Uke kutoa harufu kali(Vaginal Odor): Chanzo, dalili na tiba zake

Uke kutoa harufu kali(Vaginal Odor): Chanzo, dalili na tiba zake

Demiss alisema harufu mbaya husababishwa na mbegu za wanaume.. Dawa ni kutomwagiwa mbegu tu..ha ha ha joking
Hapana sio kwamba harufu mbaya husababishwa na mbegu a kiume.zipo sbbu nyingi sana zinazosababisha harufu mbaya ikiwemo hormone za mwili zikizidi, ama infection ya bacteria ama fungus ama Hali ya usafi ya mtu binafsi.

Kimsingi tatizo la kuwa na harufu haitofautiani na mtu kuwa na harufu ya mdomo.

Ila tu harufu ya mdomo imepatiwa ufumbuzi na watakao.wengi lkn hii ya ukeni Bado watu wana hofia kuitaja ama kuipatia ufumbuzi
 
Demiss alisema harufu mbaya husababishwa na mbegu za wanaume.. Dawa ni kutomwagiwa mbegu tu..ha ha ha joking
Kila uke una harufu yake ya kawaida, lakini hubadilika harfuf kama mwanake yupo kwny hedhi, au akiwa amefanya mazoezi na kutoka jasho jingi, na pia akiwa amefanya tendo la ndoa.
 
Hapa ndio huwa na chukia mwanamke mchafu... Mi mwanamke akisha kua mchafu mchafu ana nitoka kabisa moyoni...

Chupi piga pasi kabla huja vaa.

Kuna ki girlfriend nili kua nacho aiseee sija wai kuona kitoto kisafi kama kile. Kwenye hand bag kuna; wipes, tissue hizi dogo, vitambaa viwili kama towels hivi (light mini towels), extra pant na tuvi korokoro kibao..

Nika muuliza hivi vyote vya nini? Aliniambia " Kati vitu sipendi ni harufu ya uke " So hivi vitu vina nisaidia. Na kweli tamu yake ili kua safi haswa, harufu natural kabisa.
 
Harufu mbaya ya ukeni me naiodore sana plus akiwa.mchafu.na kaharufu kakikwapa me dkk mbili tu.nshapiga goli la mkono
 
Hapa ndio huwa na chukia mwanamke mchafu... Mi mwanamke akisha kua mchafu mchafu ana nitoka kabisa moyoni.....
Wala sio kwamba Kila mwenye harufu ni mchafu,wapo ambao harufu kutokana na kuwa na hormone nyingi ama zilizozidi za progesterone je huyu unamweka wapi?

Tatizo la uke kuwa na harufu mbaya linatibika kbs kwasabb ni tatizo la kisayansi.

Wala hakuna haja ya kumnyanyapaa mtu mwenye tatizo hilo.

Usisahau wapo wanaume wanao nuka shahawa kbs. Yaan shahawa zao zinanuka vibaya
 
Wakuu nina mpenzi wangu ni mrembo na anazingatia usafi mara kwa mara kinachonishangaza sehemu nyeti huwa zinanuka uvundo yaani harufu kali kimtindo nini tatizo?

Nmewahi kumwambia hilo tatizo anadai ye hufanya usafi vizuri tu ila sema jambo hilo hutokea tu lenyewe naomba kama kuna mtu anajua suruhisho Lake anijuze mana inatisha sana wakuu mkali wa Mambo unaishaga kabisa.

Jack-wolper-5-531.jpeg
 
Wakuu nina mpenzi wangu ni mrembo na anazingatia usafi mara kwa mara kinachonishangaza sehemu nyeti huwa zinanuka uvundo yaani harufu kali kimtindo nini tatizo?
Nmewahi kumwambia hilo tatizo anadai ye hufanya usafi vizuri tu ila sema jambo hilo hutokea tu lenyewe naomba kama kuna mtu anajua suruhisho Lake anijuze mana inatisha sana wakuu mkali wa Mambo unaishaga kabisaView attachment 729265
Sasa wewe huko chini huwa unapeleka pua ya nini, wewe zamisha mtalimbo Maliza toka
 
Back
Top Bottom