gfsonwin
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 18,272
- 20,692
Hapana sio kwamba harufu mbaya husababishwa na mbegu a kiume.zipo sbbu nyingi sana zinazosababisha harufu mbaya ikiwemo hormone za mwili zikizidi, ama infection ya bacteria ama fungus ama Hali ya usafi ya mtu binafsi.Demiss alisema harufu mbaya husababishwa na mbegu za wanaume.. Dawa ni kutomwagiwa mbegu tu..ha ha ha joking
Kimsingi tatizo la kuwa na harufu haitofautiani na mtu kuwa na harufu ya mdomo.
Ila tu harufu ya mdomo imepatiwa ufumbuzi na watakao.wengi lkn hii ya ukeni Bado watu wana hofia kuitaja ama kuipatia ufumbuzi