Ukiachwa unatakiwa usikilize nyimbo gani ili roho itulie

Natamani ningeelewa anachokimaanisha
Analalamikia tabia ya wazazi siku hizi kuachana hovyo hovyo na kuacha watoto wao wakiteseka. Anaomba wapenzi wavumiliane maana wanapoachana madhara yake ni makubwa, si kwao tu bali hasa kwa watoto wao.

Sijui kama unafaa kwa mtu aliyetoka kupigwa chini πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸƒπŸΏβ€β™‚οΈπŸƒπŸΏβ€β™‚οΈπŸƒπŸΏβ€β™‚οΈ
 
Ukiachwa tafuta k nyingine tafuna...hii itakuondolea mawazo
 
Ex na andazi nachagua andazi EX na bia nachagua bia umbwa yule
 
Hii ni mfungo, kwaresma+ramadhani
Sikiliza nyimbo za kwaresma

Au sikiliza hizi If love is you (greg Hatwell & adelle
Au huu this isn't love ( the royal)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…