Ukiachana na dunia kulizunguka jua na kujizungusha kwenye muhimili wake nadhani kuna mzunguko mwingine ambao wanasayansi hawajaugundua

Yote yanawezekana kwa sababu jua linatoa mwanga pande zote za ulimwengu.

Hivyo popote itakapokuwa sayari itamulikwa na jua tu kwa sababu huo angani mwanga unasafiri katika mstari mnyoofu.
Inawezekana pia lakini kama sayari hazizunguki mbona huwa tunaziona katika utofauti namaanisha leo utaiona Mars ipo mahali fulani lakini baada ya muda mfupi ipo upande mwengine.

Mkuu just msome Albert.
 
Try to find knowledge for yourself!. Sioni haja ya wao kutuficha ati dunia inazunguka so wanapata nini wakisema hivyo..? Mkuu hoja zako zibajibika ila tafuta maarifa just kwa kukupa mwanga ielewe space na gravity kama alivyoielezea Albert Einstein inajibu vitu vingi sana na vyengine vingi tu. Ukishindwa tafuta hela toka kwenye uso wa dunia iangalie utuletee na mrejesho.. hilo ndo jibu zuri zaidi alasivyo hapa tutaumana tu..😅
Mkuu mimi hata hapa ninapoandika na kukuuliza ndio nasoma hivo,sina lengo la kubishana.

Ninapoona mambo sijayaelewa nakuwa tayari kujifunza sana sana kwa kuuliza maswali juu ya jambo fulani.

Watu wengi hawapendi kuulizwa,wanaona wakiulizwa wanakomolewa ili washindwe.

Mimi hapa nasoma ndio maana nauliza,sina sehemu nyingine ya kusoma haya mambo.
 
Dunia ipo imesimama, haizunguki jua ila jua ndo linazunguka Dunia, na ndio Mana ndo Mana tuna ona jua Lina change position,
 
Hebu acheni masikhara, Dar es Salaam hakujaqahi kuwa na baridi labda kama tuna vipimo tofauti vyenye kutambulisha baridi...
 
Na kuna model nyingine ambayo bado haijaingia kwenye vitabu kutoka NASA inayo suggest kuwa solar system ( Jua na sayari zake8) na yenyewe ipo kwenye mzunguko wake ( orbit).
 
Inawezekana pia lakini kama sayari hazizunguki mbona huwa tunaziona katika utofauti namaanisha leo utaiona Mars ipo mahali fulani lakini baada ya muda mfupi ipo upande mwengine..!
Mkuu just msome Albert.
Hata nyota zinaenda hazijatulia mkuu ndio maana ukiangalia usiku kwa makini utaona kuwa zinabadilisha nafasi.

Mimi nazungumzia dunia mkuu sizungumzii sayari zingine,kuzunguka kwa sayari zingine sidhani kama inatosha kutuaminisha kwamba na dunia inazunguka.

Kwa sababu tukichukua mfanno huo mtu anaweza kusema kila seli katika mwili.

Mwili wa binadamu una seli mbali mbali,lakini ukichukua seli ya damu iliyoko kamili haina nucleus.

Wakati ukichukua seli nyingine ya mwili unakuta ina nucleus,lakini zotw ni seli.

Kuwepo kwa nueus katika seli moja sidhani kama ni udhibitsho wa kuwepo kwa nucleus katika seli nyingine.

Kama hili linawezekana katika mwili wetu kuwa na seli tofauti,unadhani vipi ishindikanne nje ya ulimwengu kuwa na sayari zenye sifa tofauti mkuu ?
 
Kuna mmoja hawajaugundua mpaka mwenyewe kafa, ni Ule wa Mwendazake kuzunguka Mihimili Yote ya Dola Kisha Yeye Kujikita chini zaidi yaani huu ulikua haujagundulika kabisa sioni wanasayansi hata huko ulaya kugundua hii
 
Mkuu mimi hata hapa ninapoandika na kukuuliza ndio nasoma hivo,sina lengo la kubishana.

Ninapoona mambo sijayaelewa nakuwa tayari kujifunza sana sana kwa kuuliza maswali juu ya jambo fulani.

Watu wengi hawapendi kuulizwa,wanaona wakiulizwa wanakomolewa ili washindwe.

Mimi hapa nasoma ndio maana nauliza,sina sehemu nyingine ya kusoma haya mambo.
Kukuelezea itakuwa ni kitu kirefu na itachukua muda maana hata Mimi kuzielewa hizo theory ilinichukua muda kweli!.. imefika kipindi nikiona mtu anaandika hoja zake za kusema dunia ni flat au sijui haizunguki hizo hoja ndo huwa zinazidi kunifanya niamini dunia ni duara na inazunguka..😂

Kinachonichosha kwenye hii mijadala ni kwamba uanze Kwanza kumfundisha mtu baadhi ya theory sasa na zinachukua muda kidogo kuelewa just imagine umuambie mtu space inaweza kuwa curved!!! Uanze kumuelezea in how.?😅 Ukiweza kuelewa haya walahi utaona majibu rahisi kabisa..!
 
Umeshasema jua linahama na sio dunia ndo inahama,maana yake tunakubaliana kwamba jua ndio linatembea

Haiwezekani ukubali jua linahama alafu ukatae kwamba jua hitembei,hapo tumeelewana kwamba jua ndo linatembea,ni ngumu kutumia kauli nyingine zaidi ya hii.

Naomba ufafanue kivipi jus kushindwa kuzama baadhi ya Nchi uwe uwe ni uthibitisho wa kutembea kwa dunia na sio jua

Hata gari ikiwa mbali na wewe utaiona ndogo,ikiwa inakuja inasogea utazidi kuiona kubwa.

Hivyo na jua nalo linatembea likiwa mbali na chi yako utaliona dogo au kubwa likiwa karibu,naona hoja hii inatumika na pande zote mbili.

Kipi kinazuia kuwepo urefu wa usiku na mchana endapo jua ndo linazunguka dunia ?
Kwahiyo unamaanisha jua linaizunguka dunia huku linahama. Je unaamini uwepo wa sayari zingine tofauti na dunia humu ulimwenguni? Kama unaamini je jua linatumia mfumo gani kuzizunguka zote bila kuathiri nyingine
 
Ndio maana ya elimu,unajitolea kuwafundisha wengine.

Lakini sawa kama uanaona shida kuelezea basi acha sisi tuelezee yale tunayoyaelewa tuzidi kkujifunza.
 
Umeshasema jua linahama na sio dunia ndo inahama,maana yake tunakubaliana kwamba jua ndio linatembea

Haiwezekani ukubali jua linahama alafu ukatae kwamba jua hitembei,hapo tumeelewana kwamba jua ndo linatembea,ni ngumu kutumia kauli nyingine zaidi ya hii.

Naomba ufafanue kivipi jus kushindwa kuzama baadhi ya Nchi uwe uwe ni uthibitisho wa kutembea kwa dunia na sio jua

Hata gari ikiwa mbali na wewe utaiona ndogo,ikiwa inakuja inasogea utazidi kuiona kubwa.

Hivyo na jua nalo linatembea likiwa mbali na chi yako utaliona dogo au kubwa likiwa karibu,naona hoja hii inatumika na pande zote mbili.

Kipi kinazuia kuwepo urefu wa usiku na mchana endapo jua ndo linazunguka dunia ?
Kwahiyo unamaanisha jua linaizunguka dunia huku linahama. Je unaamini uwepo wa sayari zingine tofauti na dunia humu ulimwenguni? Kama unaamini je jua linatumia mfumo gani kuzizunguka zote bila kuathiri nyingine
 
Hata nyota zinaenda hazijatulia mkuu ndio maana ukiangalia usiku kwa makini utaona kuwa zinabadilisha nafasi.

Mimi nazungumzia dunia mkuu sizungumzii sayari zingine,kuzunguka kwa sayari zingine sidhani kama inatosha kutuaminisha kwamba na dunia inazunguka.

Kwa sababu tukichukua mfanno huo mtu anaweza kusema kila seli katika mwili.

Mwili wa binadamu una seli mbali mbali,lakini ukichukua seli ya damu iliyoko kamili haina nucleus.

Wakati ukichukua seli nyingine ya mwili unakuta ina nucleus,lakini zotw ni seli.

Kuwepo kwa nueus katika seli moja sidhani kama ni udhibitsho wa kuwepo kwa nucleus katika seli nyingine.

Kama hili linawezekana katika mwili wetu kuwa na seli tofauti,unadhani vipi ishindikanne nje ya ulimwengu kuwa na sayari zenye sifa tofauti mkuu ?
Najua yote haya mkuu we chakufanya fata huo muongozo niliokupa utaelewa kwanini naamini dunia ni duara na inazunguka jua n.k n.k

UKimaliza haya utakuja kujikuta unahamisha fikra zako toka hata kwenye hayo masayari na kuutafakari ulimwengu mzima na hapo utakuja kugundua hata ulimwenguni hapa Kuna baadhi ya kanuni hatujazijua!.. the way ulimwenguni unavyofanya kazi walahi hatujui laws nyingi sana!.

Mkuu sahivi nipo kwenye kulitafakari giza linazalishwa na nini..? Space imetengenezwa na nini and in how space take a space for itself to be a space..😅
Mi nakukaribisha huku maana hata Mungu utakuja kuanza kumtafakari katika utofauti sana!.

Mkuu fata huo muongozo.
 
Umeshasema jua linahama na sio dunia ndo inahama,maana yake tunakubaliana kwamba jua ndio linatembea

Haiwezekani ukubali jua linahama alafu ukatae kwamba jua hitembei,hapo tumeelewana kwamba jua ndo linatembea,ni ngumu kutumia kauli nyingine zaidi ya hii.

Naomba ufafanue kivipi jus kushindwa kuzama baadhi ya Nchi uwe uwe ni uthibitisho wa kutembea kwa dunia na sio jua

Hata gari ikiwa mbali na wewe utaiona ndogo,ikiwa inakuja inasogea utazidi kuiona kubwa.

Hivyo na jua nalo linatembea likiwa mbali na chi yako utaliona dogo au kubwa likiwa karibu,naona hoja hii inatumika na pande zote mbili.

Kipi kinazuia kuwepo urefu wa usiku na mchana endapo jua ndo linazunguka dunia ?
Kama jua linazunguka dunia basi sema nyota zote na mbalamwezi zinazunguka dunia. Ungekuwa unafanya kazi za kukesha sehemu ya wazi ungeweza kuthibitisha hili. Nyota za kusini zaidi huwa hazizami ila za mashariki huwa zinazama na kutoka zingine zamu kwa zamu. Sisi nyota tumekuwa tukizitumia kuendeshea vyombo vyetu sema kwasasa tecnology imekua tunatumia smartphone kuendesha ila maswala ya nyota nayajua sana
 
wahiyo unamaanisha jua linaizunguka dunia huku linahama
Si linatembea naam linahama kwa ninavyoelewa mpaka sasa.
Je unaamini uwepo wa sayari zingine tofauti na dunia humu ulimwenguni?
Ndio naamini.
Kama unaamini je jua linatumia mfumo gani kuzizunguka zote bila kuathiri nyingine
Ninaamini kwamba lina njia yake linapita humo bila kuathiri vitu vingine ambavyo vina njia zake.

Ndio maana utakuta jua linatoka mashariki kwenda magharibi tokea tunazaliwa,halijawahi kutokea kusini kwenda kaskazini kwa sababu lina njia zake.

Huku kuwa na njia zake sio ajabu kwa sababu hata wanaoona dunia inazunguka wanaamini kwamba dunia inapita katika njia zake yenyewe.
 
Si linatembea naam linahama kwa ninavyoelewa mpaka sasa.

Ndio naamini.

Ninaamini kwamba lina njia yake linapita humo bila kuathiri vitu vingine ambavyo vina njia zake.

Ndio maana utakuta jua linatoka mashariki kwenda magharibi tokea tunazaliwa,halijawahi kutokea kusini kwenda kaskazini kwa sababu lina njia zake.

Huku kuwa na njia zake sio ajabu kwa sababu hata wanaoona dunia inazunguka wanaamini kwamba dunia inapita katika njia zake yenyewe.
Je sayari zingine linazizungukia vipi ili kila moja iendane na muda uleule. Yaani kama linakamilisha mzunguko wake kwa masaa 24 basi sayari zote sitakuwa na siku yenye urefu wa masaa 24 ya hapa duniani. Mpona mizunguko inatofautiana muda kwa kila sayari?
 
Najua yote haya mkuu we chakufanya fata huo muongozo niliokupa utaelewa kwanini naamini dunia ni duara na inazunguka jua n.k n.k

UKimaliza haya utakuja kujikuta unahamisha fikra zako toka hata kwenye hayo masayari na kuutafakari ulimwengu mzima na hapo utakuja kugundua hata ulimwenguni hapa Kuna baadhi ya kanuni hatujazijua!.. the way ulimwenguni unavyofanya kazi walahi hatujui laws nyingi sana!.

Mkuu sahivi nipo kwenye kulitafakari giza linazalishwa na nini..? Space imetengenezwa na nini and in how space take a space for itself to be a space..😅
Mi nakukaribisha huku maana hata Mungu utakuja kuanza kumtafakari katika utofauti sana!.

Mkuu fata huo muongozo.
Labda nikuambie kitu mkuu kwamba hizi elimu hazikuanza darasani,watu walikaa wakaumiza kichwa kisha ndio wakaingiza darasani.

Sidhani kama inashindikana wewe kutuelimisha hapa ukizingatia kwamba hatupo kubishana hivyo sio tatizo somo likachukua muda mrefu maadamu tunaelewa.

Leo ukimuambia mtu kuna gravitational force inayosababisha jiwe lirudi chini hii haihitaji aende shule ndo aelewe japokuwa hayo GRAV .FORCE watu wanayasoma kwa mapana huko shule.

Ila ninachosikia ni kwamba haya mambo ni magumu wengi walioyasoma wanakuwa hawawezi kuyaelezea kwa wengine,yaani pengine wao wenyewe hawakuyaelewa.

Unayojiuliza kuhusu ulimwengu na mimi najiuliza hivyo hivyo mkuu,nadhani kuna haja ya kutafakari zaidi.

Na mimi nilikaa nikajiuliza siku moja juu ya giza,nilijiuliza sana kwamba pengine nature ya ulimwengu ni giza,maana kikiondolewa kitu ndio tunapata giza.

Ukiondoa taa unapata giza,ukiondoa jua tunapata giza.

Sikuishia hapo nikazidi kujiuliza je kama giza ndio nature ndio nini sasa ? ,najifunza nini kutokana na jambo hili ? Sasa ndio nafanyia kazi hapa mkuu
 
Ndio maana ya elimu,unajitolea kuwafundisha wengine.

Lakini sawa kama uanaona shida kuelezea basi acha sisi tuelezee yale tunayoyaelewa tuzidi kkujifunza.
Anza kufatilia mkuu kama kweli una nia ni kazi sana kusema nianze huo mchakato hapa maana swala sio kujibu tu dunia inazunguka but how..? Sasa hiyo how ndo inahitaji maarifa zaidi! Na yapo sio kwamba hayapo just it's your passion kama kweli unahiyo passion you can find what you want.
 
Back
Top Bottom