Smile
JF-Expert Member
- Jul 18, 2011
- 15,347
- 11,619
sio vituko mkuu,ujue haya magonjwa ya huku down wanawake tunayasababisha wenyewe.kwa vituko ùmetisha
Kwanza uchafu wa nguo za ndani ...unakuta mtu anafua nguo za ndani ovyoovyo tu kaogea mimaji imebaki ina masabuni anasuuzia huko chupi ndo imetoka hiyo mbaya zaidi tena anaenda kuianika mvungunii.....pili hizi ofa hizi kilakuna wanawake kila choo cha baar anaingia anaweka maeneo pale na kujiswafi na hiyo mimaji..hujui ni ya wapi yaani ptuuuu..hicho choo hujui nani na nani wameinamisha hapo.wanenguaji .wahudumu.wateja hapo mtu atasalimika kweli?