Konda wa bajaj
JF-Expert Member
- Sep 10, 2024
- 604
- 918
Bonyokwa ni kuzuri kama bweni?.Hivi nani aliwaambia bonyokwa ni sehemu ya kudharaulika? Umewahi kufika bonyokwa kweli??
Kama bado, siku njoo usafishe macho kwa mandhari nzuri na ya kuvutia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bonyokwa ni kuzuri kama bweni?.Hivi nani aliwaambia bonyokwa ni sehemu ya kudharaulika? Umewahi kufika bonyokwa kweli??
Kama bado, siku njoo usafishe macho kwa mandhari nzuri na ya kuvutia
Maeneo hayawezi fanana, lakini Bonyokwa ni kuzuri na kuna mijengo ya maana wala hakuna uswahili.Bonyokwa ni kuzuri kama bweni?.
Hapana nakusanua tu, ukae katika position.Mkuu...umejitetea sana.....
Bonyokwa ipo IlalaBonyokwa pazuri sana,hivi bonyokwa iko wilaya ya ubungo au ilala,maana huwa sijui iko segerea au kimara
Sawa na Mbeya tuArusha yenyewe ikifika saa 2 tu watu wamelala
Usiku haujawa designed, ni sehemu ya dunia yako tu inageukia upande usiokuwa na jua. Halafu kuna kuna kazi nyingi na viwanda wanapiga kazi masaa 24, watu wanapokezana tu shift.
Kuna aina fulani za biashara zinachanganya usiku kuliko mchanaHakuna sifa yeyote kukaa macho usiku, usiku was designed kwa ajili ya mapumziko, au vipi sheik,? Mimi nakaa Dar ila siwezi kuwa nje baada ya saa 12 kama hakuna sababu!
Haya matusi na dhihaka ni Kwa sababu Serikali Inachukua pesa na jasho la watu wa Mkoani kwenda kujenga DarMikoani mmepoa sana,kuna mikoa ikifika saa tatu huwezi kuona mtu nje,still wanaamka saa moja, mnakuwa mbafanya nini ndani muda wote.
Saa sita za usiku DSM kuna watu ndio wanajiandaa watoke
Saa saba usiku wauza chipsi bado wanamenya viazi.
Juzi kuna mtuhumiwa kampiga na kitako cha bastola mwenzake saa 12 asubuhi wakiwa kwenye club ya usiku.
Kuna mikoa sungusungu wanaanza doria saa tatu,ukizubaa unakamatwa na kuulizwa eti unatoka wapi usiku huu ,saa tatu ni usiku??
Mnalala sana mikoani
yap nikiwa chicagoBraza black America iyo picha ni yako au 😂
Sisi wa mkoani hatuna hizo shida za kutulazima tukeshe mkuu. Ninyi pambaneniWatu wa mikoani mna tabu sana, Dar kuna sehemu biashara ya chakula inaanza saa 1 usiku mpaka asubuhi, wale kuku Sekela wanalika usiku, pita enzi hizo Barafaa, American Chips, Muchacho hao ni maexpert wa kuku chips usiku.
Dar sasa hivi serikali imepitisha biashara zifanyike 24 hours, Warundi, Wazambia na Wacongo wakiingia tu wafunge mzigo.
Saa tatu mbona mbali sana, sehemu zingine saa moja tu watu wote wapo ndani kama kukuMikoani mmepoa sana,kuna mikoa ikifika saa tatu huwezi kuona mtu nje,still wanaamka saa moja, mnakuwa mbafanya nini ndani muda wote.
Saa sita za usiku DSM kuna watu ndio wanajiandaa watoke
Saa saba usiku wauza chipsi bado wanamenya viazi.
Juzi kuna mtuhumiwa kampiga na kitako cha bastola mwenzake saa 12 asubuhi wakiwa kwenye club ya usiku.
Kuna mikoa sungusungu wanaanza doria saa tatu,ukizubaa unakamatwa na kuulizwa eti unatoka wapi usiku huu ,saa tatu ni usiku??
Mnalala sana mikoani
Kama ni kweli supu ya pweza, biashara ya malaya, bias, chapati na maharage, supu ya kongoroKuna aina fulani za biashara zinachanganya usiku kuliko mchana
Wewe ni miongoni mwa vijana waliofanikiwa wakiwa na umri mdogoyap nikiwa chicago
Kwa hiyo na wewe ni tajiri wa Dar unayekesha? Kwani hela zinatafutwa usiku tu? Huoni kuwa ni umasikini tu ndio unasababisha ukeshe?Mkoani watu hawachakariki sana ndio maana matajiri wachache wanajulikana mkoa mzima na masikini ni wengi sana.
Unaacha kulala unahangaika na machips... Watu tunakula Bata mchana ikifika usiku tunalala...Naunga mkono hoja. Saa7 una menya chips manake watu wa huko wanashida sana. Muda wa kulala na familia wee Bado unafanya kazi. Mchana unatosha kabisa kuingiza Hela.