Uke kutoa harufu kali(Vaginal Odor): Chanzo, dalili na tiba zake

Uke kutoa harufu kali(Vaginal Odor): Chanzo, dalili na tiba zake

Habarini wana JF,

Kuna msichana nimetokea kumpenda sana ila tatizo ana harufu mbaya sana sehemu zake za siri.Nataka nimsaidie kutatua tatizo hili.

Naomba ushauri wenu wadau.
 
Hizo nyingine ni vijazio tu...wanawake wengi wachafu. Unakuta wengine wanavaa pichu siku tatu na wengine wakienda kupee wanatumia toilet paper pekee bila ya maji!!! sasa hapa unategemea nini kama si kunuka au kusababisha magonjwa ya kutoka harufu mbaya??
 
mmenikumbusha dem wangu mmoja hivi..dah! Ilikuwa tabu sana kwa mimi mzamiaji
 
Naombeni msaada wa majina ya dawa, mpenzi wangu ana tatizo la kunuka kwenye uke (vagina) pindi tukimaliza kufanya sex, inatokea harufu mbaya sana.

Kama kuna mtu anajua jina la dawa aniambie pliz

Dawa aende hospitali akafanyiwe chekup maana ugonjwa wake na mwingine ni tofauti, ukifuatilia ushauri hapo na pia azingatie usafishaji wake usiwe wa kupitiliza na pia kuna dawa ya kusafisha inaitwa Lactacyd ni nzuri unaweza pata pharmacy na pia inasaidia kutopata fangasi (as doctor prescribed).

All the best.
 
kwa msaada zaidi pia mwambie asafishe kwa kutumia maji ya uvuguvugu atie chunvi kidogo na ndimu au delto aingize vidole hadi ndani ikiwezekana alale chali umsafishe mwenyewe ila atanue miguu ili uweze kusafisha kabisaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa

ndugu hapo pakumsafisha mwenyewe hapo inshu kwelikweli c unajua mwanawake wengine wana haibu sana
 
Habarini wana JF,

Kuna msichana nimetokea kumpenda sana ila tatizo ana harufu mbaya sana sehemu zake za siri.Nataka nimsaidie kutatua tatizo hili.

Naomba ushauri wenu wadau.

Dawa ipo Oriflame pia..gharama yake ni 11,000/= tupigie 0655868643 aweze kupata suluhisho
 
wakuu habari za kazi , habari za Shughuli na vinginevyo wazee tusaidiane kupata ufafanuzi: uchi was mwanamke unasababishwa na nini kuwa na harufu? tens eakati mwingine mbaya ya ajabu! ukishiriki ngono na mwanamke kama Hugo! week unaoga harufu haiishi!
 
Pole mzee!!!lazima umekumbana nao usiku huu!! Vipi keshaondoka au bado kalala! ...anyway subiri madakitari waamke
 
Back
Top Bottom