Econometrician
JF-Expert Member
- Oct 25, 2013
- 17,929
- 33,764
Ndio yeyeHao wanakuwa na mawe ndiyo maana wanapata huo ubunge wa kununua.
BTW:Huyo Maboto ndiye mwenye Microfinance inayokamua walimu?

Na wamefanikiwa kimaisha kuliko wewe uliye na Phd ya makaratasi wenyewe wana Phd kwa wananchi.Wakuu,
Hivi karibuni nimeona watu wanalalamika kwamba tovuti ya Bunge inafuta CV za wabunge makusudi ili tusijue level zao za elimu.
Sasa kabla hawajafuta, ni vyema tujue nani ni nani. Mule bungeni kuna wabunge wengi ambao waliruka umande. Yani mtu alisoma hadi la 7 tu after that akajikuta yuko bungeni.
Wabunge wote hawa wametokea CCM na hakuna hata mmoja ametokea upinzani na wote ni wanaume!
Hawa ndio wanatutungia sheria na kutaka mwandishi awe na Diploma au Bachelor's Degree ili aweze kuripoti habari za Uchaguzi.
Ni Mbunge gani nimemsahau hapa?
1. Daniel Awack Tlemai - Mbunge wa Karatu
Year Level School Awards 1985 - 1991 Primary School Qarru Primary School CPEE
2. Nicodemas Henry Maganga - Mbunge wa Mbogwe
Year Level School Awards 1991 - 1997 Primary School Nhungwiza Primary School CPEE
3. Hussein Nassor Amar - Mbunge wa Nyang'hwale
Year Level School Awards 1967 - 1973 Primary School Buzanaki Primary School CPEE
4. Kilumbe Shabani Ng'enda - Kigoma Mjini
Year Level School Awards 1975 - 1981 Primary School Muungano CPEE
5. Robert Chacha Maboto - Bunda Mjini
Year Level School Awards 1983 - 1989 Primary School Muhoji Primary School CPEE
6. Hassan Seleman Mtenga - Mtwara Mjini
Year Level School Awards 1974 - 1980 Primary School Chikongola Primary School CPEE
7. Tabasamu Hamisi Hussein Mwagao - Sengerema
Year Level School Awards 1975 - 1981 Primary School Nyakato Primary School CPEE
Wabunge wengine ni pamoja na:
9. Deo Sanga - Makambako
10. Hassan Zidadu Kungu - Tunduru Kaskazini
11. Njalu Daudi Silanga - Itilima
12. Jaffar Sanya Jussa - Paje
Hapa tunaongelea maendeleo na ustawi wa nchi,huwezi kuwa na wabunge ambao hawana elimu halafu utegemee wawe na michango ya kulipeleka Taifa mbele.Na wamefanikiwa kimaisha kuliko wewe uliye na Phd ya makaratasi wenyewe wana Phd kwa wananchi.
Kasome kitabu cha management ambapo Ford anaulizwa aliwezaje kufaulu kwenye kampuni yake wakati hana elimu na ameajiri wafanyakazi wenye Phd. Jibu lake lilikuwa 'Anawajua vizuri wafanyakazi wake'.
Hivyo kitu muhimu kwenye dunia hii ni kuijua jamii unaoishi nayo kuliko kitu kingine hapo utatoboa, ndio maana unaona hao wabunge wanashinda ubunge kuliko hao wenye Phd. Nenda kagombee huko kwa Musukuma kama utapata hata kura 100!!
13.Jummanne kishimbaWakuu,
Hivi karibuni nimeona watu wanalalamika kwamba tovuti ya Bunge inafuta CV za wabunge makusudi ili tusijue level zao za elimu.
Sasa kabla hawajafuta, ni vyema tujue nani ni nani. Mule bungeni kuna wabunge wengi ambao waliruka umande. Yani mtu alisoma hadi la 7 tu after that akajikuta yuko bungeni.
Wabunge wote hawa wametokea CCM na hakuna hata mmoja ametokea upinzani na wote ni wanaume!
Hawa ndio wanatutungia sheria na kutaka mwandishi awe na Diploma au Bachelor's Degree ili aweze kuripoti habari za Uchaguzi.
Ni Mbunge gani nimemsahau hapa?
1. Daniel Awack Tlemai - Mbunge wa Karatu
Year Level School Awards 1985 - 1991 Primary School Qarru Primary School CPEE
2. Nicodemas Henry Maganga - Mbunge wa Mbogwe
Year Level School Awards 1991 - 1997 Primary School Nhungwiza Primary School CPEE
3. Hussein Nassor Amar - Mbunge wa Nyang'hwale
Year Level School Awards 1967 - 1973 Primary School Buzanaki Primary School CPEE
4. Kilumbe Shabani Ng'enda - Kigoma Mjini
Year Level School Awards 1975 - 1981 Primary School Muungano CPEE
5. Robert Chacha Maboto - Bunda Mjini
Year Level School Awards 1983 - 1989 Primary School Muhoji Primary School CPEE
6. Hassan Seleman Mtenga - Mtwara Mjini
Year Level School Awards 1974 - 1980 Primary School Chikongola Primary School CPEE
7. Tabasamu Hamisi Hussein Mwagao - Sengerema
Year Level School Awards 1975 - 1981 Primary School Nyakato Primary School CPEE
Wabunge wengine ni pamoja na:
9. Deo Sanga - Makambako
10. Hassan Zidadu Kungu - Tunduru Kaskazini
11. Njalu Daudi Silanga - Itilima
12. Jaffar Sanya Jussa - Paje
Hakuna mtu aliyeishia darasa la 7 au form 4 akawa na uelewa kumzidi mtu mwenye degree acha kuhalalisha ujinga.Kama hao wabunge wako wa darasa la 7,au form 4 wangekuwa na uelwa ulisha wahi jiuliza mbona hawateuliwi kwenye nafasi za uwaziri?????Tatizo unadhani kusoma na kuelewa ni mpaka uwe na PhD?
wapo class 7 wenye uelewa kuliko mareofessor? Elimu ya darasani ni elimu Tu, kama vile elimu ya mtaani, madini, biashara, viwanda n.k
Je, bungeni wakijazana wenye PhD, Nani ataangalia maslahi ya mwananchi wa wakaida wa class7 au anbaye hajaenda shule?
Naunga mkono hoja yakoMkuu kwenye kuchagua Mbuge wananchi wanaangalia vingi tu siyo Elimu peke yake unaweza ukawa na Elimu kubwa sana shida ikawa je upo karibu na jamii je unashirikiana nayo, Tatizo la Wa Bunge kutoka upande wa Tanganyika tena awa wasomi wanaishi kwa kudharau Wananchi tofauti na Wabunge kutoka Zanzibar, kuna Mwaka nilikua JKT tulikua pamoja na Vijana kutika Zanzibar nilikua nashangaa walikua wana mpigia simu Waziri Hussein Mwinyi na anapokea wanaongea nao vizuri tu, Sasa kija wa Kitanganyika mpigie Simu Waziri yoyote kutoka Tanganyika uone kma simu yako ataipokea. Wasomi wanatakiawa wajifunze kuishi na Wananchi kama sehemu ya rafiki na siyo kuwa tenga na kuwaona wajinga.
Mkuu mimi kwa mtazamo wangu sioni kama elimu ni kigezo, huo ni ubaguzi! Tujiulize hao maprofesa wanatofauti gani na hawa katika kuliheshimisha bunge letu??Wakuu,
Hivi karibuni nimeona watu wanalalamika kwamba tovuti ya Bunge inafuta CV za wabunge makusudi ili tusijue level zao za elimu.
Sasa kabla hawajafuta, ni vyema tujue nani ni nani. Mule bungeni kuna wabunge wengi ambao waliruka umande. Yani mtu alisoma hadi la 7 tu after that akajikuta yuko bungeni.
Wabunge wote hawa wametokea CCM na hakuna hata mmoja ametokea upinzani na wote ni wanaume!
Hawa ndio wanatutungia sheria na kutaka mwandishi awe na Diploma au Bachelor's Degree ili aweze kuripoti habari za Uchaguzi.
Ni Mbunge gani nimemsahau hapa?
1. Daniel Awack Tlemai - Mbunge wa Karatu
Year Level School Awards 1985 - 1991 Primary School Qarru Primary School CPEE
2. Nicodemas Henry Maganga - Mbunge wa Mbogwe
Year Level School Awards 1991 - 1997 Primary School Nhungwiza Primary School CPEE
3. Hussein Nassor Amar - Mbunge wa Nyang'hwale
Year Level School Awards 1967 - 1973 Primary School Buzanaki Primary School CPEE
4. Kilumbe Shabani Ng'enda - Kigoma Mjini
Year Level School Awards 1975 - 1981 Primary School Muungano CPEE
5. Robert Chacha Maboto - Bunda Mjini
Year Level School Awards 1983 - 1989 Primary School Muhoji Primary School CPEE
6. Hassan Seleman Mtenga - Mtwara Mjini
Year Level School Awards 1974 - 1980 Primary School Chikongola Primary School CPEE
7. Tabasamu Hamisi Hussein Mwagao - Sengerema
Year Level School Awards 1975 - 1981 Primary School Nyakato Primary School CPEE
Wabunge wengine ni pamoja na:
9. Deo Sanga - Makambako
10. Hassan Zidadu Kungu - Tunduru Kaskazini
11. Njalu Daudi Silanga - Itilima
12. Jaffar Sanya Jussa - Paje
Mkuu inafikirisha zaidi kuona wabunge 13 kati ya wabunge 393 ambao ni asilimia 3% kufifisha wabunge 380 wenye elimu ya chuo kikuu na ambao ni asilimia 97% ya wabunge wote.Ahaaaa inafikirisha Sana hatupo serious
Galagabaho,Hakuna mtu aliyeishia darasa la 7 au form 4 akawa na uelewa kumzidi mtu mwenye degree acha kuhalalisha ujinga.Kama hao wabunge wako wa darasa la 7,au form 4 wangekuwa na uelwa ulisha wahi jiuliza mbona hawateuliwi kwenye nafasi za uwaziri?????
Mkuu hapana, unawaonea bure! Sasa hivi bunge lina wabunge 393 ambapo kiuhalisia kuna mbunge mmoja tu wa upinzani.Hii nchi ina bahati mbaya sana. Eti hawa ni watunga sheria na mikakati ya maendeleo
Ongezea na VITA RASHID MFAUME KAWAWAWakuu,
Hivi karibuni nimeona watu wanalalamika kwamba tovuti ya Bunge inafuta CV za wabunge makusudi ili tusijue level zao za elimu.
Sasa kabla hawajafuta, ni vyema tujue nani ni nani. Mule bungeni kuna wabunge wengi ambao waliruka umande. Yani mtu alisoma hadi la 7 tu after that akajikuta yuko bungeni.
Wabunge wote hawa wametokea CCM na hakuna hata mmoja ametokea upinzani na wote ni wanaume!
Hawa ndio wanatutungia sheria na kutaka mwandishi awe na Diploma au Bachelor's Degree ili aweze kuripoti habari za Uchaguzi.
Ni Mbunge gani nimemsahau hapa?
1. Daniel Awack Tlemai - Mbunge wa Karatu
Year Level School Awards 1985 - 1991 Primary School Qarru Primary School CPEE
2. Nicodemas Henry Maganga - Mbunge wa Mbogwe
Year Level School Awards 1991 - 1997 Primary School Nhungwiza Primary School CPEE
3. Hussein Nassor Amar - Mbunge wa Nyang'hwale
Year Level School Awards 1967 - 1973 Primary School Buzanaki Primary School CPEE
4. Kilumbe Shabani Ng'enda - Kigoma Mjini
Year Level School Awards 1975 - 1981 Primary School Muungano CPEE
5. Robert Chacha Maboto - Bunda Mjini
Year Level School Awards 1983 - 1989 Primary School Muhoji Primary School CPEE
6. Hassan Seleman Mtenga - Mtwara Mjini
Year Level School Awards 1974 - 1980 Primary School Chikongola Primary School CPEE
7. Tabasamu Hamisi Hussein Mwagao - Sengerema
Year Level School Awards 1975 - 1981 Primary School Nyakato Primary School CPEE
Wabunge wengine ni pamoja na:
9. Deo Sanga - Makambako
10. Hassan Zidadu Kungu - Tunduru Kaskazini
11. Njalu Daudi Silanga - Itilima
12. Jaffar Sanya Jussa - Paje
TRAB & TRATHapo ndiyo shuguli maana bwana mwigulu akiwaletea lile
Mjitabu wa financial bill wabunge walipitie,wale wenzangu na mie sijui wanasomaje au wanazugaaa
Wanaishia kugonga meza 😄
Ova
Mkuu inafikirisha zaidi kuona wabunge 13 kati ya wabunge 393 ambao ni asilimia 3% kufifisha wabunge 380 wenye elimu ya chuo kikuu na ambao ni asilimia 97% ya wabunge wote.
Then if so, this guys are way much better upstairs than the remaining bunch of baggage!!!
Kufika darasa la 7 sio kwamba ni wapumbavu! Swali hawa wabunge wasomi 380 wamefanya nini???
Ujue kusoma nini? Kingereza hawajui unategemea nini? StupidKigezo ujue kusoma na kuandika
Ova
Not true, wenye maono wapo ila wakionyesha maono yao wanapigwa Vita mbaya sana ikiwezekana hata kupotezwa kabisa, that's where silent get inTanzania ni nchi ambayo Ina watu ambao hawana maono iwe msomi au uneducated
Yule wa Kahama mbna hujamuweka, au aliishia Secondary?Wakuu,
Hivi karibuni nimeona watu wanalalamika kwamba tovuti ya Bunge inafuta CV za wabunge makusudi ili tusijue level zao za elimu.
Sasa kabla hawajafuta, ni vyema tujue nani ni nani. Mule bungeni kuna wabunge wengi ambao waliruka umande. Yani mtu alisoma hadi la 7 tu after that akajikuta yuko bungeni.
Wabunge wote hawa wametokea CCM na hakuna hata mmoja ametokea upinzani na wote ni wanaume!
Hawa ndio wanatutungia sheria na kutaka mwandishi awe na Diploma au Bachelor's Degree ili aweze kuripoti habari za Uchaguzi.
Ni Mbunge gani nimemsahau hapa?
1. Daniel Awack Tlemai - Mbunge wa Karatu
Year Level School Awards 1985 - 1991 Primary School Qarru Primary School CPEE
2. Nicodemas Henry Maganga - Mbunge wa Mbogwe
Year Level School Awards 1991 - 1997 Primary School Nhungwiza Primary School CPEE
3. Hussein Nassor Amar - Mbunge wa Nyang'hwale
Year Level School Awards 1967 - 1973 Primary School Buzanaki Primary School CPEE
4. Kilumbe Shabani Ng'enda - Kigoma Mjini
Year Level School Awards 1975 - 1981 Primary School Muungano CPEE
5. Robert Chacha Maboto - Bunda Mjini
Year Level School Awards 1983 - 1989 Primary School Muhoji Primary School CPEE
6. Hassan Seleman Mtenga - Mtwara Mjini
Year Level School Awards 1974 - 1980 Primary School Chikongola Primary School CPEE
7. Tabasamu Hamisi Hussein Mwagao - Sengerema
Year Level School Awards 1975 - 1981 Primary School Nyakato Primary School CPEE
Wabunge wengine ni pamoja na:
9. Deo Sanga - Makambako
10. Hassan Zidadu Kungu - Tunduru Kaskazini
11. Njalu Daudi Silanga - Itilima
12. Jaffar Sanya Jussa - Paje
Hawa lazima watakuwa washirikina pia.Wakuu,

Ila kishimba hata kama kaishia la saba,hoja anazotoa hata maprofesa hawatoi,
Mnasahau yeye ndiyo chanzo Cha kubadilisha mitaala ya shule za sekondari,
Alianza kutoa hiyo hoja wabunge bungeni,
Mpaka siku Moja mkuu wa nchi wa sasa alivyoingia baada ya kuteua mawaziro alikua anawaambia,Kuna mbunge mmoja anaitwa kishimba aliewahi zungumzia kuhusu elimu YETU nyie hamkumuelewa.
Binafsi namkubali sana kishimba kwa michango yake bungeni,hasa sekta ya elimu.