Ukiacha Dar es Salaam, mikoa iliyobaki ujanja wao ni mchana tu, ikifika saa tatu usiku kila mtu yupo kwake

Ukiumwa ghafla usiku saa tano kwa mikoani unaweza kufa
Hakuna sehemu rahisi kusaidika kama mikoani esp usiku. Watu wanafahamiana, majirani wanajuana, unakuta hosp ya kijiji hadi daktari anajulikana anaishi boma lipi na mwenye nyumba ni nani, bado kuna chembe chembe za ujamaa. Dsm ni ubepari mtupu, kila tatizo yule anayeweza kukupa msaada anaona fursa, usipotapeliwa unaibiwa.
 
Hakuna sifa yeyote kukaa macho usiku, usiku was designed kwa ajili ya mapumziko, au vipi sheik,? Mimi nakaa Dar ila siwezi kuwa nje baada ya saa 12 kama hakuna sababu!
Usiku haujawa designed, ni sehemu ya dunia yako tu inageukia upande usiokuwa na jua. Halafu kuna kuna kazi nyingi na viwanda wanapiga kazi masaa 24, watu wanapokezana tu shift.
 
Hawawez kukubaliana na hili...ila ukwel miili yetu inahitaj kupumzika pia..na ndo maana ukawepo usiku kwa ajili ya hyo ...Sasa wenyew wanajiona wajanja kwa kukesha bar kumbe wanajimaliza tu...
 
Mji kama Tunduma una mishe nyingi sana ila ikifika saa 4 usiku tu huduma za kifedha kama Tigo Pesa, M-pesa zinakua zimefungwa mji mzima.
 
Mji kama Tunduma una mishe nyingi sana ila ikifika saa 4 usiku tu huduma za kifedha kama Tigo Pesa, M-pesa zinakua zimefungwa mji mzima.
Labda kuna ujambazi au uporaji
 
Dar watu wengi hawana pa kulala wanazurura tu kama nguruwe pori usiku kucha!......hizo bar za kukesha wanajaa watu wasio na magazine maana ndo sehemu hamna mtu atakuuliza Acha ushamba mtoa hoja
 
Hakuna uspesho na sio suala la population tu, ni kwa sababu ya fursa za kieneo. Bandari, Ikulu kuu, mwisho wa reli zote, Airport
 
Mbona kwenye uzi tumebaki wa mikoani peke yetu wale watu wa dar wameenda wapi..?? 🀣🀣🀣

Au ndio mida ya kugombania daladala hii πŸ˜„
 
Huko ni outskirt,surbub au nje ya mji au viungani sio mjini
Mwongezeew upcountry au share wanaongoza kwa mapaa marefu ya nyumba kwamba hata ujenzi hufati standard kitu ambacho huwez kukuta huku kino mwanmboka
 
Mbona kwenye uzi tumebaki wa mikoani peke yetu wale watu wa dar wameenda wapi..?? 🀣🀣🀣

Au ndio mida ya kugombania daladala hii πŸ˜„
Watu wako bize ndugu,mjini chuo kikuu,wako kwenye mitihani ya maisha,chumba cha mtihsni hakitaki kelele
 
Saa 6 usiku unataka uende wapi?
 
Mkuu...umejitetea sana....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…