sweetlady
JF-Expert Member
- Dec 24, 2010
- 16,947
- 8,419
sio poa tu na tamu vilevile
Tobaaaaaaa Smile!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sio poa tu na tamu vilevile
sio poa tu na tamu vilevile
wadau naombeni msaada kuhusu jambo hili! je huwa linasababishwa na nini? na ipi ni tiba?
sio poa tu na tamu vilevile
inawezekana huyo demu wako akawa na maambukizi either ni fungus au saratani ya kizazi,namshauri awasiliane na mewata ili aweze kuchukua tahadhari mapema ,harufu yoyote kwenye uke ina sababu mwambie awahi mapema,au aende ocean road hospital kupima saratani ya kizazi ni bure
mpe pole lakini kwa kuwa umesema unampenda sana mhimize awahi hospitali kabla mambo hayajaharibika
Mwezi mtukufu huu jamani, punguzeni ukali wa maneno! Wengine tumetoka njia ya msalaba dis morning, mwatutengulia swaumu ati!Kama tamu na nyuma ya ukuta kutakuwa kutamu zaidi ya asali
Afu ukafanyaje? Mpe ushauri mwenzio nae akafanye!harufu zipo nyingi, je ni kama ya dagaa wa mwaloni? Nishawahi kukumbana na harufu ya namna hiyo
Hey boy,si lazma uchangie kila thread kama huna majibu! Ameileta hapa kwa kuwa anahitaji msaada wa wataalam,sasa unamwambia akamulize mwenyewe iweje!?
hata mimi sijakubariana na wewe! Sabuni gani hiyo ? Sabuni mara nyingi huwa ni alkaline na vagina ni acidic ikitokea umezamisha soap ukeni ina neutrize ile acid na kuua (kill) normal floral kama lactosebacilli (health bacteria) na kusababisha bacteria wapya kukua na kuzaliana kama anaerobic lactosebacilli (unhealth bacteria) ambao wanashambulia na kuproduse fishy smell yani harufu inaongezeka . Hebu tupe composition ya hiyo sabuni
Hujawaombea...!!Mwezi mtukufu huu jamani, punguzeni ukali wa maneno! Wengine tumetoka njia ya msalaba dis morning, mwatutengulia swaumu ati!
Mwezi mtukufu huu jamani, punguzeni ukali wa maneno! Wengine tumetoka njia ya msalaba dis morning, mwatutengulia swaumu ati!
afu ukafanyaje? Mpe ushauri mwenzio nae akafanye!
Sabuni gani mbona husemi?inavyoelekea huijui sabuni ninayo iongelea,,ipo maalumu ya wanawake,sina biashara ya sabuni,huo ndio uwezo wako wa kufikiri ulivyokuambia siwezi kukubadilisha. hujalazimishwa kukubali ni maamuzi yako.sina muda wa kubishana na wewe
Afu ukafanyaje? Mpe ushauri mwenzio nae akafanye!
Jinsi ya kujisafisha ,na vyoo wanavotumia
imagine sehemu kama mzalendo pub choo cha kukaa,unakuta wadada wenye k za kila aina pale za kicongo wapi wapi wanenguaji,wauza k na wewe unaenda unaweka mk k wako pale ,kwa nini usipate maambukizi
kuna wadada vyoo vyote vya mjini hapa wanaweka kk zao
mimi nipo selective sana na vyoo na k yangu inakuwa safi salama na tamu