Wakuu,
Hivi karibuni nimeona watu wanalalamika kwamba tovuti ya Bunge inafuta CV za wabunge makusudi ili tusijue level zao za elimu.
Sasa kabla hawajafuta, ni vyema tujue nani ni nani. Mule bungeni kuna wabunge wengi ambao waliruka umande. Yani mtu alisoma hadi la 7 tu after that akajikuta yuko bungeni.
Wabunge wote hawa wametokea CCM na hakuna hata mmoja ametokea upinzani na wote ni wanaume!
Hawa ndio wanatutungia sheria na kutaka mwandishi awe na Diploma au Bachelor's Degree ili aweze kuripoti habari za Uchaguzi.
Ni Mbunge gani nimemsahau hapa?
1. Daniel Awack Tlemai - Mbunge wa Karatu
Year Level School Awards 1985 - 1991 Primary School Qarru Primary School CPEE
2. Nicodemas Henry Maganga - Mbunge wa Mbogwe
Year Level School Awards 1991 - 1997 Primary School Nhungwiza Primary School CPEE
3. Hussein Nassor Amar - Mbunge wa Nyang'hwale
Year Level School Awards 1967 - 1973 Primary School Buzanaki Primary School CPEE
4. Kilumbe Shabani Ng'enda - Kigoma Mjini
Year Level School Awards 1975 - 1981 Primary School Muungano CPEE
5. Robert Chacha Maboto - Bunda Mjini
Year Level School Awards 1983 - 1989 Primary School Muhoji Primary School CPEE
6. Hassan Seleman Mtenga - Mtwara Mjini
Year Level School Awards 1974 - 1980 Primary School Chikongola Primary School CPEE
7. Tabasamu Hamisi Hussein Mwagao - Sengerema
Year Level School Awards 1975 - 1981 Primary School Nyakato Primary School CPEE
Wabunge wengine ni pamoja na:
9. Deo Sanga - Makambako
10. Hassan Zidadu Kungu - Tunduru Kaskazini
11. Njalu Daudi Silanga - Itilima
12. Jaffar Sanya Jus
Robert chacha maboto ndio huyu mwenye mboto plaza mwanza???Wakuu,

12. Jaffar Sanya Jussa - Paje
Hehehee daah
Mbunge hatungi sheria.Halafu hao hao std 7 eti wanawatungia sheria wasomi!.
Bongo tunaenda reverse ndio maana hatutoboi...hata sa100 elimu yake naye magumashi tu, ndio maana akiwa free flowing kuongea lazima atoe boko hahahhaa
Mkuu kwenye kuchagua Mbuge wananchi wanaangalia vingi tu siyo Elimu peke yake unaweza ukawa na Elimu kubwa sana shida ikawa je upo karibu na jamii je unashirikiana nayo, Tatizo la Wa Bunge kutoka upande wa Tanganyika tena awa wasomi wanaishi kwa kudharau Wananchi tofauti na Wabunge kutoka Zanzibar, kuna Mwaka nilikua JKT tulikua pamoja na Vijana kutika Zanzibar nilikua nashangaa walikua wana mpigia simu Waziri Hussein Mwinyi na anapokea wanaongea nao vizuri tu, Sasa kija wa Kitanganyika mpigie Simu Waziri yoyote kutoka Tanganyika uone kma simu yako ataipokea. Wasomi wanatakiawa wajifunze kuishi na Wananchi kama sehemu ya rafiki na siyo kuwa tenga na kuwaona wajinga.Ubunge kitu cha kipumbavu sana, huyu hakusoma formal education lakini alimshinda nguli wa diplimasia, waziri mkuu mstaafu John Cigwiyemisi Malecela! Sijui wapiga kura akili zao ziikoje.
Nimecheka kwa nguvu 😆Huyu siyo la saba, alisema bungeni kwamba yeye aliishia la 3 na mkewe aliishia la 4. Wakijumlisha ndo inakuwa la saba.
Yeye hata CV hana.
CCM ni zaidi ya VitukoHalafu hao hao std 7 eti wanawatungia sheria wasomi!.
Bongo tunaenda reverse ndio maana hatutoboi...hata sa100 elimu yake naye magumashi tu, ndio maana akiwa free flowing kuongea lazima atoe boko hahahhaa
NaskiaRobert chacha maboto ndio huyu mwenye mboto plaza mwanza???
Aisee, ndo maana kwalifikesheni ya kuwa mbunge ni kujua kusoma na kuandika tuu, sheria watatunga wazungu sisi tuna copy na ku paste.Mkuu kwenye kuchagua Mbuge wananchi wanaangalia vingi tu siyo Elimu peke yake unaweza ukawa na Elimu kubwa sana shida ikawa je upo karibu na jamii je unashirikiana nayo, Tatizo la Wa Bunge kutoka upande wa Tanganyika tena awa wasomi wanaishi kwa kudharau Wananchi tofauti na Wabunge kutoka Zanzibar, kuna Mwaka nilikua JKT tulikua pamoja na Vijana kutika Zanzibar nilikua nashangaa walikua wana mpigia simu Waziri Hussein Mwinyi na anapokea wanaongea nao vizuri tu, Sasa kija wa Kitanganyika mpigie Simu Waziri yoyote kutoka Tanganyika uone kma simu yako ataipokea. Wasomi wanatakiawa wajifunze kuishi na Wananchi kama sehemu ya rafiki na siyo kuwa tenga na kuwaona wajinga.
Na mbunge wa Jimbo la mteraWakuu,