Ukiachwa na single Mother unampoteza na huyo Mtoto wake unayemhudumia. Ni big loss

Ukiachwa na single Mother unampoteza na huyo Mtoto wake unayemhudumia. Ni big loss

Robert Heriel Mtibeli

Platinum Member
Joined
Mar 24, 2018
Posts
40,153
Reaction score
93,069
UKIACHWA NA SINGLE MOTHER UNAMPOTEZA NA HUYO MTOTO WAKE UNAYEMHUDUMIA. NI BIG LOSS.

Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli

1. Jamaa mmoja hapa ananisimulia kwa hasira kuhusu mahusiano yake yalivyo complicated, magumu sana. Mwanamke aliyekuwa anaishi naye ambaye alimkuta single mother wa mtoto mmoja wamegombana na huyo mwanamke amekazana waachane.

2. Sikutaka kujua sababu ya huyo single mother kutaka kumuacha mshikaji. Mimi nikamwambia mshikaji amuache tuu. Kama mwanamke hamtaki asimlazimishe.

3. Jamaa ananiambia, bado anampenda na zaidi amemlea mtoto wa yule mwanamke kwa miaka mitatu na alikuwa anamlipia ada ya shuleni. Anampenda kama binti yake.

4. Nikamwambia lakini sio binti yako. Ulifanya hivyo kwa hiyari yako na hakuna popote ulilazimishwa. Jamaa anahasira.

5. Ninachotaka kusema;
Haukatazwi kuoa au kuwa na single mother. Single mother ni mwanamke kama walivyo wanawake wengine.
Ila jambo la muhimu lazima uwafahamu kinagaubaga, ujue changamoto zao, uangalie matokeo ya kuwa na single mother na mwisho wa stori ikitokea mmeachana nani atakuwa Loser's

6. Single mother ukiachana naye ujue hata mtoto unayemlea umeacchana naye.
Alafu wanawake mbona wakilea watoto wa single father wao wakiachwa hawalalamiki lakini wanaume wanalalamika?

7. Sababu kubwa ni kuwa, Wanawake kitu kama sio chao hasa kuhusu watoto wanakubali ukweli kuwa mtoto ambaye hajamzaa yeye huyo sio mtoto wake. Atamchukulia kama mtoto wake lakini hawezi kumweka sawa kama mtoto aliyemzaa.

8. Hii ni kusema, unapomuoa au kuamua kuishi na single mother ukatekeleza wajibu usiowako wa kumhudumia mtoto wake, hiyo umefanya kama sadaka, kwa hiyari yako. Hakuna sehemu utakuwa na haki juu ya huyo mtoto siku wakitaka kukutenganisha naye.

9. Baba wa kambo ni Baba wa kambo. Huna mamlaka kimwili na kiroho juu ya mtoto asiyewako.
Huwezi kumbariki wala huwezi kumlaani.

10. Ikitokea unagombana na Mkeo, Mtoto huyo anauwezo wa kuingilia na kukubonda haswa na hakuna cha laana wala hawezi jisikia vibaya kukubonda.
Kwa sababu kwa huyo mtoto wewe ni stranger tuu. Mtu wa kupita katika maisha yake.
Kuwa na Mamaake haimaanishi wewe sio Stranger.

Jumatatu njema

TaikonMaster
Kwa sasa Dar es salaam
 
Masingo maza wameolewa toka enzi za mababu

Sijui hii fuzz kuhusu masingo maza recently imetokea wapi.

Either wanawake wenye watoto wamekuwa wabinafsi na wasio na shukrani au wanaume wamekuwa dhaifu kudeal na wanawake wenye watoto ambao sio wao.
 
Mifumo ya zamani ilikuwa inatambua mtoto hata asiyewako ukimlea ni wako.

Mifumo ya zamani ukioa mwanamke jamii yote inatambua ni wako. Mwanamke hawezi kujiamulia kuondoka kwenda kwao kisa mmegombana.

Vipi sasa hivi?

Mtoto kama sio wako ni sio wako. Mfumo unatambua haki ya mwanamke na mtoto.
Haijali ulikuwa unahudumia sijui unajitoa kwaajili yao.

Mtoto aliyezaliwa ndani ya ndoa ikitokea ulibambikiwa, hata kama ulimtunza mtoto mwenyewe anauwezo wa kwenda kwa babaake na hakuna sheria itamzuia.

Mfumo wa sasa mwanamke anauwezo wa kuondoka na watoto wako wote hata kama weww ndiye ulikuwa unawatunza. Akishaona wamekua wakubwa anaondoka na hakuna kitu utafanya.
 
Hayo mambo watuachie sisi wenye mioyo migumu kama putin wazee wakuteka mji hutak mtoto ni wangu unataka mtoti ni wangu
Kuna binti nilimkuta na mimba tukakubaliana kila kitu cha kinachohusu mtoto kikawa changu baada ya miaka 7 kupita mama mtu akaanza kuleta vituko tuachane nikasema chukua kilicho chako nenda akadai anataka na mtoto nikamwambia labda tumkate vipande tumpike tumle supu lasivyo utawaishwa kuzimu umuache mtoto

nikachomoa panga nikamlamba ubapa wa makalioni kusisitiza nipo seriou nikamwambia mwanzo na mwisho kusikia hiyo kauli ikumbukwe nishamzalisha watoto wawili kwasasa yule mtoto mtoto anamiaka 21 mama yake hatujaachana na mtoto hajui kama mimi si baba yake
mama yake aliwahi kumwambia mtoto akajibu mama umechanganyikiwa au mbona unaropoka ujinga coz nilijua kipi kinaenda kutokea nikamlisha sumu mtoto kuhusu mama yake kwamba wanawake watu wabaya sana 😂😂😂 na mtoto akajaa king now anasimamia miradi yangu
Yule mwanamke mpaka sasa nimemzalisha watoto wa tano tutazeeka na kufa pamoja hapa haachwi mtu hawa viumbe ukileta siasa watakuchezea mpaka makalion wakupige doreeee
 
Scarcity Mindset ,

Kwa sisi binadamu
We don't give a damn ,
If I'm living with your momma
Nitakulea nitakucare, nitahakikisha you are getting whatever you deserve as a child, son daughter alafu nashika hamsini zangu ,

Uko sahihi kabisa.
Lakini pia naye atakupa kile unachodeserve siku ukizinguana na mama yake.
Wewe kwake ni stranger kama ulivyo kwa Mamaake.
Hakuna any connection.
 
Hili kombora ni ICBM kwa wale wanaume wapumbavu wanaodhani wakilea mtoto wa single mother basi itabadili ukweli kwamba huyo mtoto hamuhusu kwa namna yoyote ile siku wakimwagana ama hata wakiwa pamoja.

Sio upumbavu mkuu.
Dunia hii ina ulimwengu wa predators na Preys.
Wao wamechagua upande wa preys
 
UKIACHWA NA SINGLE MOTHER UNAMPOTEZA NA HUYO MTOTO WAKE UNAYEMHUDUMIA. NI BIG LOSS.

Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli

1. Jamaa mmoja hapa ananisimulia kwa hasira kuhusu mahusiano yake yalivyo complicated, magumu sana. Mwanamke aliyekuwa anaishi naye ambaye alimkuta single mother wa mtoto mmoja wamegombana na huyo mwanamke amekazana waachane.

2. Sikutaka kujua sababu ya huyo single mother kutaka kumuacha mshikaji. Mimi nikamwambia mshikaji amuache tuu. Kama mwanamke hamtaki asimlazimishe.

3. Jamaa ananiambia, bado anampenda na zaidi amemlea mtoto wa yule mwanamke kwa miaka mitatu na alikuwa anamlipia ada ya shuleni. Anampenda kama binti yake.

4. Nikamwambia lakini sio binti yako. Ulifanya hivyo kwa hiyari yako na hakuna popote ulilazimishwa. Jamaa anahasira.

5. Ninachotaka kusema;
Haukatazwi kuoa au kuwa na single mother. Single mother ni mwanamke kama walivyo wanawake wengine.
Ila jambo la muhimu lazima uwafahamu kinagaubaga, ujue changamoto zao, uangalie matokeo ya kuwa na single mother na mwisho wa stori ikitokea mmeachana nani atakuwa Loser's

6. Single mother ukiachana naye ujue hata mtoto unayemlea umeacchana naye.
Alafu wanawake mbona wakilea watoto wa single father wao wakiachwa hawalalamiki lakini wanaume wanalalamika?

7. Sababu kubwa ni kuwa, Wanawake kitu kama sio chao hasa kuhusu watoto wanakubali ukweli kuwa mtoto ambaye hajamzaa yeye huyo sio mtoto wake. Atamchukulia kama mtoto wake lakini hawezi kumweka sawa kama mtoto aliyemzaa.

8. Hii ni kusema, unapomuoa au kuamua kuishi na single mother ukatekeleza wajibu usiowako wa kumhudumia mtoto wake, hiyo umefanya kama sadaka, kwa hiyari yako. Hakuna sehemu utakuwa na haki juu ya huyo mtoto siku wakitaka kukutenganisha naye.

9. Baba wa kambo ni Baba wa kambo. Huna mamlaka kimwili na kiroho juu ya mtoto asiyewako.
Huwezi kumbariki wala huwezi kumlaani.

10. Ikitokea unagombana na Mkeo, Mtoto huyo anauwezo wa kuingilia na kukubonda haswa na hakuna cha laana wala hawezi jisikia vibaya kukubonda.
Kwa sababu kwa huyo mtoto wewe ni stranger tuu. Mtu wa kupita katika maisha yake.
Kuwa na Mamaake haimaanishi wewe sio Stranger.

Jumatatu njema

TaikonMaster
Kwa sasa Dar es salaam
Aache uongo huyo jamaa, Kama anampenda mtoto si aendelee kumuhudumia akiwa kaachana na mama yake? Yeye akubali anamtaka sana single mother na mtoto ndo tiketi pekee ya kumfikia. Ukweli utamweka huru.
 
Back
Top Bottom