Uke kutoa harufu kali(Vaginal Odor): Chanzo, dalili na tiba zake

Uke kutoa harufu kali(Vaginal Odor): Chanzo, dalili na tiba zake

Hosptl haraka,ukimchelewesha yaan akibaki natatizo hilo kwamuda mrefu badala ya harufu kitakacho fuata ni
(1) Harufu mdomoni
(2) makwapani
(3)na hata jasho lake
Usiogope sigonjwa laiukufanya uwaze sana - nenda sasa
 
Habari wapendwa,mke wangu amekuwa akitoa harufu mbaya sana sana ukeni hasa pale tunapokuwa tunafanya mambo yetu napenda mke wangu apone siwezi kumuacha kisa iyo sababu naomba msaada kwa anayejua dawa yake
Sikia mkuu harufu inasababishwa na shaawa zako mke wako ajui kunawa anaziacha sasa zikishakaa siku 2 baba harufu yake inaweza kuuwa mbu ndani mwambie mkimaliza kusex anawe vizuri kama vidole vyake vina kucha ndefu baba imekula kwako maana inabidi aweke kidole kwa ndani hakikishe shaawa zote zimeisha ndani la sivyo utatumia dawa zote ila tatizo litabaki hapo.
 
Hivi tatzo la mwanamke kutoa harufu kwenye kitumbua...linatokana na nini??..Hivi hayo Maji maji huwa yanatoa harufu?. Maana limeshanikuta Yaani mood ilikata ghafla...Mashine ilinywea kabisa....nilishindwa kabisa sabab ya harufu asee
 
Una pua ndefu mkuu cha msingi uwe unawatafuta ukiwa na mafua itapendeza


Teh
 
haukuwa unahitaj kula mzigo ile kitu ukiingia kwenye 18 hayo mengine unajiuliza baadae baada ya shoo hiyo sio sababu ya kushindwa kupiga shoo
 
Hivi tatzo la mwanamke kutoa harufu kwenye kitumbua...linatokana na nini??..Hivi hayo Maji maji huwa yanatoa harufu?. Maana limeshanikuta Yaani mood ilikata ghafla...Mashine ilinywea kabisa....nilishindwa kabisa sabab ya harufu asee
Pole Sana Mkuu, harufu kama panya alieoza.
 
haukuwa unahitaj kula mzigo ile kitu ukiingia kwenye 18 hayo mengine unajiuliza baadae baada ya shoo hiyo sio sababu ya kushindwa kupiga shoo
hata sielewi alinichukuliaje...maana nilimuacha kwny kilele nikaondoka
 
Usafi muhimu. Tatizo likiendelea apate ushauri wa daktari
 
Wanawake wengi wamekuwa wakisumbuliwa na tatizo la kuwa na harufu mbaya ya ukeni.

Tatizo hili huwa baya zaidi wakati wa kujamiiana kwamba harufu inayotoka husababisha hata mwenzi kutokuwa na hamu ya kukutana ama.kuridia tena tendo.

Harufu hii ni tofauti na harufu ya kawaida ya uke ambayo huwa haikeri kabisa.

Wanawake wengi wanaopata tatizo hili kukosa kujiamini, na huogopa tena kukutana kimwili na wenzi wao kwa hofu kwamba watafedheheka.

Kwasasa lipo suluhisho la tatizo hili kwa wale wenye shida hii ama hata unayemjua mtu mwenye shida kama hii.

Opiodz ni dawa itakayo kurudishia tena wewe mwanamke Furaha na tabasam lako kwa sababu itakuondolea kabisa harufu mbaya inayotoka ukeni.

Dawa hii ni ya unga na inapatikana katika ujazo wa gm 200. Mtumiaji atatumia gm 60 za dawa na kutia katika maji ya uvuguvugu kisha ataikalia kwa muda wa dk 30. Atarudia tena muda ule ule kwa siku mbili zaidi. Afanye hivi baada ya kuoga ili akisha kalia maji basi asiende tena kuoga akaondoa ufanisi wa dawa.

Mambo ya kuzingatia wakati wa kutumia dawa hii opiodz

1) usiingize maji wala vidole wakati wowote ndani ya uke wako

2) baada ya kukalia maji jifute sehem zako za siri ziwe kavu na usipake mafuta yeyote yale ndani ya uke

3)usirudie chupi wala taulo za ndani na badili taulo hizi japo mara mbili kwa kutwa

4) zingatia usafi wa sehem zako za siri. Usitumie sabuni kali wala dawa za kuua vijidudu katika maji ya kuoshea sehem zako za siri

5) mwone Dr iwapo tatizo hili halitakoma kabisa baada ya matumizi ya dawa hii. Kumbuka opiodz sio mbadala wa tabibu za Hosp.

Halikadhalika pia tunatoa tiba ya mtu mwenye matatizo ya hormone hasa kwa akina mama walio kwenye pre menopause.
.
Kwa mawasiliano zaidi njoo inbox

au

simu 0786985228.

Wapo watu waliofanyia kazi dawa hii na wanaweza kutoa ushuhuda.

Cc @ gfsonwin

Furaha na tabasam lako ndilo tunalolilinda.
 
Hii dawa ni kiboko kwa tatizo la harufu mbaya. Na Haina madhara yeyote yale kwa mtumiaji. Ni dawa iliyofanyiwa kazi ya kitafiti kuhakikisha kuwa mtumiaj anakuwa salama na inatibu kabisa tatizo husika na kukurudishia tena tabasam lako
 
Demiss alisema harufu mbaya husababishwa na mbegu za wanaume.. Dawa ni kutomwagiwa mbegu tu..ha ha ha joking
 
Back
Top Bottom