Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
It only stems on how you behave and present yourself infront of people and that has to do with your personal standards. Unaongea vitu gani mbele yao, who do you share the talk with.Good.
Tatizo vijana wengi wanakuona unafaa kwa kuwa cougar.
I don't know why I have issues with younger men.
Huwezi kwenda out ukatulia kivyako lazima wajiongeze.😖😖😖
Brilliant ideaMimi mwenyewe Mkaa ndani tu.
Na nafurahia hilo.
May be try to join a Gym Club or uwe mtu wa library.
I assure you I'd never lower my standards.It only stems on how you behave and present yourself infront of people and that has to do with your personal standards. Unaongea vitu gani mbele yao, who do you share the talk with.
Ukijipambanua kama dada then kila kijana atakuface kwa heshima hio hio ila ukikaa kihasara hasara ujue tu lazima utaishia kuwa prey!
Hii inanikumbusha topic alioyoongelea doctor Mwaka kwamba if you are cheap utatongozwa mpaka na konda wa daladala. Maintain standards!
mkuu kwa hiyo ushirikina ni tabia ya kimtandao tu.Mcha mola.mlokole anayechukia ushirikina
That sentence does not need clarification 😂Mh....Hapa umemaanisha nini jamani!??
Umeongea lugha ya ndani sana
Nisije nikaandika Essay,ila nakubali sana hivyo ulivyo na unajua hilo.Wewe unajionaje[emoji16]
Hebu andika bwana hiyo essay nijisikie kidogo, inaweza kuwa na masahihisho pia [emoji16][emoji16]Nisije nikaandika Essay,ila nakubali sana hivyo ulivyo na unajua hilo.
Mkuu tofautisha uhalisia (reality) na matamanio (ambition), nadhani kwa uhalisia tunamaanisha character ya mtu na matamanio hujenga reputation (jinsi watu wanamchukulia).mkuu itakua haupo serious, mitandaoni karibu kila mtu anamaisha mazuri, ana gari, tajiri na nk.., je haya yote yapo katika uhalisia?
4+ total goalsLyon na Bayern ni leo. Bayern wameshinda mechi 19 mfululizo. Mechi ya mwisho wamempiga Barcelona bao 8.
Lyon katoka kumpiga City bao 3 kwa moja. Huku akiwa kazidiwa possession, Lyon alikua na 28% kwa 72%, mpaka pasi Lyon alipiga pasi 192.
Katika mechi za Pre season Bayern alimpiga mtu goli 21.
Unadhani leo itakuaje? Lyon atafanya maajabu yake kama kawaida?
Naomba maoni yako. Nataka nibeti.
It only stems on how you behave and present yourself infront of people and that has to do with your personal standards. Unaongea vitu gani mbele yao, who do you share the talk with.
Ukijipambanua kama dada then kila kijana atakuface kwa heshima hio hio ila ukikaa kihasara hasara ujue tu lazima utaishia kuwa prey!
Hii inanikumbusha topic alioyoongelea doctor Mwaka kwamba if you are cheap utatongozwa mpaka na konda wa daladala. Maintain standards!
Inawezekana Karucee keeps her standards ila problem ni majority ya wanawake wa Dar na tabia zao.I assure you I'd never lower my standards.
I know my worth as a woman and I have a wedding band and I dress decently.
Pia Lyon hapati hata goli moja... au unaonaje?4+ total goals
I think trend Sasa hivi Ni kuwa na an older woman ambae Ni thirsty for sex na vijana nao msingi kiuno. Because sielewi why someone would be out probably at a cafe taking some coffee, working at her laptop and wearing decently and still pass for a cougar.Inawezekana Karucee keeps her standards ila problem ni majority ya wanawake wa Dar na tabia zao.
Imefika mahali vijana wa Dar wakiona mwanamke wana 'tafsiri' zao kichwani ( zali la mental, umarioo, hawaridhishwi etc) hivyo hujaribu bahati zao.
Mfano ukisoma ule uzi wa rikiboy wa kula tunda kimasihara, kwa akili za vijana wataona kila mwanamke analika kimasihara hivyo hupata ujasiri wa ajabu kujaribu hata visivyo jaribika.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unataka essay iwe na read more... uvimbe bichwa eeh!Hebu andika bwana hiyo essay nijisikie kidogo, inaweza kuwa na masahihisho pia [emoji16][emoji16]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] kumbe je? We hupendi?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unataka essay iwe na read more... uvimbe bichwa eeh!
Exactly, 98% ya tabia ya mtu mtandaoni, ndio tabia yake halisi hata kwenye maisha ya kawaida, its not easy to pretend uhalisia wakoUkiona mtu anatukana mtandaoni ndio tabia yake hata kwenye maisha halisi
Kabisa mkuu, mi naamini kila mtu humu anachoandika ndio uhalisia wake.Kwanza mtu huwezi kufake miaka nenda rudi, unless wewe ni maarufu na una verified ID.
Hapo utajitahidi kukwepa baadhi ya maneno.
Ila with fake IDs most people are mostly real.
Hakika kuandika ni zaidi ya kuongea, kuongea mtu huweza kutamka bila dhamira ila kuandika ni different story.[emoji1787][emoji1787][emoji1787] kumbe je? We hupendi?