PreGE2025 Ukiachana na Musukuma, hawa ndio wabunge wengine 12 ambao wameishia darasa la 7. Mbunge wako yupo?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Wakuu,

Hivi karibuni nimeona watu wanalalamika kwamba tovuti ya Bunge inafuta CV za wabunge makusudi ili tusijue level zao za elimu.

Sasa kabla hawajafuta, ni vyema tujue nani ni nani. Mule bungeni kuna wabunge wengi ambao waliruka umande. Yani mtu alisoma hadi la 7 tu after that akajikuta yuko bungeni.

Wabunge wote hawa wametokea CCM na hakuna hata mmoja ametokea upinzani na wote ni wanaume!

Hawa ndio wanatutungia sheria na kutaka mwandishi awe na Diploma au Bachelor's Degree ili aweze kuripoti habari za Uchaguzi.

Ni Mbunge gani nimemsahau hapa?

1. Daniel Awack Tlemai - Mbunge wa Karatu

YearLevelSchoolAwards
1985 - 1991Primary SchoolQarru Primary SchoolCPEE

2. Nicodemas Henry Maganga - Mbunge wa Mbogwe

YearLevelSchoolAwards
1991 - 1997Primary SchoolNhungwiza Primary SchoolCPEE

3. Hussein Nassor Amar - Mbunge wa Nyang'hwale

YearLevelSchoolAwards
1967 - 1973Primary SchoolBuzanaki Primary SchoolCPEE

4. Kilumbe Shabani Ng'enda - Kigoma Mjini

YearLevelSchoolAwards
1975 - 1981Primary SchoolMuunganoCPEE

5. Robert Chacha Maboto - Bunda Mjini
YearLevelSchoolAwards
1983 - 1989Primary SchoolMuhoji Primary SchoolCPEE

6. Hassan Seleman Mtenga - Mtwara Mjini

YearLevelSchoolAwards
1974 - 1980Primary SchoolChikongola Primary SchoolCPEE

7. Tabasamu Hamisi Hussein Mwagao - Sengerema
YearLevelSchoolAwards
1975 - 1981Primary SchoolNyakato Primary SchoolCPEE

Wabunge wengine ni pamoja na:

9. Deo Sanga - Makambako
10. Hassan Zidadu Kungu - Tunduru Kaskazini
11. Njalu Daudi Silanga - Itilima
12. Jaffar Sanya Jussa - Paje
Ccm walishapitisha kuwa sifa ya kuwa mbunge ujue kusoma tu inatosha.
 
Kishimba?
 
Halafu hao hao std 7 eti wanawatungia sheria wasomi!.
Bongo tunaenda reverse ndio maana hatutoboi...hata sa100 elimu yake naye magumashi tu, ndio maana akiwa free flowing kuongea lazima atoe boko hahahhaa
Ni aibu kwa katiba karne hii mna wabunge sifa ajue kusoma na kuandika aibu
 
Ila kishimba hata kama kaishia la saba,hoja anazotoa hata maprofesa hawatoi,
Mnasahau yeye ndiyo chanzo Cha kubadilisha mitaala ya shule za sekondari,
Alianza kutoa hiyo hoja wabunge bungeni,
Mpaka siku Moja mkuu wa nchi wa sasa alivyoingia baada ya kuteua mawaziro alikua anawaambia,Kuna mbunge mmoja anaitwa kishimba aliewahi zungumzia kuhusu elimu YETU nyie hamkumuelewa.

Binafsi namkubali sana kishimba kwa michango yake bungeni,hasa sekta ya elimu.
 
Wakuu,

Hivi karibuni nimeona watu wanalalamika kwamba tovuti ya Bunge inafuta CV za wabunge makusudi ili tusijue level zao za elimu.

Sasa kabla hawajafuta, ni vyema tujue nani ni nani. Mule bungeni kuna wabunge wengi ambao waliruka umande. Yani mtu alisoma hadi la 7 tu after that akajikuta yuko bungeni.

Wabunge wote hawa wametokea CCM na hakuna hata mmoja ametokea upinzani na wote ni wanaume!

Hawa ndio wanatutungia sheria na kutaka mwandishi awe na Diploma au Bachelor's Degree ili aweze kuripoti habari za Uchaguzi.

Ni Mbunge gani nimemsahau hapa?

1. Daniel Awack Tlemai - Mbunge wa Karatu

YearLevelSchoolAwards
1985 - 1991Primary SchoolQarru Primary SchoolCPEE

2. Nicodemas Henry Maganga - Mbunge wa Mbogwe

YearLevelSchoolAwards
1991 - 1997Primary SchoolNhungwiza Primary SchoolCPEE

3. Hussein Nassor Amar - Mbunge wa Nyang'hwale

YearLevelSchoolAwards
1967 - 1973Primary SchoolBuzanaki Primary SchoolCPEE

4. Kilumbe Shabani Ng'enda - Kigoma Mjini

YearLevelSchoolAwards
1975 - 1981Primary SchoolMuunganoCPEE

5. Robert Chacha Maboto - Bunda Mjini
YearLevelSchoolAwards
1983 - 1989Primary SchoolMuhoji Primary SchoolCPEE

6. Hassan Seleman Mtenga - Mtwara Mjini

YearLevelSchoolAwards
1974 - 1980Primary SchoolChikongola Primary SchoolCPEE

7. Tabasamu Hamisi Hussein Mwagao - Sengerema
YearLevelSchoolAwards
1975 - 1981Primary SchoolNyakato Primary SchoolCPEE

Wabunge wengine ni pamoja na:

9. Deo Sanga - Makambako
10. Hassan Zidadu Kungu - Tunduru Kaskazini
11. Njalu Daudi Silanga - Itilima
12. Jaffar Sanya Jussa - Paje

hiyo haishangazi sana mbona.kuna wengine kwa asili ni viongozi.kuna wengine ni matajiri kutokana na mali waliozorithri kutoka kwa wazazi wao.kwa hiyo akiili zao zinafunguka mapema kuweza kujua ulimwengu kuliko hata msomi mwenye degree .
kwa hiyo sasa ,tuombe katiba mpya iweke bayana kwamba mbunge angalau awe amemaliza form 4 au form six kama sehemu husika inaruhusu kuwa na wasomi hao.
 
Wakuu,

Hivi karibuni nimeona watu wanalalamika kwamba tovuti ya Bunge inafuta CV za wabunge makusudi ili tusijue level zao za elimu.

Sasa kabla hawajafuta, ni vyema tujue nani ni nani. Mule bungeni kuna wabunge wengi ambao waliruka umande. Yani mtu alisoma hadi la 7 tu after that akajikuta yuko bungeni.

Wabunge wote hawa wametokea CCM na hakuna hata mmoja ametokea upinzani na wote ni wanaume!

Hawa ndio wanatutungia sheria na kutaka mwandishi awe na Diploma au Bachelor's Degree ili aweze kuripoti habari za Uchaguzi.

Ni Mbunge gani nimemsahau hapa?

1. Daniel Awack Tlemai - Mbunge wa Karatu

YearLevelSchoolAwards
1985 - 1991Primary SchoolQarru Primary SchoolCPEE

2. Nicodemas Henry Maganga - Mbunge wa Mbogwe

YearLevelSchoolAwards
1991 - 1997Primary SchoolNhungwiza Primary SchoolCPEE

3. Hussein Nassor Amar - Mbunge wa Nyang'hwale

YearLevelSchoolAwards
1967 - 1973Primary SchoolBuzanaki Primary SchoolCPEE

4. Kilumbe Shabani Ng'enda - Kigoma Mjini

YearLevelSchoolAwards
1975 - 1981Primary SchoolMuunganoCPEE

5. Robert Chacha Maboto - Bunda Mjini
YearLevelSchoolAwards
1983 - 1989Primary SchoolMuhoji Primary SchoolCPEE

6. Hassan Seleman Mtenga - Mtwara Mjini

YearLevelSchoolAwards
1974 - 1980Primary SchoolChikongola Primary SchoolCPEE

7. Tabasamu Hamisi Hussein Mwagao - Sengerema
YearLevelSchoolAwards
1975 - 1981Primary SchoolNyakato Primary SchoolCPEE

Wabunge wengine ni pamoja na:

9. Deo Sanga - Makambako
10. Hassan Zidadu Kungu - Tunduru Kaskazini
11. Njalu Daudi Silanga - Itilima
12. Jaffar Sanya Jussa - Paje
H Taletale
 
Au basi acha nikae kimya
 
Kusoma na kuandika kwa lugha ipi/zipi?Na je,anaishia kujua kusoma na kuandika tu bila kukipima,kukielewa,kukitolea maamuzi sahihi kwa maslahi mapana ya anaowawakilisha kutokana na alichokisoma na kukiandika?
Hapo ndiyo shuguli maana bwana mwigulu akiwaletea lile
Mjitabu wa financial bill wabunge walipitie,wale wenzangu na mie sijui wanasomaje au wanazugaaa
Wanaishia kugonga meza 😄

Ova
 
Back
Top Bottom