Uke kutoa harufu kali(Vaginal Odor): Chanzo, dalili na tiba zake

Mkuu ushauri mzuri umetolewa "VUNJA UKIMYA ZUNGUMZA NA MWENZIO" kama ulivyokuja jamvini kuomba ufumbuzi vivyo hivyo kwa umoja wenu mkamuone dokta. Ufumbuzi mkuu unapatikana pia lazima atapona zingatia ushauri,usiupuuze kamwe!
 

Big up kaka.......hii ndo shule haswa yu remind me of my old days

Lakini huoni pia kuna umuhimu High Vaginal Swab kupata uhakika????
 
pole sana kaka!kwanza hongera kwa kuwa na mapenzi ya kweli kwa mpnz wako,kiasi cha kumsaidia kutafuta ufumbuzi wa tatizo lake,ushauri
Zipo sababu nyingi zinazosababisha harufu mbaya kwenye uke,kuna magonjwa kama fungus, trichomoniasis,ambayo ni ya kawaida kwa wanawake hasa kama hatazingatia usafi na utunzaji wa eno hil, pia hata baadhi ya magongwa ya zinaa husababisha tatizo hilo.kwa maelezo yangu ni vigumu kutoa ushauri wa kina kwani hatujui chanzo nini,ushauri aende hospital atapatiwa matibabu kutokana na maelezo atakayotoa na vipimo vitakavyo fanyika kama italazimu.(Au ni PM unipe no ya simu yake au nikupe ya kwangu ili niongee nae nadhani ninaweza kumshauri vizuri kwenye maongezi nitamuuliza baadhi ya maswali naye atanijibu itasaidia kupata ufumbuzi,,,,,,,,,Nitafanya hivyo kwa kukusaidia tu kwasababu nimependa sana kuonyesha kwako kumjali,,,,sina nia zaidi ya hiyo naomba nisieleweke vibaya)KAMA UTAPENDA.

Ushauri wa jumla, mwambie anunue sabuni ya wanawake!(woman soap)hii imetengenezwa kiasil bila chemicals zenye athari kwa uke. Atumie kunawia mara kwa mara na ajikaushe vizuri asiwe na unyevu pia anaweza kutumia maji yaliyochanganywa na limao kujisafishia,pia azingatie sana usafi na usalama wa nguo za ndani ajenge tabia ya kunyoosha chupi kabla ya kuivaa,
Mwisho ni vizuri kujisafisha kabla hajaingia gemu (ndani nje)natumai wanawake wananielewa ambae hajaelewa ani PM nitamuelewesha)..
 
mwambie demu wako ajisafishe vizuri bwana huyo bado mchafu. Mwambie awe anaingiza kidole cha kati ukeni anapojisafisha hadi ahakikishe hakuna ute na kila akiingiza kidole kunakuwa na ukakasi hapo hutasikia harufu wala nini. Sio anajisafisha juu juu ya kinembe tu. Awe na mazoea ya kujisafisha kwa kuingiza kidole cha kati asiogope maana wengine wanahofu uke utatanuka au kulegea, aache uoga.
 
Big up kaka.......hii ndo shule haswa yu remind me of my old days

Lakini huoni pia kuna umuhimu High Vaginal Swab kupata uhakika????

haswa vaginal swab ni ya muhimu sana ili kupima nakuhakiki kama ni bacterial vaginosis au yeast infection
 
hapo kwa sabuni mi napinga kabisa acha kufanyia k ya watu biashara
 
Marashi na aina zote za vipodozi si muhimu kwa sasa kwani yawezekana tatizo lake ni maambukizo ya bacteria au fungus au hata cancer ya shingo ya uzazi, nashauri amuone gynacologist au aende ocean road kupima cancer.Je swali nimuulize mtoa mada, kuna maumivu yeyote anapata wakati wa kusex au je wewe uume wako uko sawa maana hauwashi wala hupati maumivu wakati wa kukojoa?.Ni maswali muhimu hayo utakayoulizwa hospitalini.
 
sabuni na marashi ndo yanasababisha hata harufi mbaya,
wengine wanatumia sabuni za kawaida ila wako poa tu mkuu.
 
kutokana na hali hiyo bacteria huanza kushambulia na kusababisha bacterial vaginosis mara nyingi mwanamke hutoa harufu kama ya samaki au yai lilooza wakati wa ngono,mara nyingine maji meupe hutoka kwenye uke .mara nyingi mwanamke haoneshi Dalili za kutosha. haswaa! bold za nyekundu hapo juu ni sahihi! huwa napiga mzigo lakini kwa kulazimisha sana!
 
ndio uchafu upo!! ni kama maji flan hv meup kadri mzigo unavyosuguliwa yanabadilika yanakuwa kama povu! nkishaanza kuhisi hvyo huwa siangalii tena huko kwa sababu mjomba atasinzia ghafla!
 
ndio uchafu upo!! ni kama maji flan hv meup kadri mzigo unavyosuguliwa yanabadilika yanakuwa kama povu! nkishaanza kuhisi hvyo huwa siangalii tena huko kwa sababu mjomba atasinzia ghafla!

Chakufanya mwambie asisafishie sabuni au kupiga perfume ukeni maana huwa zinatabia ya kubadilisha pH ya uke ambayo ni acidic na kufanya bacteria wengine kukua na kuwazidi wale wakazi wa maeneo hayo ambao huanza kushambuli . Cha pili akachukue vipimo vaginal test kujua au kuhakiki kama ni hao bacteria . Tatu kama ni bacteria vaginosis basi atumie Dawa Mentranindazole Au Clindamycin
 
Mwanamke usafi ....
 
Kama hadi unakuja hapa hujaongea na huyo GF wako, basi unatakiwa kubeba lawama ya aina fulani....

Kama BF wake na kwa kuwa umesema unampenda sana, ulitakiwa kuongea naye kwanza...Kwa kutafuta mazingira mazuri na kumueleza haya unayoyasema hapa...

Akijakusikia kuwa umeongea naye baada ya kupata ushauri toka JF, naamini hatakuwa yule aliyekupenda na kukuthamini kama BF wake.

Nakushauri uongee naye kwanza na baada ya mjadala mwende kwa daktari....Shule za mtandaoni hata kama zinaweza kuonekana ni nzuri sana ila uwe mwangalifu sana!

Babu DC
 
girl naona kwenye usafi iq zetu zinafanya kazi sawa na kufanana pia mana sipendi uchafu na nina kinyaa nao kabisaaaaa........nakumbuka kuna thread moja ya usafi wa vyoo vya ndani u made me happy there girl.........
:focus: wifi akazanie usafi wa eneo lake la tukio vema na ww musaidie pia .....mkimaliza mshauri anawe vizuri sana ahakikishe ametoa shahawa zote mana nazo zikibaki ndani zinaleta harufu mbaya zaidi na sio nzuri ktk k mana inapoteza ile harufu halisi ya k.......
 
Jamani haya mambo mengine muwe mnaangalia na uhalisia maana kuna shahawa zinanuka/harufu mbaya jamani acheni tu sasa kaka yangu usije ukawa unamlaumu mwenzio tu kumbe hizo zako zitokazo ndo kimeo.
 
sabuni na marashi ndo yanasababisha hata harufi mbaya,
wengine wanatumia sabuni za kawaida ila wako poa tu mkuu.
jamani sio sabuni zote ziko ivo jamani mamndenyi ........huyu kashauriwa ivo koz anahilo tatizo so kama madaktari wakisema hana ugonjwa wowote ndio ivo ajisafishe vizuri na kama ikiwa bado inaendelea atumie marashi ili kuua ule ukali wa iyo harufu(na marashi na ikawe option ya mwisho bada ya zote kukataa)
 
unaijua misky eheheeeeeee
 
hii k haiitaji dawa wala nini ni usafi tu nakwambia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…