Uke kutoa harufu kali(Vaginal Odor): Chanzo, dalili na tiba zake

TARATIBU daktari.......Prescribing kabla vipimo?????

Mwende hospitali kwa daktari wa magonjwa ya wanawake kwa ushauri, vipimo na/ au dawa
Thanks alot mkuu, kwa kweli tabia ya kuandika prescription especially antibiotics ndo twatengeneza resistance ya dawa. Naomba madaktari kuwa makini hapa.
 
akiwa anaosha aingize kidole cha katikati aosha na ndani asiwe akawa anaosha nje tu
 
Atumie pia maji ya moto (siyo ya kumchubua) na akamulie ndimu au limau. Ajisafishie vizuri kila siku asubuhi na jioni. Harufu itakata tu.
 
hapo kwa sabuni mi napinga kabisa acha kufanyia k ya watu biashara

inavyoelekea huijui sabuni ninayo iongelea,,ipo maalumu ya wanawake,sina biashara ya sabuni,huo ndio uwezo wako wa kufikiri ulivyokuambia siwezi kukubadilisha. hujalazimishwa kukubali ni maamuzi yako.sina muda wa kubishana na wewe
 
hata mimi sijakubariana na wewe! sabuni gani hiyo ? Sabuni mara nyingi huwa ni alkaline na vagina ni acidic ikitokea umezamisha soap ukeni ina neutrize ile acid na kuua (kill) normal floral kama lactosebacilli (health bacteria) na kusababisha bacteria wapya kukua na kuzaliana kama anaerobic lactosebacilli (unhealth bacteria) ambao wanashambulia na kuproduse fishy smell yani harufu inaongezeka . Hebu tupe composition ya hiyo sabuni
 
nawahukuruni wooote mlionipa ushauri juu ya tatizo hili!! naenda ku-apply ushauri mlonipa then nitawatupieni majibu hapahapa! thanx u all ma people!! JF bana ndo maana naipenda! halaaaaa!!!!!
 
ulomwambia ni kweli best,mimi pia nampa ushauri wangu ingawa k yangu ipo poa kabisa
1.usafi wa eneo.awe anatumia maji masafi sometimes unakuta mtu anatumia mimaji yeyote tu kujisafishia hii ni hatari sana.mimaji ameikuta tu imekaa hajui source yake labda imechotwa kwenye kisima kichafu je?
2.nguo za ndani - kwanza ziwe safi
- pia ziwe na material nzuri mi naprefer cotton ni nghali lakini ni nzuri maana hata k inapata ventilation ventilation ya kutosha na inakuwa kavu.sio manaylon ya mchina ya buku k inasweat fangasi zitaacha kuzaana kweli
- ufuaji wa nguo za ndani uwe wa makini. swala la ufuaji wa nguo za ndani kwa watu wengi halitiliwi maanani/umakini
mtu anaoga mimaji michafu iliobaki kwa ndoo ndo anasugua tu kidogo,hasuuzi vizuri huyo anaenda kuanika sijui mvunguni, mwambie afue nguo zake vizuri anunue chupi nyeupe ndo rahisi kujua kama imesafishika vizuri.anunue na kabeseni kadogo akioga asubuhi analoweka na sabuni ya unga anaiacha jioni anafua vizuri na ahakikishe anahanika sehemu ya wazi ili zikauke vizuri
pia kipindi yupo period asiwe anakaa na pedi muda mrefu na ahakikishe anatumia pedi nzuri kuna feki
also,asiwe anatumia vipodozi huko down
lastly kwanini mnafanya zinaa na hamna ndoa?
Dude, why all the details??

Ukweli ni kwamba jamaa inabidi ajitahidi sana kumsaidia dada kuangalia namna ya hiyo vaginal care, and he can do it constructively kwa kupendekeza baadhi ya measures, lakini kama harufu ikiwa that bad, inadibi jamaa aangalie ushauri wa Dr. kunuka kwa midomo au K somethimes kunaambatana na magonjwa mengine mabaya zaidi
 
nawashukuruni wote kwa ushauri mlonipa! nitajitahid kuufanyia kazi!! itakavyokuwa ntawatupieni majibu hapa hapa!!
 
Kuna daktari mmoja hapa JF alisema akipata mgonjwa wa namna hiyo halafu ni mrembo, lazima ampige FINGA kwanza! Duh, hakikisha unaenda kwa daktari mwanamama.
 
akiwa anaosha aingize kidole cha katikati aosha na ndani asiwe akawa anaosha nje tu

Tatizo liko hapo!
Nature ina uwezo wake wa asili kufanyia usafi.Kuingiza vidole, na vitu vingine huko tena wakati mwingine bila kuzingatia usafi ndio huzalisha bacteria zaidi na magonjwa.Jiulizeni kwanini ni baadhi ya watu/tamaduni huhubiri "kuingiza vidole" huko kunako? Wapo pia wenye taratibu za kutumia makopo ya chooni kwenye vyoo vya jumla kujisafisha.Kwanini usipate magonjwa? Usafi wa huko ni muhimu ila naukubali ushauri wa Smile kuwa ni wa kisayansi zaidi.Mwanaume naye lazima awe msafi huko na mwanamke usikubali mwanaume akushikeshike huko kama hajanawa vizuri. Huko hakuna tofauti na modomoni! Utakubali mtu mwenye mikono michafu akuingize vidole mdomoni kwako?
 
ujue nini my dia tausi nimekuja kunotice wadada wengi wana tatizo la k ni kweli lakini madaktari wengi ni wa kiume eti oooh sabuni hii ni nzuri mara ingiza vidole kila asubuhi kutoa uchafu theory hii theory ile.
mimi sikubali cha kuingiza kidole,wala sabuni maana down naturally panajisafisha penyewe
wadada wawe wasafi, nguo za ndani. jinsi ya kujisafisha ,na vyoo wanavotumia
imagine sehemu kama mzalendo pub choo cha kukaa,unakuta wadada wenye k za kila aina pale za kicongo wapi wapi wanenguaji,wauza k na wewe unaenda unaweka mk k wako pale ,kwa nini usipate maambukizi
kuna wadada vyoo vyote vya mjini hapa wanaweka kk zao
mimi nipo selective sana na vyoo na k yangu inakuwa safi salama na tamu
 
hata mimi sijakubariana na wewe! sabuni gani hiyo ? Sabuni mara nyingi huwa ni alkaline na vagina ni acidic ikitokea umezamisha soap ukeni ina neutrize ile acid na kuua (kill) normal floral kama lactosebacilli (health bacteria) na kusababisha bacteria wapya kukua na kuzaliana kama anaerobic lactosebacilli (unhealth bacteria) ambao wanashambulia na kuproduse fishy smell yani harufu inaongezeka . Hebu tupe composition ya hiyo sabuni
hebu muhoji mkuu maana naona mimi kanishupalia wakati ndo ukweli wenyewe
 
ujue nini my dia tausi nimekuja kunotice wadada wengi wana tatizo la k ni kweli lakini madaktari wengi ni wa kiume eti oooh sabuni hii ni nzuri mara ingiza vidole kila asubuhi kutoa uchafu theory hii theory ile.
mimi sikubali cha kuingiza kidole,wala sabuni maana down naturally panajisafisha penyewe
wadada wawe wasafi, nguo za ndani. jinsi ya kujisafisha ,na vyoo wanavotumia
imagine sehemu kama mzalendo pub choo cha kukaa,unakuta wadada wenye k za kila aina pale za kicongo wapi wapi wanenguaji,wauza k na wewe unaenda unaweka mk k wako pale ,kwa nini usipate maambukizi
kuna wadada vyoo vyote vya mjini hapa wanaweka kk zao
mimi nipo selective sana na vyoo na k yangu inakuwa safi salama na tamu

Smile bana...! Kila nisomapo post zako huwa nina-enjoy sana.
 
Nina enjoy unavyoandika kwa uwazi na mapana. Unaonyesha uko wazi, huru sana na unafurahia kuwa wewe. Kudos!
 
kuna mtu hafurahii kuwa yeye? wewe unajichukia kwani?
 
ujue nini my dia tausi nimekuja kunotice wadada wengi wana tatizo la k ni kweli lakini madaktari wengi ni wa kiume eti oooh sabuni hii ni nzuri mara ingiza vidole kila asubuhi kutoa uchafu theory hii theory ile.
mimi sikubali cha kuingiza kidole,wala sabuni maana down naturally panajisafisha penyewe
wadada wawe wasafi, nguo za ndani. jinsi ya kujisafisha ,na vyoo wanavotumia
imagine sehemu kama mzalendo pub choo cha kukaa,unakuta wadada wenye k za kila aina pale za kicongo wapi wapi wanenguaji,wauza k na wewe unaenda unaweka mk k wako pale ,kwa nini usipate maambukizi
kuna wadada vyoo vyote vya mjini hapa wanaweka kk zao
mimi nipo selective sana na vyoo na k yangu inakuwa safi salama na tamu
umejuaje kama tamu; matangazo
 
Back
Top Bottom