Uke kutoa harufu kali(Vaginal Odor): Chanzo, dalili na tiba zake

Uke kutoa harufu kali(Vaginal Odor): Chanzo, dalili na tiba zake

Hyo ni nzuri wengi hutumia kuogea hasa maji ya ukoko hutoki harufu hata chembe kuanzia ya kikwapa hadi down stairs.

Nimekubali hilo Diva Beyonce kwani nimerishuhudia mwenyewe na nikauliza ila mdada hakuna muwazi kunambia ukweli leo nimepata somo hapa.
 
Last edited by a moderator:
Oshea maji yaliyochanganywa na limao au ndimu hata k ...a yenyewe utakuwa ndogo ndogo
 
ingekuwa ni hivyo basi maji ya mchele na ukoko yangekuwa yanauzwa dukani kama vipodozi vingine

Kwanini ukanunue dukani wakati vinapatikana majumbani tofsuti na madukani lazima waweke chemicals. Sema watu wengi hawajui vitu rahisi ka hivo mwishowe wanatoka harufu ka ng'onda na vi spray vyao vya mchina.
 
Oshea maji yaliyochanganywa na limao au ndimu hata k ...a yenyewe utakuwa ndogo ndogo

Hivi ndimu au limao havina madhara katika uke??? Manake mdomoni tu ni ugwadu je huko chini nyama laini si inakwiva
 
hiyo kauli ungeambiwa wewe sipangechimbika

mwanamke mjinga atapachimba kweli ila mwenye hekima atatafakari vizuri tatizo na njia ya kulitatua kwa gharama yoyote!
 
Hivi ndimu au limao havina madhara katika uke??? Manake mdomoni tu ni ugwadu je huko chini nyama laini si inakwiva

Achana na hyo kitu kuna mdada alidaganywa inarudisha bikra akaweka ndimu na limao weeee maumivu yake alipiga kelele balaa na alikoma.
 
GENTAMYCINE,
kwa hadhi yako hasa kwa kupitia zile mada zako za idarani,hukutakiwa kabisa kuleta mada hii JF.ungekuja nayo kwa ID ya dharula au ungeipiga nyundo tu kwa kutafuta ushauri nje ya mtandao wa kijamii.ni ushauri tu mkuu.
clipart-sad-yellow-smiley-3d-512x512-fcb4.png

Kwahiyo Unataka Kuniambia Nini? Masuala Ya Idarani Ambako Hata Sipajui Hapa Yamekujaje? Na Wewe Ni Nani Kunipangia Cha Kuandika Humu?
 
Zamani hakuwa hivi, hali hii imeanza baada ya kuanza kipindi cha menopause, wandugu nauliza, hii ni kawaida? nimsaidieje? nawasilisha
 
Aisee sasa wewe huko laanani ulienda kufanya nini?Aisee me I still believe in taboos we kijana mdogo halafu unachungulia nyuchi zilizosinyaa(menopause) za wazee unatarajia nini?
 
hapo hakuna jinsi inahitajika usafi wa hali ya juu pamoja na matumizi ya pantiliners
 
Back
Top Bottom