M O N S T E R
JF-Expert Member
- Sep 26, 2022
- 8,825
- 20,941
Take it easy, acha ku-panic.Bila mwanamke ungekuwepo kuanzisha hii thread? Dunia ipo hivi ilivyo kwa sababu wanawake (na wanaume) wapo sio kwa kuzaa tu bali they have contributed a lot to shape the world.
Sio vizuri kuonesha udhalilishaji kwa gender mojawapo. Kama umekosana na mtu wako huko ni nyie wawili but don't generalize. Right?
MtibelianMwanamke Jambo kubwa analoweza ni kukupatia watoto.
Hayo Mengine yote unaweza kuyapata kwingine.
Shauri limefungwa rasmiKwa mwanamke sex sio starehe tu, ni bargain power, nyenzo ya udhibiti na ya kutoa adhabu katika muingiliano wake na mwanaume. Kimsingi ukiondoa sex(ambayo ni starehe ya wote) wakina dada wengi wa kisasa hawana kingine wanachotoa kwenye mahusiano. Mwanaume dhibiti nyege zako utagundua wanawake ni liability tu kwenye maisha yako
Haya nayo ni maoni yako na yanapaswa kuheshimiwaMwanaume wa kweli hawezi kuuliza swali la kiboya kama hili. Maswali na hoja ambazo zinaletwa hapa JF kuhusu mahusiano zina dalili zote kwamba wanaume halisi wanapungua kadri siku zinavyoenda.
Wanawake Wana kazi mbili tu hapa duniani, kutuzaa na kituuwa! Nafunga ukurasa!Hivi dada zetu wanafahamu Mambo wanayopaswa kuchangia kwenye relationship ukiacha sex ?
Kati ya Me na Ke, nani alitangulia duniani?.Bila mwanamke ungekuwepo kuanzisha hii thread? Dunia ipo hivi ilivyo kwa sababu wanawake (na wanaume) wapo sio kwa kuzaa tu bali they have contributed a lot to shape the world.
Sio vizuri kuonesha udhalilishaji kwa gender mojawapo. Kama umekosana na mtu wako huko ni nyie wawili but don't generalize. Right?
Yaaani mambo ya ajabu kabisaaaYan. Anakutiaje moyo sjui. ..
"'" Babe unaweza go and do it"" "
π€£π€£π€£π€£
Eva sijui Hawa ni msaidizi wa Adam kwa kila kitu tena msaidizi wa kufanana naye kutoka ubavuni pake!
ππUyo Zuchu mwenyewe kivuluge sema tu kakutana na badboy ndio maana anaonekana victim. Angekutana na nice guy mbona ungemwonea huruma kaka wa watu.
Basi kama GigiWANAWAKE kama naniiiiiii???
Zuchu hapana BWANA
Hii ni product ya malezi ya single father ...pole
Uhalisia wanaume wanahitaji wanawake zaidi ya wanawake wanavyohitaji wanaume
Lakini ikitumika busara,sisi wote tunahitajianSi
Sio uhalisia Huo mnajidanganya Tu!Hii ni product ya malezi ya single father ...pole
Uhalisia wanaume wanahitaji wanawake zaidi ya wanawake wanavyohitaji wanaume
Lakini ikitumika busara,sisi wote tunahitajiana
Noooo π€π€π€π€π€Basi kama Gigi
Tag locs, nakuja chaap.Njoo upo wap? Au kuja pm
Hapo sasa, lol ππππKuacha hawataki ila kila siku milio tu
!!???Mke wangu ananipa FEMININE ENERGY ya kumtumikia Mungu kwa bidii zaidi