Ukiacha Dar, kuna mji mwingine wa kula bata nzuri na machimbo makali kama Moshi?

Asante 😂😂
 
Mwanza,Arusha,Mbeya,Tunduma na Kahama umeiacha wapi?
 

Mkuu ungetaja walau sehemu 10 Watu Kidogo wangekuamini, lakini sehemu 4 Kwa kweli haiwezi mshawishi MTU.
 
Dodoma bambalaga, The Bistro, rainbow, la patrona , malaika, waswanu, Laliga, southern empire, royal village na nyingine kibaooo ila hizo ndo zina bamba balaaa... tukutane kesho Bistro team Dom[emoji91][emoji482][emoji2957]
 
Dodoma bambalaga, The Bistro, rainbow, la patrona , malaika, waswanu, Laliga, southern empire, royal village na nyingine kibaooo ila hizo ndo zina bamba balaaa... tukutane kesho Bistro team Dom[emoji91][emoji482][emoji2957]
Nikija huko lazma nije na nitaleta mrejesho hapa
 
Picnic Arusha. The best place of all time! Haichuji kabisa
 

Mhubiri 12:1​

Mkumbuke Muumba wako siku za ujana wako, Kabla hazijaja siku zilizo mbaya, Wala haijakaribia miaka utakaposema, Mimi sina furaha katika hiyo.

Ufu 1:7-8​

Tazama, yuaja na mawingu; na kila jicho litamwona, na hao waliomchoma; na kabila zote za dunia wataomboleza kwa ajili yake. Naam. Amina. Mimi ni Alfa na Omega, mwanzo na mwisho, asema Bwana Mungu, aliyeko na aliyekuwako na atakayekuja, Mwenyezi.

Bwana anakuja, yu karibu malangoni. wakati unavyofikiri kuna amani, ndipo uharibifu uwajiapo. heri wazifuao nguo zao wasije kuaibika siku ile.

Dan 12:2-3​

Tena, wengi wa hao walalao katika mavumbi ya nchi wataamka, wengine wapate uzima wa milele, wengine aibu na kudharauliwa milele. Na walio na hekima watang’aa kama mwangaza wa anga; na hao waongozao wengi kutenda haki watang’aa kama nyota milele na milele.

Mpokee yesu sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…