Ukiachana na tabia za kimtandao wewe ni mtu wa aina gani?


Yeah mie mbona hiyo ndiyo ilikuwa point yangu in the first place! Ila nashangaa kuna watu kule juu walikuwa wanang’ang’ania kuwa hakuna kabisa watu ambao tabia zao za mitandaoni ni tofauti na za uhalisia kwamba eti WOTE tuko sawa!

Tupo wengi tu ambao ni exception ya hiyo general rule! So nakubali kuwa watu wengi huwa wanashindwa kuficha uhalisia wao ila SIYO WOTE!
 
Nina.huruma sana unaweza sema sitorudia hii kitu hapo unakuta nalia kweli kweli, mwezi haupiti, nikiombwa tu msaada shetan anatokea msaidie bana.

Hapa nipo nalipa hela nilomkopea binadamu kwenye chama na riba juu ee Mungu kwa nini unanikutanisha na watu wa kuniletea natatizo kila Siku?
Huyu ni mtu wa tatu namkopea na halipi mwisho nalipa mimi. Hili li moyo langu nimelichoka.
 
una moyo mzuri sana, ukimaliza kulipa nami ntakuja unikopee bt mimi ni mwaminifu ntalipa
 
Sosho media zinanisaidia sanaa, hila mimi ni introvert kindakindaki in rili laifu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…