Uke kutoa harufu kali(Vaginal Odor): Chanzo, dalili na tiba zake

mama kuna wengine wananuka k sana mpaka kero..nimeshawahi kukutana na hio hali yaani harufu ni mbaya kuliko harufu ya choo,ila wengine wapo vzr tuu but nadhan usafi unahusu,wengine wanavaa chupi siku 3 unategemea nini hapo
Unaifahamu harufu ya K?
Ikoje?
 
Jaman ndo wake zetu wadogo zetu dada zetu tuwasaidie take her to the Medical Officer ataelzea yote yanayomsibu atapatiwa tiba No
 
Dah umenikumbusha siku nilipataka kitoto fresh from 4m4 miaka ile. Nkakileta geti. Yan kukivua tu chumba changu kikawa na hrufu mbya.
 
LadyAJ kwani hujawahi sikia kuhusu fistula na dalili zinazoambatana nazo...je wanapozitaja huwa anadhalilishwa mwanamke? Mimi sioni wala kuhisi kuwa mtoa mada anawadhalilisha wanawake, yawezekana ana mwanamke anataka amsaidie juu ya tatizo hilo!!! Mbona wapo wanawake wanaosema kwamba kuna wanaume wananuka jasho na ni kweli wapo, je wanawadhalilisha? Au basi asiseme kunuka bali aseme kunukia!!! Bila shaka hiyo itakuwa imekaa sawa kwako? Kiufupi, nakuomba uondoe fikra kuwa wanaume huwadhalilisha wanawake maana ukizibeba fikra hizo utajitesa na kujiumiza! Wanawake ndiyo wake zetu, mama zetu na dada zetu pia...hali kadhalika sisi ni baba zenu, kaka zenu na waume zenu pia! Tabia ya mtu kumdhalilisha mwenzie haina jinsia...kwamba ni wanaume tu, bali mty yeyote asiyekuwa na maadili mema bila kujali jinsia huweza kumdhalilisha mwenzake!!!
Mtoa mada hajamdhalilisha mwanamke...
 
Ni maoni yako siwezi kuyapinga, fistula ni ugonjwa wala si kashfa au kejeli, hakuna mwanaume aliyekuja humu akamtangaza mkewe kuwa ana fistula kikubwa wanaume hasa wanaume wa jf mmekosa vya kujadili vya maana ukiangalia mada za shutuma za wanaume kwenda kwa wanawake humu ndio zinaongoza hasa zenye lengo La kuwaona wanawake kama viumbe wasiofaa hata hii mada imeshajadiliwa sana na zaidi mtoa post anamjadili mke wa mwenzie na si mtu wake kama unavyojinasibu, tuwe wakweli kuna namna ya uwasilishaji wa mada wenye lengo la msaada na kuna ile ya kutaka kuonekana kama vile kwenzio ni mtu/kiumbe wa ajabu (ni tusi sana kumwambia binaadamu mwenzio ananuka hasa mwandani wako) hebu tuwe ma maneno yenye staha na kustiriana
 
Anti muujiza swali hakutaja jina la huyo dem ila ameelezea tu mkasa ile aweze kupata ushauri kutoka kwa wana jf kujua sababu za hiyo kitu tiba yake kama ipo. Hata wewe unaweza kujifunza kitu hapa ukawasaidia wenzako siku za baadae huko hivy usizibe milango ya kujifunza kisa tu kaongelewa mwanamke ambaye hata jina lake wala sura yake hujui.
 
Tukubali tukataee na co wote wanatoa harufu ilaa ukibahatika kukutana na hyoo kituu ile yenye grade zake maana zinatofautiana viwango utajutaa unaweza kaa hata mwez ukipishana na ile jinsia pendwa unataman kutapikaa . asee ile kituu inatemaa banaaa
 
U
Umefafanua vizuri
 
Usimuongelee mwanamke wa mwenzio hata Siku moja kwanza ni udhaifu mkubwa pili ni udhalilishaji wa mwanaume mwenzie na mkewe, ndo kusema huyo rafiki yake kaoa vinavyonuka? Yeye amuongelee demu wake na si huyo Dada mwenye ndoa changa yeye hamuhusu, hata akielekezwa namna ya kumtibu msaada hautomfikia huyo ex wake, jamani kuachana sio vita hadi mjenge uadui kiasi hiki cha kumnenea mwenzio mabaya,kisichokufaa wewe mwingine ni size yake
 
Unaifahamu harufu ya K?
Ikoje?
mhhh kuielezea haielezeki ila kwa kweli ni mbaya kuliko harufu ya kinyesi..sielew ni uchafu au maumbile ila kwa kweli ni harufu moja mbaya sana duniani...mungu atatusaidia
 
nabisha mpaka unieleze kivipi?
Husababisha kuongezeka kwa bacteria waliopo ukeni! Kiujumla uke una bacteria/viumbe ambao wakipungua au kuongezeka basi uke hutoa harufu...kutumia sabuni za medicated kwa kujiosha uke husababisha kuwapunguza sana na hivyo kupelekea harufu hali kadhalika na mawazo pia husababisha hawa bacteria kuongezeka ambapo pia hupelekea harufu...kijumla stress husababisha maradhi mengi, hata muathirika wa VVU huweza kuwa poa kabla ya kujijua kuwa ni muathirika ila shida akishajua...huwaza sana mpaka mwili huisha na kinga kuzidi kushuka na kupelekea kifo chake! Usikubali kitu kikuumize kichwa chako... Usiwe na huzuni, kuwa mchangamfu na mwenye furaha, hata kwenye majaribu...simama imara!!!
 
Wanajamii hii kitu inakera waweza kutanana na mdada yupo vizuri anasifa zote za mwanamke tatizo ni harufu kali unayobaki nayo mwanaume baada ya tendo waweza oga hata mara mbili lakini harufu ikabaki pale pale hadi siku tatu ndo inapotea, tatizo ni nini na mtu kama utafanyaje ili usimuache
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…