KENZY
JF-Expert Member
- Dec 27, 2015
- 32,529
- 76,691
Inawezekana pia lakini kama sayari hazizunguki mbona huwa tunaziona katika utofauti namaanisha leo utaiona Mars ipo mahali fulani lakini baada ya muda mfupi ipo upande mwengine.Yote yanawezekana kwa sababu jua linatoa mwanga pande zote za ulimwengu.
Hivyo popote itakapokuwa sayari itamulikwa na jua tu kwa sababu huo angani mwanga unasafiri katika mstari mnyoofu.
Mkuu just msome Albert.