Uke kutoa harufu kali(Vaginal Odor): Chanzo, dalili na tiba zake


Ngoja waje
 
Metronidazole (Flagyl) vidonge 10 kwa wakati mmoja, seriously??? Guyz kuweni makini una Tatizo nenda Hospitali fata ushauri wa Daktari acheni habari za kujitibu kama huna utalaamu, ni hatari sana.
Na iman mtoa maada huna utalaamu wowote na masuala ya afya.
 
mtu anaweza kunywa hata ishirini vya 200mg. idadi isikutishe.
 
Tatizo la fangas nazan linaweza kuwa kias flan hata usafi unachangia hao kuumwa hayo magonjwa yao
 
Wasalaam

Wanabodi naomba nieleweke sina nia ya kushambulia au kudhalilisha ila kutaka wasaidiwe.

Ilikuwa hivi... wakati ule ujana umechemka, nilimtongoza japo alisumbua kutokana na uzuri wa umbo lake baadae alinipa chance, kiukweli I was not in love with her ilikuwa nipige nisepe so ule usumbufu wake ulinifanya nisimhesabu tena kwa hiyo hata alipojilengesha Sikuwa na mzuka nae.

Nilimwingiza chumbani.. bila yeye kuchelewa akanivamia kwa kiss mfululizo... akili yangu haikuwepo pale so sikushoboka nikaishia kumchezea... the worst part ni pale nilipomshika ukeni dah... ilikuja harufu mbaya ambayo sina kumbukumbu kuihisi kwingine. (niliendelea kuhisi harufu ile mkononi kwa week kadhaa)

She had very bad odor nilikuwa karibu nitapike.. nikajikaza nikazuga kiaina then nikamwambia avae tuondoke... kwanza akagoma nakutaka kulazimisha but nikamshawishi akanielewa.... baada ya mwaka mmoja hivi nilipata kazi sehemu nyingine... staff mate akatangaza ndoa tukashiriki.. siku ya ndoa nakuta ni yule dada...! Nikabaki najiuliza jamaa amewezaje?

Sasa ombi langu... maana wakati ule sikupata muda au uwezo wa kuuliza.. nini sababu ya harufu mbaya ukeni na nini tiba yake?

Majibu yako yatawasaidia wengi.

Nawakilisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…