Mtemi Mbojo
JF-Expert Member
- Apr 27, 2017
- 2,330
- 4,048
MAENDELEO tutaendelea kuyasikia kwa wenzetu..
MteraNi Mbunge wa Jimbo gani hilo mkuu
Ubunge kitu cha kipumbavu sana, huyu hakusoma formal education lakini alimshinda nguli wa diplimasia, waziri mkuu mstaafu John Cigwiyemisi Malecela! Sijui wapiga kura akili zao ziikoje.Ni Mbunge wa Jimbo gani hilo mkuu
Iko hivi kibajaji mwenyewe alishasema yeye aliishia darasa la nne na mke wake aliishia la tatu kwa hiyo ukijumlisha ndio unapata darasa la saba!Lusinde wa Mtera a.k.a Kibajaji naye ni darasa la Saba
Mbona Babu Tale sijamuona kwenye huu mkeka??!!Wakuu,
Hivi karibuni nimeona watu wanalalamika kwamba tovuti ya Bunge inafuta CV za wabunge makusudi ili tusijue level zao za elimu.
Sasa kabla hawajafuta, ni vyema tujue nani ni nani. Mule bungeni kuna wabunge wengi ambao waliruka umande. Yani mtu alisoma hadi la 7 tu after that akajikuta yuko bungeni.
Wabunge wote hawa wametokea CCM na hakuna hata mmoja ametokea upinzani na wote ni wanaume!
Hawa ndio wanatutungia sheria na kutaka mwandishi awe na Diploma au Bachelor's Degree ili aweze kuripoti habari za Uchaguzi.
Ni Mbunge gani nimemsahau hapa?
1. Daniel Awack Tlemai - Mbunge wa Karatu
Year Level School Awards 1985 - 1991 Primary School Qarru Primary School CPEE
2. Nicodemas Henry Maganga - Mbunge wa Mbogwe
Year Level School Awards 1991 - 1997 Primary School Nhungwiza Primary School CPEE
3. Hussein Nassor Amar - Mbunge wa Nyang'hwale
Year Level School Awards 1967 - 1973 Primary School Buzanaki Primary School CPEE
4. Kilumbe Shabani Ng'enda - Kigoma Mjini
Year Level School Awards 1975 - 1981 Primary School Muungano CPEE
5. Robert Chacha Maboto - Bunda Mjini
Year Level School Awards 1983 - 1989 Primary School Muhoji Primary School CPEE
6. Hassan Seleman Mtenga - Mtwara Mjini
Year Level School Awards 1974 - 1980 Primary School Chikongola Primary School CPEE
7. Tabasamu Hamisi Hussein Mwagao - Sengerema
Year Level School Awards 1975 - 1981 Primary School Nyakato Primary School CPEE
Wabunge wengine ni pamoja na:
9. Deo Sanga - Makambako
10. Hassan Zidadu Kungu - Tunduru Kaskazini
11. Njalu Daudi Silanga - Itilima
12. Jaffar Sanya Jussa - Paje
Halafu wengi wao majina yao yana "g" sijajua kwaniniWakuu,

Mbona wengi wanatoka kanda ya ziwa? kunani!pia lindi na mtwaraWakuu,

Labda wapiga kura walimchoka Malecela.Ubunge kitu cha kipumbavu sana, huyu hakusoma formal education lakini alimshinda nguli wa diplimasia, waziri mkuu mstaafu John Cigwiyemisi Malecela! Sijui wapiga kura akili zao ziikoje.
Hii sio aibu ya Taifa?Wakuu,
Hivi karibuni nimeona watu wanalalamika kwamba tovuti ya Bunge inafuta CV za wabunge makusudi ili tusijue level zao za elimu.
Sasa kabla hawajafuta, ni vyema tujue nani ni nani. Mule bungeni kuna wabunge wengi ambao waliruka umande. Yani mtu alisoma hadi la 7 tu after that akajikuta yuko bungeni.
Wabunge wote hawa wametokea CCM na hakuna hata mmoja ametokea upinzani na wote ni wanaume!
Hawa ndio wanatutungia sheria na kutaka mwandishi awe na Diploma au Bachelor's Degree ili aweze kuripoti habari za Uchaguzi.
Ni Mbunge gani nimemsahau hapa?
1. Daniel Awack Tlemai - Mbunge wa Karatu
Year Level School Awards 1985 - 1991 Primary School Qarru Primary School CPEE
2. Nicodemas Henry Maganga - Mbunge wa Mbogwe
Year Level School Awards 1991 - 1997 Primary School Nhungwiza Primary School CPEE
3. Hussein Nassor Amar - Mbunge wa Nyang'hwale
Year Level School Awards 1967 - 1973 Primary School Buzanaki Primary School CPEE
4. Kilumbe Shabani Ng'enda - Kigoma Mjini
Year Level School Awards 1975 - 1981 Primary School Muungano CPEE
5. Robert Chacha Maboto - Bunda Mjini
Year Level School Awards 1983 - 1989 Primary School Muhoji Primary School CPEE
6. Hassan Seleman Mtenga - Mtwara Mjini
Year Level School Awards 1974 - 1980 Primary School Chikongola Primary School CPEE
7. Tabasamu Hamisi Hussein Mwagao - Sengerema
Year Level School Awards 1975 - 1981 Primary School Nyakato Primary School CPEE
Wabunge wengine ni pamoja na:
9. Deo Sanga - Makambako
10. Hassan Zidadu Kungu - Tunduru Kaskazini
11. Njalu Daudi Silanga - Itilima
12. Jaffar Sanya Jussa - Paje
Kazi kweli kweliHapo bado
Waliofeli Form 2
Waliofeli Form 4
Waliofeli Form 6
Na waliopata degree wakiwa full time Waziri tena wizara nyeti ya Fedha. Hiyo degree umeisoma, umenunua ?????
'Hela zao' wananchi zinawasaidia nini?Hao wote Wana hela
Ndo maana wananchi wanawapenda
Yes Ila Hana cheti udsm walimkataaHuyu si nasikia alikuwa anasoma pale Tumaini University, alikuwa anachukua Bachelors of Journalism kama sio mass communication
Au nililishwa tango pori
Na wale wenye elimu kama popo ambaye siyo ndege na wala siyo mnyama ingawa ana 'kingdom' yake!Wakuu,