Boutafrica
JF-Expert Member
- Dec 11, 2014
- 974
- 2,106
Kwa wanawake wa maeneo ya pwani hiki kitu huwezi kutana nacho,na hii nadhani inachangiwa na mafundisho ya dini ya kiislam kwamba kila unapokwenda haja ndogo au kubwa ni lazima utumie "maji" na siyo "Tishu".Ukitumia maji ipasavyo huwezi kusikia hii harufu,ila ukifuga mikucha yako kama jini na hutumii maji pia ukienda haja ndogo ukimaliza eti unavaa chupi hivyohivyo bila kunawa hii smell ya kama Nguru aliyeoza lazima itokeee...lazima haikwepeki.Usafi kila unapokwenda chooni hata kama ni haja ndogo tumia maji....simple tu.