Uke kutoa harufu kali(Vaginal Odor): Chanzo, dalili na tiba zake

Uke kutoa harufu kali(Vaginal Odor): Chanzo, dalili na tiba zake

Member moja hiv jike dume joyce shija yan ananiandama kama nimemchukulia mme hata simuelewi
Aaaaaa kumbe joy! wala usupatetabu yeye ni mtumzima kama wewe muulize kwa upendo na upole wa haliyajuu atakwambia tu,,pole
 
Pole mkuu,ile harufu papuchi nafikiri ni sawa ya kinywa kwa kuwa wahusika hushindwa kutambua kuwa wana hilo tatizo. Kuna mmoja niliyekuwa naye chuo alikuwa na hilo tatizo baadae nikajikaza nikamwambia kiupole kabisa na nikitaka twende hospitali lakini halivyobisha aisee akisema mbona hana tatizo hilo kabisa wakati chumba kizima kimezima kwa hiyo harufu,ilibidi nimuache siku hiyo hiyo. Alipokuwa akiniita namueleza vijisababu lukuki mwishowe akaelewa tukaachana kiroho safi.
 
Muombe samahani kwaaaanza tena za kutosha hata kama sio kosa ilimradi tu akuelewe kuwa kumwambia hivy huna nia mbaya alafu ndo umwambie tena kwa kubembeleza sio kama unatoa taarifa
 
Back
Top Bottom