Uke kutoa harufu kali(Vaginal Odor): Chanzo, dalili na tiba zake

Uke kutoa harufu kali(Vaginal Odor): Chanzo, dalili na tiba zake

Mimi nikikutana na wahivyo sioni kama ni sababu tosha ya kumtema, bali nitamuelimisha na kuongeanae kwa adabu maana pengine hajufaham kama yupo kwenye hali ya aina hiyo.
 
Kuna wakati mwingine tuwe na staha kwa hawa wake zetu.

Ukikutana na mwenye hali hiyo mpe elimu ya kuondokana na tatizo au anzisha uzi wa kuelimisha hao wanawake namna ya kujisafisha.

Sidhani kama negativity ni suluhu ya changamoto
Nao wajifunze usafi,makungwi wapo sio umbea tuu.

Kiufupi nimewahi kimbia wanawake 2 siku za karibuni Kwa sababu ya harufu ya k vant.

Observation yangu wamama wanawake wako vizuri kwenye usafi ila vibinti ni vipuuzi hamna kitu usione vinajibinua huko njiani shenzi kabisa.

Mwisho wanawake wanaojiuza au wa Lodges huwezi Kuta wananuka k vant
 
Miaka ya mwanzoni mwa 2000 kulikuwa na tangazo kuhusu Umuhimu wa "Kusema naye"

Mazungumzo ni muhimu sana kwenye kuboresha mahusiano ya Kimapenzi.

=======
Kujibia swali lako huenda huyo mpenzi wako ana magonjwa ya fangasi na bacteria

Mpeleke kwenye kituo cha afya kilicho jirani nawe.


Hata hivyo swali la kizushi, huu utafiti wako umeufanya kwa Wanawake wa ngapi?

Chukua tahadhali, Ukimwi Unaua 😢
 
Mpaka muda huu sijaona mtaalam aliyekuja kuelezea chanzo cha hilo tatizo kwa baadhi ya dada zetu, na namna ya kuondokana nalo. Mfano labda ni kutokuzingatia kanuni za usafi, maambukizi ya fangasi/bakteria, nk.

Badala yake, naona watu wanajimbwambafai tu kukimbia, sijui kufanya nini!!
 
Mpaka muda huu sijaona mtaalam aliyekuja kuelezea chanzo cha hilo tatizo kwa baadhi ya dada zetu, na namna ya kuondokana nalo.

Badala yake, naona watu wanajimbwambafai tu kukimbia, sinui kufanya nini!!
Uchafu,Sasa mwanamke anatakiwa kujisafisha mara nyingi kadiri inavyowezekana.
 
Back
Top Bottom