Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 30,567
- 86,748
Now you are talking, hata mimi sijalazimisha kuwa lazima kila mtu yupo hivyo...na kutokana na kile ulichoandika hapa inaonekana unakubaliana kuwa general rule ni kuwa uhalisia wa mtu unajionesha kupitia kile anachoandika humu.
Pia nakubaliana na wewe kuwa mtu hawezi kuonyesha tabia zote ila tu anatupatia general picture ye ni mtu wa aina gani hata kama hizo tabia huko nje huzionyeshi pia. Tuachane na hayo mambo ya MPD maana tayari umeshasema ni DISORDER
Yeah mie mbona hiyo ndiyo ilikuwa point yangu in the first place! Ila nashangaa kuna watu kule juu walikuwa wanang’ang’ania kuwa hakuna kabisa watu ambao tabia zao za mitandaoni ni tofauti na za uhalisia kwamba eti WOTE tuko sawa!
Tupo wengi tu ambao ni exception ya hiyo general rule! So nakubali kuwa watu wengi huwa wanashindwa kuficha uhalisia wao ila SIYO WOTE!