Kibosho1
JF-Expert Member
- Dec 12, 2017
- 2,621
- 4,293
- Thread starter
- #61
Asante 😂😂
Kadri unavyotembea ndivyo unazidi kugundua kuwa "zamani ulikuwa mjinga"
Hapa unaisfia Dar kiasi cha kusema 'shetani mwenyewe anasuburi" ila nikikupeleka Nairobi Kenya, hiyo Dar unaiona ya kawaida tu na pengine utajiona mshamba.
Vivyo hivyo ukiilinganisha Nairobi na sehemu nyingine zilizoendelea itaonekana ya kishamba pia.
NB: UZURI WA SEHEMU, HUTOKANA NA EXPOSURE YA MLENGWA.