Wanawake wengi wamekuwa wakisumbuliwa na tatizo la kuwa na harufu mbaya ya ukeni.
Tatizo hili huwa baya zaidi wakati wa kujamiiana kwamba harufu inayotoka husababisha hata mwenzi kutokuwa na hamu ya kukutana ama.kuridia tena tendo.
Harufu hii ni tofauti na harufu ya kawaida ya uke ambayo huwa haikeri kabisa.
Wanawake wengi wanaopata tatizo hili kukosa kujiamini, na huogopa tena kukutana kimwili na wenzi wao kwa hofu kwamba watafedheheka.
Kwasasa lipo suluhisho la tatizo hili kwa wale wenye shida hii ama hata unayemjua mtu mwenye shida kama hii.
Opiodz ni dawa itakayo kurudishia tena wewe mwanamke Furaha na tabasam lako kwa sababu itakuondolea kabisa harufu mbaya inayotoka ukeni.
Dawa hii ni ya unga na inapatikana katika ujazo wa gm 200. Mtumiaji atatumia gm 60 za dawa na kutia katika maji ya uvuguvugu kisha ataikalia kwa muda wa dk 30. Atarudia tena muda ule ule kwa siku mbili zaidi. Afanye hivi baada ya kuoga ili akisha kalia maji basi asiende tena kuoga akaondoa ufanisi wa dawa.
Mambo ya kuzingatia wakati wa kutumia dawa hii opiodz
1) usiingize maji wala vidole wakati wowote ndani ya uke wako
2) baada ya kukalia maji jifute sehem zako za siri ziwe kavu na usipake mafuta yeyote yale ndani ya uke
3)usirudie chupi wala taulo za ndani na badili taulo hizi japo mara mbili kwa kutwa
4) zingatia usafi wa sehem zako za siri. Usitumie sabuni kali wala dawa za kuua vijidudu katika maji ya kuoshea sehem zako za siri
5) mwone Dr iwapo tatizo hili halitakoma kabisa baada ya matumizi ya dawa hii. Kumbuka opiodz sio mbadala wa tabibu za Hosp.
Halikadhalika pia tunatoa tiba ya mtu mwenye matatizo ya hormone hasa kwa akina mama walio kwenye pre menopause.
.
Kwa mawasiliano zaidi njoo inbox
au
simu 0786985228.
Wapo watu waliofanyia kazi dawa hii na wanaweza kutoa ushuhuda.
Cc @ gfsonwin
Furaha na tabasam lako ndilo tunalolilinda.