min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 61,672
- 178,673
Madam mimi sina pesa ujue ,japo sikosi milo yangu kwa siku😅Sina pesa 🤣🤣🤣🤣🤣 unataka kuninyima £ eeh acha bana.
Madam mimi sina pesa ujue ,japo sikosi milo yangu kwa siku😅Sina pesa 🤣🤣🤣🤣🤣 unataka kuninyima £ eeh acha bana.
Kabisa hiyo hatutakosa, hata ya Vacation hatukosi, magari mazuri, vitu vya ndoto zetu hatutakosa. Mungu ni mwema wakati wote.Madam mimi sina pesa ujue ,japo sikosi milo yangu kwa siku😅
Ndo nyie mafanikio mnadhani NI elimu Tu,Kwahiyo pesa zao zinaleta maendeleo katika Jimbo au wananchi wakisikia hamu ya KITIMOTO wanakwenda kuungaunga buku 10?
Mbunge darasa la Saba, dereva kigezo uwe kuanzia form four.Kigezo ujue kusoma na kuandika
Ova
😹😹😹Huyu siyo la saba, alisema bungeni kwamba yeye aliishia la 3 na mkewe aliishia la 4. Wakijumlisha ndo inakuwa la saba.
Yeye hata CV hana.
Unamwachaje Lusinde aisee?Wakuu,
Hivi karibuni nimeona watu wanalalamika kwamba tovuti ya Bunge inafuta CV za wabunge makusudi ili tusijue level zao za elimu.
Sasa kabla hawajafuta, ni vyema tujue nani ni nani. Mule bungeni kuna wabunge wengi ambao waliruka umande. Yani mtu alisoma hadi la 7 tu after that akajikuta yuko bungeni.
Wabunge wote hawa wametokea CCM na hakuna hata mmoja ametokea upinzani na wote ni wanaume!
Hawa ndio wanatutungia sheria na kutaka mwandishi awe na Diploma au Bachelor's Degree ili aweze kuripoti habari za Uchaguzi.
Ni Mbunge gani nimemsahau hapa?
1. Daniel Awack Tlemai - Mbunge wa Karatu
Year Level School Awards 1985 - 1991 Primary School Qarru Primary School CPEE
2. Nicodemas Henry Maganga - Mbunge wa Mbogwe
Year Level School Awards 1991 - 1997 Primary School Nhungwiza Primary School CPEE
3. Hussein Nassor Amar - Mbunge wa Nyang'hwale
Year Level School Awards 1967 - 1973 Primary School Buzanaki Primary School CPEE
4. Kilumbe Shabani Ng'enda - Kigoma Mjini
Year Level School Awards 1975 - 1981 Primary School Muungano CPEE
5. Robert Chacha Maboto - Bunda Mjini
Year Level School Awards 1983 - 1989 Primary School Muhoji Primary School CPEE
6. Hassan Seleman Mtenga - Mtwara Mjini
Year Level School Awards 1974 - 1980 Primary School Chikongola Primary School CPEE
7. Tabasamu Hamisi Hussein Mwagao - Sengerema
Year Level School Awards 1975 - 1981 Primary School Nyakato Primary School CPEE
Wabunge wengine ni pamoja na:
9. Deo Sanga - Makambako
10. Hassan Zidadu Kungu - Tunduru Kaskazini
11. Njalu Daudi Silanga - Itilima
12. Jaffar Sanya Jussa - Paje
Zero ya form four = La saba BBabu Tale kaishia Form 4 mkuu!
Nitaleta hapa list ya wabunge walioishia form 4 pia
Ilo nakubaliana na wewe kwa sababu hata ughaibuni balozi akiwa Mtanganyika tena usiombe awe mlugaluga yaani hapo sahau kama unaweza kupata ushirikiano wa aina yoyote ila kama ni balozi wa kutoka Zenji yaani jambo lako analibeba kama la kwako. Wanakupa support mpaka unafarijika.Mkuu kwenye kuchagua Mbuge wananchi wanaangalia vingi tu siyo Elimu peke yake unaweza ukawa na Elimu kubwa sana shida ikawa je upo karibu na jamii je unashirikiana nayo, Tatizo la Wa Bunge kutoka upande wa Tanganyika tena awa wasomi wanaishi kwa kudharau Wananchi tofauti na Wabunge kutoka Zanzibar, kuna Mwaka nilikua JKT tulikua pamoja na Vijana kutika Zanzibar nilikua nashangaa walikua wana mpigia simu Waziri Hussein Mwinyi na anapokea wanaongea nao vizuri tu, Sasa kija wa Kitanganyika mpigie Simu Waziri yoyote kutoka Tanganyika uone kma simu yako ataipokea. Wasomi wanatakiawa wajifunze kuishi na Wananchi kama sehemu ya rafiki na siyo kuwa tenga na kuwaona wajinga.
Kishimba kaishia la pili C.Kishimba?
KabisaMbunge darasa la Saba, dereva kigezo uwe kuanzia form four.
Tanzania ni channel ya vichekesho.
Wewe mleta mada una elimu ya kiwango gani?. Unaweza kuwa mwepesi kunyooshea vidole wabunge wakati wewe upo hoi zaidi ya hao wabunge unaowakashifu kupitia huu uzi.
Hao hao wabunge la saba wanakaribia kuimaliza reli ya SGR kwa namna mchango wao wa maamuzi unavyoisaidia TZ.
Hao hao wabunge la saba wamefikisha umeme nchi nzima, hivi sasa uwekezaji wa viwanda unaweza kufanyika nchi nzima kwa sababu miundo mbinu ya umeme imesambaa nchi nzima.
Hao hao la saba wamewezesha ujenzi wa meli Ziwa Victoria na pato la makusanyo ya TRA linaongezeka kila siku.
Tukumbuke hao la saba wanafanya kazi na wabunge wenye shahada za juu za vyuo vikuu, yupo Kimei humo bungeni, yupo Profesa wa wizara ya michezo yupo Hamza Johari mwanasheria mkuu.
Usilidharau bunge zima kisa uwepo wa wabunge wasiozidi 15 ambao ni darasa la saba!.
Hata hao darasa la saba kufika walipofika kuna jitihada kubwa waliyoifanya ambayo wewe mleta mada huwezi kuifanya na kuacha alama kwenye jamii inayokuzunguka.
Kuna wabunge zaidi ya 350 humo bungeni huu uzi unaongelea wabunge 12 walioshia darasa la saba, hao wengine hawatoshi kuwakilisha kundi la wasomi?.Kama waliweza kufanya hayo mambo wakiwa na elimu ya darasa imagine wangekuwa na elimu ya degree ingekuwaje.
Kwanini hutaki wasomi wapate nafasi unataka hao darasa la 7 ndo wawe wabunge?
Duuh. Tabasamu kumbe Ngumbaru mwenzetu?Wakuu,