Naomba nizungumzie Usafi na Ubunifu kidogo wa tendo la ngono.
Nianze na ugonjwa huu wa Fangus ukeni ndani na nje ya eneo la uke fangasi za ukeni ndio sababu kubwa ya wanawake kutoa harufu mbaya wakati wa sex. Mara nyingi fangus za ndani ukeni mwanzo huwa hazina dalili yoyote, zaidi tu ni harufu mbaya ambayo nayo husikika wakati wa kufanya sex.
wadada wengi wamekua na tabia ya kutokujisafisha ukeni, akiingia bafuni anajisafisha juu tu, wanaita kujitawaza, lakini kusafisha uke kuanzia ndani imekua changamoto.
Ni ngumu kufanya tendo la usafi hadi ndani ya uke kila unapoingia bafuni, lakini ni vizuri kujitahidi walau zaidi ya mala mbili kwa wiki.
TUMIA MBINU HII UNAPOTAKA KWENDA KULALA NA MWANAUME UNAE MUHESHIMU.
Endapo tu unajijua ukiingiza vidole vyako sehemu za siri na ukivitoa na kunusa kuna harufu mbaya, usifikiri kwamba unaweza kujisafisha mala moja na ukaenda kwenye show na huyo mwanaume wako mpya salama bila kukutana na makwazo.
Cha kufanya ni hiki, Kwanza tambua hizo ni Fungus za ukeni, hazina dalili za muwasho.
Fungus ni hatari sana hasa zikifika hadi kwenye mfuko wa kizazi, tiba ya mapema ni Muhimu.
Nenda Pharmacy yoyote karbu yako, nunua anti fungal.
Moja wapo ni Cotrimazole Vaginal Pessaries. Hivi vinakua ni vidonge ambavyo utapewa maelekezo jinsi ya kupachika ukeni, ni siku 3 hadi 6 inategemea umepewa anti fungal ipi. bei yake ni nafuu sana, ni chini ya elfu 3.
Baada ya kumaliza matumizi ya dawa hiyo, ni kujifanyia usafi kwa maji safi kuanzia ndani ukeni, kisha next day unaweza kwenda kwa Future husband wako.
Epuka aibu na fedhea jiamini mtoto wa kike na nenda kabenjue kiuno kwa uhuru.
Sababu ya kwanini Fungus hukua na kuweka kambi ukeni ni kwasababu ya unyenyevu usio isha katika uke wa mwanamke tofauti na sisi wanaume, maumbile yetu niya nje tu, na endapo fungus watashambulia ni rahisi kugundua kwani ni eneo la wazi muwasho ukikwepa basi utakuja kushituka korodani zinawaka moto na utatafuta dawa chap kwa haraka.
Hitimisho:
Usafi huu sio furaha kwako tu nakwa mwenza wako pia.
by; dr.
Surya