Ukiachana na tabia za kimtandao wewe ni mtu wa aina gani?

Mimi napenda siasa, napenda bustani,napenda vitabu, napenda magari, sipendi mpira, pombe mara chache sana, mademu nimeacha baada ya kuoa.
 
Good.

Tatizo vijana wengi wanakuona unafaa kwa kuwa cougar.

I don't know why I have issues with younger men.

Huwezi kwenda out ukatulia kivyako lazima wajiongeze.😖😖😖
It only stems on how you behave and present yourself infront of people and that has to do with your personal standards. Unaongea vitu gani mbele yao, who do you share the talk with.

Ukijipambanua kama dada then kila kijana atakuface kwa heshima hio hio ila ukikaa kihasara hasara ujue tu lazima utaishia kuwa prey!

Hii inanikumbusha topic alioyoongelea doctor Mwaka kwamba if you are cheap utatongozwa mpaka na konda wa daladala. Maintain standards!
 
I assure you I'd never lower my standards.

I know my worth as a woman and I have a wedding band and I dress decently.
 
Lyon na Bayern ni leo. Bayern wameshinda mechi 19 mfululizo. Mechi ya mwisho wamempiga Barcelona bao 8.

Lyon katoka kumpiga City bao 3 kwa moja. Huku akiwa kazidiwa possession, Lyon alikua na 28% kwa 72%, mpaka pasi Lyon alipiga pasi 192.

Katika mechi za Pre season Bayern alimpiga mtu goli 21.

Unadhani leo itakuaje? Lyon atafanya maajabu yake kama kawaida?

Naomba maoni yako. Nataka nibeti.
 
mkuu itakua haupo serious, mitandaoni karibu kila mtu anamaisha mazuri, ana gari, tajiri na nk.., je haya yote yapo katika uhalisia?
Mkuu tofautisha uhalisia (reality) na matamanio (ambition), nadhani kwa uhalisia tunamaanisha character ya mtu na matamanio hujenga reputation (jinsi watu wanamchukulia).

Kuna tofauti kati ya mtu alivyo na unavyo mchukulia. Suala la mtu kujifanya ana pesa au wewe kumuona ana pesa haliondoi ukweli kwamba anazo au hana, hapo uhalisia wake haujabadilika.

Haya mambo kama pesa hatuwezi kuya regard kama uhalisia wa mtu sababu hubadilika over time lakini tabia ya mtu ni permanent.

Kwa maoni yangu humu watu wapo halisi sana na maisha yao ya kila siku.

Jokes: Mfano @Kidukulilo unamregard ni tajiri?
 
Lyon na Bayern ni leo. Bayern wameshinda mechi 19 mfululizo. Mechi ya mwisho wamempiga Barcelona bao 8.

Lyon katoka kumpiga City bao 3 kwa moja. Huku akiwa kazidiwa possession, Lyon alikua na 28% kwa 72%, mpaka pasi Lyon alipiga pasi 192.

Katika mechi za Pre season Bayern alimpiga mtu goli 21.

Unadhani leo itakuaje? Lyon atafanya maajabu yake kama kawaida?

Naomba maoni yako. Nataka nibeti.
4+ total goals
 
It only stems on how you behave and present yourself infront of people and that has to do with your personal standards. Unaongea vitu gani mbele yao, who do you share the talk with.

Ukijipambanua kama dada then kila kijana atakuface kwa heshima hio hio ila ukikaa kihasara hasara ujue tu lazima utaishia kuwa prey!

Hii inanikumbusha topic alioyoongelea doctor Mwaka kwamba if you are cheap utatongozwa mpaka na konda wa daladala. Maintain standards!
I assure you I'd never lower my standards.

I know my worth as a woman and I have a wedding band and I dress decently.
Inawezekana Karucee keeps her standards ila problem ni majority ya wanawake wa Dar na tabia zao.

Imefika mahali vijana wa Dar wakiona mwanamke wana 'tafsiri' zao kichwani ( zali la mental, umarioo, hawaridhishwi etc) hivyo hujaribu bahati zao.

Mfano ukisoma ule uzi wa rikiboy wa kula tunda kimasihara, kwa akili za vijana wataona kila mwanamke analika kimasihara hivyo hupata ujasiri wa ajabu kujaribu hata visivyo jaribika.
 
I think trend Sasa hivi Ni kuwa na an older woman ambae Ni thirsty for sex na vijana nao msingi kiuno. Because sielewi why someone would be out probably at a cafe taking some coffee, working at her laptop and wearing decently and still pass for a cougar.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] kumbe je? We hupendi?
Hakika kuandika ni zaidi ya kuongea, kuongea mtu huweza kutamka bila dhamira ila kuandika ni different story.

Ukikuta mtu kakuandikia hadi read more... then ukute ni credits anatoa, it feels awesome kwa kweli... yaani every time you go back through the message then unasema kumbe niko hiviii eeh kama vile hujawahi kujijua[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom