Mashoo Mashoo
JF-Expert Member
- Jan 7, 2014
- 375
- 105
Asante sana mkuu, ila nahitaji tu kujua ni sabuni gani itumike wakati wa kuoga kujisafisha ili kutobadilisha uhalisia wa ile sehemu.
Hizo remedies ulizotoa sasahivi ni kwa mtu ambaye tayari anatatizo la kutoka harufu mbaya na unbalanced pH.
Ila swali langu mimi ni: ni aina gani ya sabuni una recommend itumike on a daily basis kujisafisha na mwanamke?
Kwa uelewa wangu vitu kama vinegar na maziwa mtindi nk. vinatumika kama tiba endapo tatizo likishatokea. Sidhani kama vinaweza vikatumiwa kila siku kujisafisha.