PreGE2025 Ukiachana na Musukuma, hawa ndio wabunge wengine 12 ambao wameishia darasa la 7. Mbunge wako yupo?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Morogoro mjini mbunge ni Abood 😅.
SISIEMU kupata ubunge uwe na ela tu hawaangalii kingine.
 
Hao wote Wana hela

Ndo maana wananchi wanawapenda
Kwenye eneo hili, pesa haziwezi kutusaidia...

Bungeni sio sokoni kuwa, kwa kuwa una pesa tu, basi utanunua chochote...

Bungeni ni eneo la kusoma na kuelewa maana uharibifu wa dunia hii umefichwa kwenye maandishi. Wanaoweza kuuona na kuikoa nchi na watu wake ni wale wenye ufahamu na maarifa (knowledge & understanding) pekee utokanao na kusoma vitabu na kufanya utafiti...!!

Pesa zake Musukuma au Tabasamu haziwezi kumsomea mswaada wa sheria fulani au mkataba fulani ulioandaliwa kwa hila na wajanja na wezi (plunders) wa dunia hii ili nchi kuuzwa, akaelewa na kuzuia wizi huo. Hii ndiyo kazi ya elimu. Pesa ni makaratasi tu ya kukufanya utambe tu kama zuzu..!!

Nchi ikishauzwa kwa ujinga na upumbavu wake wa kushindwa kujijaza na maarifa na ufahamu mbadala kichwani, si na yeye na vipesa vyake anakuwa ameshauzwa na kuwa mtumwa tu..??

Tunataka wawe na pesa lakini kikubwa zaidi wawe na knowledge & understanding ili wakabiliane na hatari za dunia zinazoweza hata kuwanyang'anya hata hivyo vipesa vyao walivyonavyo...

We get knowledge & understanding by reading books and by scratching heads doing reserches...
 
Tatizo unadhani kusoma na kuelewa ni mpaka uwe na PhD?

wapo class 7 wenye uelewa kuliko mareofessor? Elimu ya darasani ni elimu Tu, kama vile elimu ya mtaani, madini, biashara, viwanda n.k

Je, bungeni wakijazana wenye PhD, Nani ataangalia maslahi ya mwananchi wa wakaida wa class7 au anbaye hajaenda shule?
 
Wakuu,

Hivi karibuni nimeona watu wanalalamika kwamba tovuti ya Bunge inafuta CV za wabunge makusudi ili tusijue level zao za elimu.

Sasa kabla hawajafuta, ni vyema tujue nani ni nani. Mule bungeni kuna wabunge wengi ambao waliruka umande. Yani mtu alisoma hadi la 7 tu after that akajikuta yuko bungeni.

Wabunge wote hawa wametokea CCM na hakuna hata mmoja ametokea upinzani na wote ni wanaume!

Hawa ndio wanatutungia sheria na kutaka mwandishi awe na Diploma au Bachelor's Degree ili aweze kuripoti habari za Uchaguzi.

Ni Mbunge gani nimemsahau hapa?

1. Daniel Awack Tlemai - Mbunge wa Karatu

YearLevelSchoolAwards
1985 - 1991Primary SchoolQarru Primary SchoolCPEE

2. Nicodemas Henry Maganga - Mbunge wa Mbogwe

YearLevelSchoolAwards
1991 - 1997Primary SchoolNhungwiza Primary SchoolCPEE

3. Hussein Nassor Amar - Mbunge wa Nyang'hwale

YearLevelSchoolAwards
1967 - 1973Primary SchoolBuzanaki Primary SchoolCPEE

4. Kilumbe Shabani Ng'enda - Kigoma Mjini

YearLevelSchoolAwards
1975 - 1981Primary SchoolMuunganoCPEE

5. Robert Chacha Maboto - Bunda Mjini
YearLevelSchoolAwards
1983 - 1989Primary SchoolMuhoji Primary SchoolCPEE

6. Hassan Seleman Mtenga - Mtwara Mjini

YearLevelSchoolAwards
1974 - 1980Primary SchoolChikongola Primary SchoolCPEE

7. Tabasamu Hamisi Hussein Mwagao - Sengerema
YearLevelSchoolAwards
1975 - 1981Primary SchoolNyakato Primary SchoolCPEE

Wabunge wengine ni pamoja na:

9. Deo Sanga - Makambako
10. Hassan Zidadu Kungu - Tunduru Kaskazini
11. Njalu Daudi Silanga - Itilima
12. Jaffar Sanya Jussa - Paje
 
Wabunge wapumbavu kama hawa ndio wanapitisha kila kitu kinacholetwa mbele yao.
 
Back
Top Bottom