Ukiachwa na single Mother unampoteza na huyo Mtoto wake unayemhudumia. Ni big loss

Ukiachwa na single Mother unampoteza na huyo Mtoto wake unayemhudumia. Ni big loss

Aache uongo huyo jamaa, Kama anampenda mtoto si aendelee kumuhudumia akiwa kaachana na mama yake? Yeye akubali anamtaka sana single mother na mtoto ndo tiketi pekee ya kumfikia. Ukweli utamweka huru.

Kama mwanamke anaweza kukupiga pin usiwe karibu na Mtoto wako kabisa wa kumzaa. Vipi kwa mtoto ambaye sio wako na unajua sio wako.

Wanawake kwa maamuzi magumu wanayaweza. Akikupiga tukio unaweza hisi unaota lakini ndio unakong'otwa hivyo😄😃

Huyo mwanamke kamwambia aache kujipendekeza
 
Hata kama mama mtu amemlisha sumu za kumchukia baba mtu?
Siyo rahisi nakwambia, yani siku baba mzazi akisema amtafute huyo mtoto na aongee naye!

Hapo ndiyo utagundua waliosema damu ni nzito kuliko maji walimaanisha nini.
 
Atamchukia Mzee wake ndio
Lakini sio ampende Baba mwingine zaidi ya Babaake. Hilo sahau.

Ikitokea amepewa uchaguzi mmoja nani aishi kati ya Babaake mzazi na Baba mlezi. Asilimia kubwa Atamchagua mzee wake
Kweli blood is thicker than water.
 
Kama mwanamke anaweza kukupiga pin usiwe karibu na Mtoto wako kabisa wa kumzaa. Vipi kwa mtoto ambaye sio wako na unajua sio wako.

Wanawake kwa maamuzi magumu wanayaweza. Akikupiga tukio unaweza hisi unaota lakini ndio unakong'otwa hivyo😄😃

Huyo mwanamke kamwambia aache kujipendekeza
Hakuna mkate mgumu mbele ya chai. Amwambie anataka kumpeleka mwanae Fedha aone. Si pesa za kuhudumia anazo?

Halafu kwanini hadithi za wanaopenda single mother huwa hawazai nao? Kama anapenda sana watoto kwanini hakumzalisha? Kuna kitu hakipo sawa kwenye haya matukio ya single mother JF. Kila mtu anayebeba single mother hapati watoto?
 
Kwani mkuu ukimpoteza huyo mtoto Kuna shida Gani hata Kama ulimuhudumia, mbona unasomesha mtoto wako mwenyewe na hakuna kitu anakusaidia
 
Watoto wana upendo pia, wakijua nani anawalea vizuri lazima watamheshimu kama mzazi.

Suala la kusema mtoto wa singo maza anaweza mpiga baba aliyemlea hata kama alikuwa akioneshwa upendo, hilo nakataa.
 
Mkuu single mother wamekufanyia nini? Sio kwa kuwaandama hivyo
 
Ukipenda boga penda na ua lake
,Kuna watu Kila siku wanao na kuacha. Mikoa ya pwani kuoa ni rahisi kuachana ni rahisi zaidi , yaani unaweza Kuta mwanamke amewahi kuolewa zaidi ya mara tatu na huko kote Alizaa watoto na Bado ataolewa Tena. Kifupi tuwapende TU LAKINI tujue wana watoto na wanahitaji huduma
 
Uko sahihi kabisa.
Lakini pia naye atakupa kile unachodeserve siku ukizinguana na mama yake.
Wewe kwake ni stranger kama ulivyo kwa Mamaake.
Hakuna any connection.
Nikimpenda Mom Ako na wewe nakupenda nakujali nakucare I don't give a damn na nitakupa stahiki zako zote kama mtoto , I don't give a damn about Mfkn Future.
 
Nikimpenda Mom Ako na wewe nakupenda nakujali nakucare I don't give a damn na nitakupa stahiki zako zote kama mtoto , I don't give a damn about Mfkn Future.

Wakati huo watoto wako wa kuwazaa umewatelekeza. Ni jambo la kawaida sana kwa watu wasiojua mipaka yao kuwa na mtazamo kama wako
 
Back
Top Bottom