Uke kutoa harufu kali(Vaginal Odor): Chanzo, dalili na tiba zake

Uke kutoa harufu kali(Vaginal Odor): Chanzo, dalili na tiba zake

Hivi basically kuna vagina ambayo haina harufu completely?? Mm nadhani isipotoa harufu basi hiyo sio K bali ni utumbo!Let it smell for its own good.
Kiukweli yamke wangu sijawahi ikuta na harufu hata siku moja...sijui anatumia njia gani kuwa msafi kiasi kile
 
+ usitumie sabuni kuoshea sehemu za siri osha kwa maji ya kawaida

+ hatuoshi uke juu juu, hapana ingiza kidole ndani ya uke huku ukitumia maji kuosha..
Fanya ivo zaidi ya mara tano

+ badili chupi kila baada ya masaa 4,hasa ukitoka maliwatoni,
( wenzako huwa tunabeba chupi kwenye bagi, mafuta, na manukato unavyoingia huko badilisha hukohuko) usibebe pochi kama urembo ,,,, badilika

+ usijipulizie pafyum ukeni au mapajani ( hii ni sababu kunuka kwa sehemu za siri)

+ fua chupi, fua chupi , fua chupi vizuri, hasa katikati, pembeni mwa paja, riboni ya kiuno na chup yote kwa ujumla , suuza kwa maji safi anika juani.
( baada ya kukauka pasi chupi)

+ epuka kuvaa nguo za ndani zikiwa mbichi, unyevuunyevu, kuanzia chupi mpaka taiti. Vaa nguo zilizokauka

+ epuka kurudiarudia chupi
Ushauri: wenzio huwa tunachupi zaidi ya 30 na huwa hazijirudii rudii
basi pole sana yani chupi serasini hahaaaaa
 
Habari Great thinkers..

Nina tatizo linasumbua akili yangu. Nina mchumba wangu nampenda sana na tunampango wa kufunga pingu za maisha Mungu akipenda mwakani wa sita hivi. Tatizo lake ni uke kunuka ni muda sana kila nikitaka kumuambia roho husita, tunaishi mikoa tofauti. Tangu juzi niko nae baada ya mchezo hiyo harufu sio ya nchi hii shombo la hatari mpaka nashindwa kuendelea nikitoka hapo direct bafuni nikitoka kuoga nakuta mtu anakoroma nashindwa kumuamsha akaoge.

Jana usiku nimekaa nae katoka job tunacheki habari huku kalala kifuani, mara harufu papuchi hiyo duh mpaka nikamuonea huruma nikaenda nje kupunga upepo nikapitiliza Pub na sikumega mzigo jana kwa visingizio kibao..

Wakati anaenda job anavyojiweka safi makeup za kutosha kaumbika kila kona lakini tatizo hapo chini..[emoji17] [emoji17]

Nimejaribu kumuambia kwa mafumbo asubuhi kuwa anatatizo kwenye kipapa so akirudi kutoka job nimpeleke akamuone mtaalam alinikata jicho akaondoka bila hata kuniaga..
Kuna natural smell ya papuchi lakini sio hii duh..[emoji30] [emoji30] [emoji30] [emoji30]

Kabla hajarudi nimeona nipite kwa Great thinkers nipate ushauri kama kuna dawa ya kutumia au kuna mwanamke alipata hili tatizo akatibika kwa njia ya asili au madawa.

Naombeni ushauri wenu..
 
Back
Top Bottom