Ukiacha Dar es Salaam, mikoa iliyobaki ujanja wao ni mchana tu, ikifika saa tatu usiku kila mtu yupo kwake

Maeneo hayawezi fanana, lakini Bonyokwa ni kuzuri na kuna mijengo ya maana wala hakuna uswahili.
Bonyokwa pazuri sana,hivi bonyokwa iko wilaya ya ubungo au ilala,maana huwa sijui iko segerea au kimara
 
Mkuu...umejitetea sana.....
Hapana nakusanua tu, ukae katika position.
Hauwi gentleman of high character kama saa 1 jioni unaingia club saa 11 asubuhi unang'anga'nia, wanafanya usafi hapo unakuwa kama BARMAID.
Bia umekunywa mbili tena labda za coupon, demu haujango'oa, au ukute unakunywa juice au fanta😀.
Ni USHAMBA bora uwahi home
 
kwamba kukesha na kupigwa na chupa saa 12 asubuhi ndiyo kipimo cha kuonyesha wewe mjanja🤔?
 
Usiku haujawa designed, ni sehemu ya dunia yako tu inageukia upande usiokuwa na jua. Halafu kuna kuna kazi nyingi na viwanda wanapiga kazi masaa 24, watu wanapokezana tu shift.

Hao wanakaa kwa Sababu!
 
Hakuna sifa yeyote kukaa macho usiku, usiku was designed kwa ajili ya mapumziko, au vipi sheik,? Mimi nakaa Dar ila siwezi kuwa nje baada ya saa 12 kama hakuna sababu!
Kuna aina fulani za biashara zinachanganya usiku kuliko mchana
 
Haya matusi na dhihaka ni Kwa sababu Serikali Inachukua pesa na jasho la watu wa Mkoani kwenda kujenga Dar
 
Sisi wa mkoani hatuna hizo shida za kutulazima tukeshe mkuu. Ninyi pambaneni
 
Saa tatu mbona mbali sana, sehemu zingine saa moja tu watu wote wapo ndani kama kuku
 
Mkoani watu hawachakariki sana ndio maana matajiri wachache wanajulikana mkoa mzima na masikini ni wengi sana.
Kwa hiyo na wewe ni tajiri wa Dar unayekesha? Kwani hela zinatafutwa usiku tu? Huoni kuwa ni umasikini tu ndio unasababisha ukeshe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…