Ukiacha sex, mwanamke ana nini cha ziada anachotoa kwenye mahusiano?

Wapo wengi wema mkuu ila mnatafuta slay queen walioshindikana wenye namba 8 chuchu saa 4

Wanawake kama Zuchu hamtaki kutulia nao endeleeni kupigwa hivyohivyo
Uyo Zuchu mwenyewe kivuluge sema tu kakutana na badboy ndio maana anaonekana victim. Angekutana na nice guy mbona ungemwonea huruma kaka wa watu.
 
Huu mwaka uishe, wanaume kila siku ni vilio juu ya wanawake, kwani lazima si muwaache, kila mtu ashike 50 zake. Lol
 
Hivi dada zetu wanafahamu Mambo wanayopaswa kuchangia kwenye relationship ukiacha sex ?
Hiyo nd kazi Yao wachangie nini Tena? Mnataka wachangie wakijua utamu wa pesa wanatunyoosha tunaloa makosa ni yetu hao hawana Cha kuchangia usitake matatizo
 
Hivi dada zetu wanafahamu Mambo wanayopaswa kuchangia kwenye relationship ukiacha sex ?
Mwanaume wa kweli hawezi kuuliza swali la kiboya kama hili. Maswali na hoja ambazo zinaletwa hapa JF kuhusu mahusiano zina dalili zote kwamba wanaume halisi wanapungua kadri siku zinavyoenda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…