Ukiangalia hii ramani lazima utawasupport Israel wako sahihi

Hwa mazayuni ni wazungu kutoka ulaya walipofurumushwa , ilikuwaje waanzishe taifa mwaka 1948?
Majority ya wayahudi israel wametoka yemen, iraq, iran, morocco na egypt wakahamia israel mwaka 1948

Kama quran ina-acknowledge uwepo wa wayahudi ila wewe umeshapuza shingo wametoka ulaya na nikusaidie hao wa ulaya ni adhabu walipewa wakati wa nabii yeremia wataenda ulaya kama watumwa ila watarudi

Ukitaka mfiche mwafrika jambo liweke kwenye vitabu sababu ni mvivu sana wa kusoma
 
Acha porojo wewe ,waliishije kabla ya mwaka 1948 ? waislamu wangapi?..Uliona wapi watu wapakana halafu wana asili tofauti kabisa...Israel jina la mtu au nchi ,na hiyo nchi jina limeanza 1948.

Ila kwenye hilo suala la nchi, inaonekana ama una uelewa mdogo sana, au huelewi chochote kabisa. Kingdom of Israel imekuwepo hata kabla hata ya ujio wa Yesu Kristo. Impaka mwaka 900BC Israel kingdom ilikuwa moja ikishikilia eneo kubwa la Mashariki ya kati ambalo leo hii hilo eneo ni hilo linaloitwa Israel, Westbank, Gaza, baadhi ya maeneo ya Egypt, Jordan, Lebanon.

Mwaka 500BC, baada ya kifo cha King Solomon, kingdom ya Israel iligawanyika na kuwa Northetn Israel Kingdom na South Judah kingdom. Hizo kingdoms ziliwahi mara nyingi kuvamiwa na kingdoms zinazowazunguka, hasa ile ya Babylone, na mara kadhaa walishindwa vita, na maeneo yao kuchukuliwa, na wao wenyewe kuchukuliwa mateka. Kusema hakujawahi kuwa na nchi ya Israel kabla ya 1948, huo ni ujinga, kutokuelewa historia ya Dunia. Katika historia ya kale, hakuna nchi iliyowahi kuitwa Palestine. Jina la Palestine liliasisiwa na watawala wa Kirumi, wakati wanaitawala Dunia nzima. Wayahudi wengi waliondoka kwenye nchi ya mababu zao, wakati wa wa Ottoman Empire., na wachache waliosalia waliondoka tena wakati wa utawala wa Muingereza. Mpaka mwaka 1948, kulikuwa na wayahudi kama 10,000 tu kwenye hiyo ardhi ya babu zao, wengi wakiwa wamekimbilia kwenye mataifa mengine, na maeneo yao ya kale, sehemu kubwa yakiwa yamechukuliwa na waarabu. Hakujawahi kuwa na kabila la wapalestina, bali ni waarabu na wayahudi. Na kabila la wayahudi lilianza baada ya kugawanyika Israel Kingdom, wale wa Judah kingdom, wakajiita Judahs. Lakini kabla yake wote walijulikana kama Waisrael, yaani wana wa Israel (Yakobo), na kabla yake waliitwa Waebrania, yaani wana wa Ibrahim.
 
Hamna kitu kama hicho ,hamna validity na hivyo vitu unavyoongea ...Hata hao jews huwajui
.Kasome utofauti wa wayahudi na mazayuni.
 
Naongelea mazayuni ambao wanaishi ndio hao viongozi wa pale ..Jews wapo hapo na tabia zao zinafanana sio hao wa kutoka polan , Ireland
 
Naongelea mazayuni ambao wanaishi ndio hao viongozi wa pale ..Jews wapo hapo na tabia zao zinafanana sio hao wa kutoka polan , Ireland
Ungesoma historia usingeongea huu ujinga

Baada ya simon bar kokbha kushindwa mwaka 135 eneo la judea samaria lilibadilishwa na kuitwa palestina na baadhi ya wayahudi walipelekwa ulaya eneo ambalo roman empire walikuwa wanatawala kwa kazi mbalimbali

Ukitaka umfiche mwafrika wewe weka taarifa kwenye vitabu
 
Unatoa shule nzuri sana lakini Wafuga Midevu na Majini hawatakuelewa kabisa maana wanarawaliwa na chuki dhidi ya Wayahudi!!
 
Waarabu wawachukue wapalestina wawape huko wakae,
 
Waarabu wawachukue wapalestina wawape huko wakae,
Nakumbuka baada ya wao kufanya mauaji ya Oct 07,2023 nchi zote za kiarabu zilikataa kuwapokea Magaidi hao ikiwemo Misri.

Hao wanaoitwa Wapalestina ni Janga la dunia hawatakiwi kwenye nchi zote za kiarabu maana wanawajua sana tabia zao mbovu!!

Nchi za Ulaya na Marekani ndiyo wanawapapatikia maana hawawajui tabia na desturi zao naamini hata wao wameanza kuisoma namba wameona usumbufu wao!!
 
Waisrael wa biblia ndio wapalestina wa sasa, Waisrael unaowaona Leo (Ashkenazi) ni wayahudi wa kusilimu sio wa kuzaliwa. Proved by sayansi Hadi culture
Wapalestina ni tofauti na wa Israel na wayahudi, wapalestina wao ni wafilisti ufalme wao ulikua huko West bank na Gaza.
 
Wapalestina ni tofauti na wa Israel na wayahudi, wapalestina wao ni wafilisti ufalme wao ulikua huko West bank na Gaza.
Wapalestina si Wafilisti kabila hilo lilifutika kama walivyofutika Wayebusi!!
 
Hamna kitu kama hicho ,hamna validity na hivyo vitu unavyoongea ...Hata hao jews huwajui
.Kasome utofauti wa wayahudi na mazayuni.

Usifurajie kukaa na ujinga. Hayo niliyoyaandika yapo kwenye historia inayofahamika na wataalam wote wa historia ya Dunia, siyo ya kwenye msahafu au Biblia.

Jielemishe, usifurahie kukaa na ujinga kwa mambo yaliyo dhahiri. Soma hapa chini, upunguze ujinga.

The ancient United Kingdom of Israel split into two separate kingdoms around 931 BCE to 930 BCE, following the death of King Solomon.

The Cause: Opinions on the exact chronology vary, but biblical history and historical consensus indicate that high taxes and political tensions under Solomon's son and successor, King Rehoboam, caused ten northern tribes to rebel.

The Northern Kingdom: Ten tribes formed the independent Kingdom of Israel in the north, led by Jeroboam.

The Southern Kingdom: Two tribes (Judah and Benjamin) stayed loyal to the Davidic line and formed the Kingdom of Judah in the south, led by Rehoboam.

Northern Fall: The northern Kingdom of Israel lasted for about 200 years until the Neo-Assyrian Empire conquered and destroyed it around 722 BCE.

Southern Fall: The southern Kingdom of Judah lasted longer, surviving for about 350 years until the Neo-Babylonian Empire captured Jerusalem and destroyed Solomon's Temple around 587 BCE to 586 BCE.
 
Acha uongo wewe ,kwamba waliondoka mpaka kufika ulaya halafu wanarudi ? jews walikuwepo hapo na hata hao waliondoka wapo weusi mbona wanarudi weupe tupu?
 
Narudia tena kijana , naongelea mazayuni sio jews ..Rudi usome kwanza kable hatujaendelea!
 
Kwa wafuga midevu na majini wao hawaamini historia wao wanaamini yote wanayoambiwa na Masheikhe wao tu!!
 
Acha uongo wewe ,kwamba waliondoka mpaka kufika ulaya halafu wanarudi ? jews walikuwepo hapo na hata hao waliondoka wapo weusi mbona wanarudi weupe tupu?
Wapi imeandikwa kuwa wayahudi walikuwa weusi?
 
Wapalestina ni tofauti na wa Israel na wayahudi, wapalestina wao ni wafilisti ufalme wao ulikua huko West bank na Gaza.
Wafilisti ni wagiriki, proven by sayansi, wapelstina ni wayahudi wa kale proven by sayansi. Tatizo lenu hamtaki kusoma mnaongea tu stori za vijiweni. Kama tunaona waisilamu wanadanganya soma wasomi wa Kiyahudi kina Chomsky na wataalam wengine wanaelezea vizuri asili ya wapalestina, achana na stori za wanasiasa za kutunga.
 

Kuwepo kwa Waislamu ndani ya Israel na kuwa na misikiti hakubishani na madai kuhusu hali ya Palestina. Ni kweli kwamba raia Waarabu wa Israel, wakiwemo Waislamu, wanaishi Israel na uhuru wa ibada unatambuliwa kisheria, ingawa pia kuna vikwazo na matukio ya ubaguzi yanayoripotiwa.

Lakini hoja yako kuhusu “kwanini hakuna Wayahudi Gaza” inaacha historia muhimu. Israel yenyewe iliondoa makazi yote 21 ya Wayahudi kutoka Gaza mwaka 2005, pamoja na kuondoa uwepo wake wa kudumu wa kijeshi ndani ya Gaza. Kwa hiyo kusema tu “Palestina waliwafukuza Wayahudi” bila kueleza uondoaji huo ni kupunguza historia.

Na kuhusu West Bank, dai kwamba “ni vigumu kumkuta Myahudi” si sahihi kwa maana kwamba hakuna Wayahudi kabisa. Kuna makazi mengi ya Wayahudi katika West Bank, na Umoja wa Mataifa umeandika kuhusu ongezeko kubwa la idadi ya walowezi huko.

Kwa hiyo, kama tunataka kujadili kwa haki, tusitumie uwepo wa misikiti Israel kama ushahidi kwamba Israel haina matatizo, wala kutokuwepo kwa Wayahudi Gaza kama ushahidi kwamba Wapalestina ndio chanzo cha kila tatizo.

Swali muhimu ni hili: ni tukio gani, sheria gani na kipindi gani tunazungumzia? Historia ya Israel na Palestina haiwezi kupimwa kwa picha moja ya ramani.
 
Proved by Sayansi gani!?
Wagriki si Wapalestina na Wapalestina si Wayahudi.

Tujuavyo sisi Wapalestina ni waarabu kama walivyo wamisri,Lebanon!!
 
Wewe ushakuwa mxenge Fulani humu
Naona ushaanza kupakuliwa na wachungaji hata uraisi hauuwezi ushakuwa *****
Juzi ulikuja na consultancy eti umsaidie mtu kupata utajiri pumbavu!
Mara ukaja na gia ya kuombea watu nya’ngau wewe njaa inakusumbua
Leo umekuja na ulokole mavi
Fuvu limeshajaa tope na kamasi sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…