisha fanyiwa kazi na Tume ya Jaji Warioba, Huku mnasema Kikwete hana mpango wa kukutana na Ukawa, huku CC ya CCM inasema imeridhishwa na mwenendo wa kinachoendelea katika BMK, huku mnamuagiza kinana aendelee kutafuta muafaka, huku mnasema hamuwahitaji UKAWA akidi inatosha, huku Kikwete anasema UKAWA ni muhimu waje tuongee, huku mnasema Chadema inakufa, huku mnasema sasa inavuruga mambo, nyie vipiiiiiiiii?
Duh hii sasa mmechanganyikiwa Lowasa ni mdhamini wa UKAWA? Hebu Chabruma njoo hapa uweke mambo sawa aiseee maana hii sijaiona kama ilikua kwenye zile series zakoMkuu Thatha, hakika nchi hii inatafunwa na wengi. Hivi unajua mzee mamvi alienda nchi gani vile? Maana na yeye ni sehemu ya wafadhili wa ukawa
Hivi hujuwi kuwa jk anaakili kuliko ukawa wote anachofanya sasa anaenda kuwachekecha wakitoka wote vichwa chini kila watakachoulizwa ndiyo mkuu,ukawa ni watu wasiojitambua.Tanzania Kwanza Hamna lolote mmeanza kutapata Mkuu Wa kaya we nu kawakubali ukawa nyie majungu tu
Tusubiri tuone , kama ni uongo Ujerumani si wataitaka Tanzania iombe msamaha, ikikaa kimya manake ni kweli
Hiyo vita kapigane na shangazi yako mtu mwenye akili timamu kwa karne hii hazungumzii vita bali anazungumzia maendeleo sasa wewe kitasa bado unawaza vita kapigane na ndugu zako utosheke.Nyie ndio mtakaoleta vita nchi hii mnasikitisha sana na huu upuuzi wenu. Mungu atapambana na nyie
Halafu ukawa walianza kunongwa siku nyingi kweli kabla hata ya katiba mpya make nakumbuka yupo mzee mmoja alipewa fungu ahakikishe nchi haitawaliki akahangaika we mwisho akagota.
Wakulima walipelekwa na shibuda wasanii walienda kwa michango yao wenyewe sema lingine ujibiwe.Mbona huko mbali sana...
Wale wakulima na wasanii walilipwa ngapi au walifadhiliwa na nani ili kuwasiisha maoni BMK?
Madai hao yametolewa na Kundi la Tanzania Kwanza
- Wamesema mabilioni hayo yanatoka katika taasisi mojawapo nchini Ujerumani na zinapitia akaunti iiyoko Uholanzi kuingia nchini.
- Inasemekana pesa hizo zinaingia kweneye akaunti za Katibu mkuu wa CHADEMA, Wilbroad Slaa, Mwenyekiti wa CUF, Ibrahim Harouna Lipumba na Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Aikaeli Mbowe.
Source: Jambo Leo
Siyo kila mtu anaweza kuonana na othumani wewe kama unaweza tumeshakupa kamwambie ila sisi kazi yetu ni kuwajuza watanzania ujinga wa ukawa wanavyohongwa kuharibu nchi.Mngekuwa mnamsaidia mzee Othman kumbe ushahidi mnao wa hao wa haini,kwanini hamumpelekei?