Uke kutoa harufu kali(Vaginal Odor): Chanzo, dalili na tiba zake

Uke kutoa harufu kali(Vaginal Odor): Chanzo, dalili na tiba zake

Je wewe mtoa hoja hii mfereji wako wa nyuma ya matador yako upo Safi na hautoi harufu?,hii ni two way traffic, jichunguze wewe kwanza kama hutoi harufu huko nyuma
 
Habari za muda huu wadau ? kuuliza sio ujinga hivi hili tatizo la wadada baadhi yao kutoa harufu kali sehem zao za siri husababishwa na nini? kuna demu wangu mmoja huyo ni shida sana. maana hata upulizie perfume haisaidii kitu. wadau kwa anaejua suluhisho anijulishe tafadhali:
 
Habari za muda huu wadau ? kuuliza sio ujinga hivi hili tatizo la wadada baadhi yao kutoa harufu kali sehem zao za siri husababishwa na nini? kuna demu wangu mmoja huyo ni shida sana. maana hata upulizie perfume haisaidii kitu. wadau kwa anaejua suluhisho anijulishe tafadhali:
Fungus sugu
 
Kuna mogojwa ya sehemu za siri ,

Pia kutokujua kujiosha kuna kabenk ka kutunza uchafu kwa uke kama hajui hunuka sana

Mapenzi kinyume na maumbile nao hunuka
 
Naomba nizungumzie Usafi na Ubunifu kidogo wa tendo la ngono.

Nianze na ugonjwa huu wa Fangus ukeni ndani na nje ya eneo la uke fangasi za ukeni ndio sababu kubwa ya wanawake kutoa harufu mbaya wakati wa sex. Mara nyingi fangus za ndani ukeni mwanzo huwa hazina dalili yoyote, zaidi tu ni harufu mbaya ambayo nayo husikika wakati wa kufanya sex.

wadada wengi wamekua na tabia ya kutokujisafisha ukeni, akiingia bafuni anajisafisha juu tu, wanaita kujitawaza, lakini kusafisha uke kuanzia ndani imekua changamoto.

Ni ngumu kufanya tendo la usafi hadi ndani ya uke kila unapoingia bafuni, lakini ni vizuri kujitahidi walau zaidi ya mala mbili kwa wiki.

TUMIA MBINU HII UNAPOTAKA KWENDA KULALA NA MWANAUME UNAE MUHESHIMU.

Endapo tu unajijua ukiingiza vidole vyako sehemu za siri na ukivitoa na kunusa kuna harufu mbaya, usifikiri kwamba unaweza kujisafisha mala moja na ukaenda kwenye show na huyo mwanaume wako mpya salama bila kukutana na makwazo.

Cha kufanya ni hiki, Kwanza tambua hizo ni Fungus za ukeni, hazina dalili za muwasho.

Fungus ni hatari sana hasa zikifika hadi kwenye mfuko wa kizazi, tiba ya mapema ni Muhimu.

Nenda Pharmacy yoyote karbu yako, nunua anti fungal.

Moja wapo ni Cotrimazole Vaginal Pessaries. Hivi vinakua ni vidonge ambavyo utapewa maelekezo jinsi ya kupachika ukeni, ni siku 3 hadi 6 inategemea umepewa anti fungal ipi. bei yake ni nafuu sana, ni chini ya elfu 3.

Baada ya kumaliza matumizi ya dawa hiyo, ni kujifanyia usafi kwa maji safi kuanzia ndani ukeni, kisha next day unaweza kwenda kwa Future husband wako.

Epuka aibu na fedhea jiamini mtoto wa kike na nenda kabenjue kiuno kwa uhuru.

Sababu ya kwanini Fungus hukua na kuweka kambi ukeni ni kwasababu ya unyenyevu usio isha katika uke wa mwanamke tofauti na sisi wanaume, maumbile yetu niya nje tu, na endapo fungus watashambulia ni rahisi kugundua kwani ni eneo la wazi muwasho ukikwepa basi utakuja kushituka korodani zinawaka moto na utatafuta dawa chap kwa haraka.

Hitimisho:
Usafi huu sio furaha kwako tu nakwa mwenza wako pia.

by; dr. Surya
 
Wanawake watapita hapa kama sio wao,kimsingi fungus kwa mwanamke hazna effect sana ila zina effect ukichunguz mf harufu na kushambulia internal parts .so kuepusha Shari kwa boe lazm usafi uwepo maan zkihamia kwa mwanaume ni hatari
 
Naomba kujua hili ni tatizo gani linalosababisha mwanake kutokwa na uchafu wenye harufu mbaya au usio na harufu
 
Back
Top Bottom