The Messenger
JF-Expert Member
- Jul 2, 2014
- 1,523
- 809
ulimpata wapi huyu? wa kunuka?Nadhani wote mmeona kichwa cha habari na swali ndio hilo,hivi inachangiwa na nini mwanamke kutoa harufu mbaya tena kali mnapofanya mapenzi??
Nlimtoa hapa mtaani kwetu aisee,full harufuDu! We nae unamajanga ulimptawap ??
Hapa mtaaniulimpata wapi huyu? wa kunuka?
kikwapa cha chiniNlimtoa hapa mtaani kwetu aisee,full harufu
hihihihiHapa mtaani
Nadhani wote mmeona kichwa cha habari na swali ndio hilo,hivi inachangiwa na nini mwanamke kutoa harufu mbaya tena kali mnapofanya mapenzi??
Wakati wenzako wanazama chumviniOya muda wa lunch huu tusije kutapishana!.
teh teh tehWakati wenzako wanazama chumvini
Binadamu tupo wa ajabu mtu unazama chumvini na baadaye ati mnavaa condom? ya nini sasa kama ukimwi si upo pale pale ila kama mnazuia mimbateh teh teh
jamaa yupo uvinza muda huuu
Nadhani wote mmeona kichwa cha habari na swali ndio hilo,hivi inachangiwa na nini mwanamke kutoa harufu mbaya tena kali mnapofanya mapenzi??