Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pole sana kaka kwa matatizo ya demu wako . Kutokana na maelezo yako kwa upande wangu naona atakuwa na Bacterial vaginosis . Kwenye vagina kuna bacteria ambao wanaishi huko kama normal floral sasa inapotokea hao bacteria wamevulugwa kunasababisha kuzaliana kwa kasi sana na kufanya kukosekana kwa usawia wa bactaria tunaita bacteria imbalance kutokana na hali hiyo bacteria huanza kushambulia na kusababisha bacterial vaginosis mara nyingi mwanamke hutoa harufu kama ya samaki au yai lilooza wakati wa ngono,mara nyingine maji meupe hutoka kwenye uke .mara nyingi mwanamke haoneshi Dalili za kutosha. Chakukushauri mwambie asitumie sabuni kujisafishi maana huongeza harufu .DAWA tiba yake huwa metranindazole au climdamycin .
Big up kaka.......hii ndo shule haswa yu remind me of my old days
Lakini huoni pia kuna umuhimu High Vaginal Swab kupata uhakika????
hapo kwa sabuni mi napinga kabisa acha kufanyia k ya watu biasharapole sana kaka!kwanza hongera kwa kuwa na mapenzi ya kweli kwa mpnz wako,kiasi cha kumsaidia kutafuta ufumbuzi wa watatizo lake,ushauri
Zipo sababu nyingi zinazosababisha harufu mbaya kwenye uke,kuna magonjwa kama fungus, trichomoniasis,ambayo ni ya kawaida kwa wanawake hasa kama hatazingatia usafi na utunzaji wa eno hil, pia hata baadhi ya magongwa ya zinaa husababisha tatizo hilo.kwa maelezo yangu ni vigumu kutoa ushauri wa kina kwani hatujui chanzo nini,ushauri aende hospital atapatiwa matibabu kutokana na maelezo atakayotoa na vipimo vitakavyo fanyika kama italazimu.(Au ni PM unipe no ya simu yake au nikupe ya kwangu ili niongee nae nadhani ninaweza kumshauri vizuri kwenye maongezi nitamuuliza baadhi ya maswali naye atanijibu itasaidia kupata ufumbuzi,,,,,,,,,Nitafanya hivyo kwa kukusaidia tu kwasababu nimependa sana kuonyesha kwako kumjali,,,,sina nia zaidi ya hiyo naomba nisieleweke vibaya)KAMA UTAPENDA.
Ushauri wa jumla, mwambie nunue sabuni ya wanawake!(woman soap)hii imetengenezwa kiasil bila chemicals zenye athari kwa uke. Atumie kunawia kila mara kwa mara na ajikaushe vizuri asiwe na unyevu pia anaweza kutumia maji yaliyochanganywa na limao kujisafishia,pia azingatie sana usafi na usalama wa nguo za ndani ajenge tabia ya kunyoosha chupi kabla ya kuivaa,
Mwisho ni vizuri kujisafisha kabla hajaingia gemu (ndani nje)natumai wanawake wananielewa ambae hajaelewa ani PM nitamuelewesha)..
nilijua wangu tu kumbe hata wako..basi nilikuwa na muonea aibu kwambia ila siku moja nkamwambia 'leo sipigi bila kuosha
una akili sana wewe mama.ilo nalo nenoMuulize vizuri isije kuwa wote mwala sahani moja wakuu.
ndio uchafu upo!! ni kama maji flan hv meup kadri mzigo unavyosuguliwa yanabadilika yanakuwa kama povu! nkishaanza kuhisi hvyo huwa siangalii tena huko kwa sababu mjomba atasinzia ghafla!
Mwanamke usafi ....1.usafi wa eneo.awe anatumia maji masafi sometimes unakuta mtu anatumia mimaji yeyote tu kujisafishia hii ni hatari sana.mimaji ameikuta tu imekaa hajui source yake labda imechotwa kwenye kisima kichafu je?
2.nguo za ndani - kwanza ziwe safi
- pia ziwe na material nzuri mi naprefer cotton ni nghali lakini ni nzuri maana hata k inapata ventilation ventilation ya kutosha na inakuwa kavu.sio manaylon ya mchina ya buku k inasweat fangasi zitaacha kuzaana kweli
- ufuaji wa nguo za ndani uwe wa makini. swala la ufuaji wa nguo za ndani kwa watu wengi halitiliwi maanani/umakini
mtu anaoga mimaji michafu iliobaki kwa ndoo ndo anasugua tu kidogo,hasuuzi vizuri huyo anaenda kuanika sijui mvunguni, mwambie afue nguo zake vizuri anunue chupi nyeupe ndo rahisi kujua kama imesafishika vizuri.anunue na kabeseni kadogo akioga asubuhi analoweka na sabuni ya unga anaiacha jioni anafua vizuri na ahakikishe anahanika sehemu ya wazi ili zikauke vizuri
pia kipindi yupo period asiwe anakaa na pedi muda mrefu na ahakikishe anatumia pedi nzuri kuna feki
also,asiwe anatumia vipodozi huko down
lastly kwanini mnafanya zinaa na hamna ndoa
girl naona kwenye usafi iq zetu zinafanya kazi sawa na kufanana pia mana sipendi uchafu na nina kinyaa nao kabisaaaaa........nakumbuka kuna thread moja ya usafi wa vyoo vya ndani u made me happy there girl.........ulomwambia ni kweli best,mimi pia nampa ushauri wangu ingawa k yangu ipo poa kabisa
1.usafi wa eneo.awe anatumia maji masafi sometimes unakuta mtu anatumia mimaji yeyote tu kujisafishia hii ni hatari sana.mimaji ameikuta tu imekaa hajui source yake labda imechotwa kwenye kisima kichafu je?
2.nguo za ndani - kwanza ziwe safi
- pia ziwe na material nzuri mi naprefer cotton ni nghali lakini ni nzuri maana hata k inapata ventilation ventilation ya kutosha na inakuwa kavu.sio manaylon ya mchina ya buku k inasweat fangasi zitaacha kuzaana kweli
- ufuaji wa nguo za ndani uwe wa makini. swala la ufuaji wa nguo za ndani kwa watu wengi halitiliwi maanani/umakini
mtu anaoga mimaji michafu iliobaki kwa ndoo ndo anasugua tu kidogo,hasuuzi vizuri huyo anaenda kuanika sijui mvunguni, mwambie afue nguo zake vizuri anunue chupi nyeupe ndo rahisi kujua kama imesafishika vizuri.anunue na kabeseni kadogo akioga asubuhi analoweka na sabuni ya unga anaiacha jioni anafua vizuri na ahakikishe anahanika sehemu ya wazi ili zikauke vizuri
pia kipindi yupo period asiwe anakaa na pedi muda mrefu na ahakikishe anatumia pedi nzuri kuna feki
also,asiwe anatumia vipodozi huko down
lastly kwanini mnafanya zinaa na hamna ndoa?
jamani sio sabuni zote ziko ivo jamani mamndenyi ........huyu kashauriwa ivo koz anahilo tatizo so kama madaktari wakisema hana ugonjwa wowote ndio ivo ajisafishe vizuri na kama ikiwa bado inaendelea atumie marashi ili kuua ule ukali wa iyo harufu(na marashi na ikawe option ya mwisho bada ya zote kukataa)sabuni na marashi ndo yanasababisha hata harufi mbaya,
wengine wanatumia sabuni za kawaida ila wako poa tu mkuu.
unaijua misky eheheeeeeeejamani sio sabuni zote ziko ivo jamani mamndenyi ........huyu kashauriwa ivo koz anahilo tatizo so kama madaktari wakisema hana ugonjwa wowote ndio ivo ajisafishe vizuri na kama ikiwa bado inaendelea atumie marashi ili kuua ule ukali wa iyo harufu(na marashi na ikawe option ya mwisho bada ya zote kukataa)
hii k haiitaji dawa wala nini ni usafi tu nakwambiagirl naona kwenye usafi iq zetu zinafanya kazi sawa na kufanana pia mana sipendi uchafu na nina kinyaa nao kabisaaaaa........nakumbuka kuna thread moja ya usafi wa vyoo vya ndani u made me happy there girl.........
:focus: wifi akazanie usafi wa eneo lake la tukio vema na ww musaidie pia .....mkimaliza mshauri anawe vizuri sana ahakikishe ametoa shahawa zote mana nazo zikibaki ndani zinaleta harufu mbaya zaidi na sio nzuri ktk k mana inapoteza ile harufu halisi ya k.......