Uke kutoa harufu kali(Vaginal Odor): Chanzo, dalili na tiba zake

Uke kutoa harufu kali(Vaginal Odor): Chanzo, dalili na tiba zake

Mwanangu unazengua , nasijui kwann wanaume wengi hatupo responsible kwa wanawake Wetu ,nahata wanawake Wetu pia nao hawapo makini. Kila kitu tunachukulia rahisi...

Mkuu hivi kuna wanawake wanapulizia uchi zao pafyumu.

Hao ni shida duh [emoji849]
 
Mkuu hivi kuna wanawake wanapulizia uchi zao pafyumu
Hao ni shida duh [emoji849]
IMG_20180215_160757.jpg
 
Mwanangu unazengua , nasijui kwanini wanaume wengi hatupo responsible kwa wanawake wetu ,nahata wanawake wetu pia nao hawapo makini. Kila kitu tunachukulia rahisi...
Mkuu umeongelea kuishi naisha ya wazee wetu....vp kuhusu kulamba kule chini? Kuna weza leta tatzo kama hili?
 
Habari wapendwa,mke wangu amekuwa akitoa harufu mbaya sana sana ukeni hasa pale tunapokuwa tunafanya mambo yetu napenda mke wangu apone siwezi kumuacha kisa iyo sababu naomba msaada kwa anayejua dawa yake
Kwa mimi nijuavyo.

Binadamu mwanamke na mwanaume ktk tendo end product ni kila mtu atatoa protein kama maji maji.

Chunguza yafuatayo.

-harufu imemuanza tangu zamani au hivi karibuni.

-je ndani ya wiki mnakutana mara ngapi?

Sasa
Kama kwa wiki mnaweza kukutana zaidi ya mala mbili, punguza, iwe wiki mara moja. Kama harufu bado inaendelea fanya kifuatacho.
Funga safari naye kwenda kwenu jitahidi ukae wiki moja, kisha urudi nyumbani. Usimpe muda fanyeni tena, kama harufu bado inatoka mpeleke hospital haraka.

Kama harufu imekata jua kama umepanga kuna jamaa a nakupigia mke wako, au jirani na katabia hakajazoea vizuri na anashindwa jisafisha ipasavyo kabla ya kuingiliana na wewe.

Harufu hutokana na mchanganyiko wa aina mbili za protein kutoka kwa sources mbili tofauti za mwanaume. Na ndio maana tukaambiwa zinaa ni uchafu
 
Inatibika mkuu,hiyo ni maambikizo ya baadhi ya magonjwa ya Zinaa (sehemu za Siri)
 
Back
Top Bottom