Uke kutoa harufu kali(Vaginal Odor): Chanzo, dalili na tiba zake

Uke kutoa harufu kali(Vaginal Odor): Chanzo, dalili na tiba zake

Kwa wanawake wa maeneo ya pwani hiki kitu huwezi kutana nacho,na hii nadhani inachangiwa na mafundisho ya dini ya kiislam kwamba kila unapokwenda haja ndogo au kubwa ni lazima utumie "maji" na siyo "Tishu".Ukitumia maji ipasavyo huwezi kusikia hii harufu,ila ukifuga mikucha yako kama jini na hutumii maji pia ukienda haja ndogo ukimaliza eti unavaa chupi hivyohivyo bila kunawa hii smell ya kama Nguru aliyeoza lazima itokeee...lazima haikwepeki.Usafi kila unapokwenda chooni hata kama ni haja ndogo tumia maji....simple tu.
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]faken kabisa ww jaman
[emoji23][emoji23] ukweli kapicha kakiwekwa hakiyani itapendeza zaidi - tafadhali kapicha nanyenyekea ukweli kapicha
 
Hapo umechokonoa ute ute wa wenzio ulioganda humo ndan hapajasafishwaa uwiiii
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] alafu mtu anakuambia mimi sijakojoa, hyo hamu ya kumkojoza unaitoa wapi
 
Hivi basically kuna vagina ambayo haina harufu completely?? Mm nadhani isipotoa harufu basi hiyo sio K bali ni utumbo!Let it smell for its own good.
Zipo ambazo free from smell
 
Hahahahaaa nikweli isije ikawa k harufu + shuka harufu [emoji23][emoji23]
Baada ya hapo jioni unamtext baby punguza kutembea na wanaume wengi unasababisha k inakuwa na utoko na harufu alafu unamalizia nakupenda sana baeee wangu una k tamu lakin achana na wanaume utaharibu nakwambia lazma ataiosha vizur mkikutana tena ulete mrejesho hapa
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom