Uke kutoa harufu kali(Vaginal Odor): Chanzo, dalili na tiba zake

Uke kutoa harufu kali(Vaginal Odor): Chanzo, dalili na tiba zake

Miaka 6 adi sasa....
Unamwita MKE MTARAJIWA...

Ni mnaenda kufunga ndoa au mnafanya JUBBILLEE?
 
Nadhani wote mmeona kichwa cha habari na swali ndio hilo,hivi inachangiwa na nini mwanamke kutoa harufu mbaya tena kali mnapofanya mapenzi??
 
itakuwa na maambukizi mbalimbali kutokana na maumbile yalivyo. Ukimuona hivyo mshauri aende kwa daktari wa wanawake nina imani ni tatizo linaloweza kutibiwa likapona
 
Nadhani wote mmeona kichwa cha habari na swali ndio hilo,hivi inachangiwa na nini mwanamke kutoa harufu mbaya tena kali mnapofanya mapenzi??

Hiyo harufu ndo yenye kutia nyege mwanaume ili usisimke iyo ndo harufu ya kike
 
wewe ndo huwa unaskia wakati wa tendo tu bt huwa harufu inatoka mda wote. kuna magonjwa manne hapo au niseme matatizo
1.bacterial virginosis
2.yeast infectio
3.sexual transmitted diseases
4.personal hygiene.
 
Nadhani wote mmeona kichwa cha habari na swali ndio hilo,hivi inachangiwa na nini mwanamke kutoa harufu mbaya tena kali mnapofanya mapenzi??

Kuna mawili hapo either mchafu au kuna ka infection amepata
 
Juzi kuna kitu nilikuwa nafanya nikawa nimepitisha kidole sehemu zangu za siri ,nimeona harufu sio nzuri kwa kweli. Hata majimaji yamebadilika sio meupe kama nilivozoea yapo kama maziwa hivi.

Nimeshtuka sana maana sijawahi kuona hali hii mpenzi wangu anakuja jumamosi nataka nimkwepe maana ni aibu ingawa harufu sio mbaya sana ila haipo vizuri nitumie dawa gani wana jamii?
 
Back
Top Bottom