Ukiangalia hii ramani lazima utawasupport Israel wako sahihi

Syria kila uchwao inashambuliwa na israel au unajitoa ufahamu
Anashambuliwa huko kwa druze na kambi za Turkey ila bado ndio waaongoza serikali na walisaidiwa na hao hao wayahudi kumpiga Al Assad.

Sasa swali kwanini US na Israel wamekubali na kuweka serikali ya Al qaeda kutawala Syria? Ila kwa Hamas mnawaita magaidi? Huu unafiki ndio naopinga. Yaani kuitwa gaidi ni mpaka US na Israel waamue na sio matendo yao!!

Cha ajabu na wewe unayejipambanua kama msomi humu JF unaingia huu mtego!! Ukiwa Rais si ndio tumeisha.
 
Hao wafalme wengine waliotawala umewajua kupitia kitabu cha wayahudi biblia alafu unasema hapo sio kwao
 
Acha uongo Rais wa syria alisaidiwa na turkey mpaka sahivi anasaidiwa na turkey mbona unatunga uongo na mambo yako wazi

Kila kitu kibaya cha warabu anasukumiwa israel
 
Umeamia kwenye wingi tena mfano huo wingi wa wapalestina unawasaidia nini
Yaani Hamas ni magaidi lakini suluhisho ni ine state maana yake wapalestina wenye chuki na "magaidi" wanakuwa sehemu ya population ya Israel hauoni ni risk? Au wakiwa wengi kama kule Jordan huoni walivyotaka serikali iwe yao??
Ushindi wa dunia ya leo haupo kwenye wingi bali umewekezaje kwenye technologia unaweza ukawa na watu wengi vilaza
Idadi bado ina matter umeona Ukraine licha ya teknolojia ila bado wanasomba vijana kwa nguvu waende front. Mfano wapalestina million 14 wakiwa ndani ya Taifa la Israel wakaandamana au kuteka makazi ya wayahudi je hapo teknolojia itasaidiaje? Utapiga bomu gani hilo liwakwepe wayahudi alafu liwapige wapalestina peke yao?

Kama mtu ni mbaya solution ni kumtenga mbali ili umzuie asikuvamie na sio kumuingiza ndani ya mipaka yako. Wachambuzi uchwara wa jf hamuoni hiyo ni risk??
Uswisi ni ka-nchi kadogo sana na hakana madini ila hakuna nchi ya afrika inawazidi kwa gdp
Tunaongelea usalama hapa, na ndio maana kiusalama hao uswisi wako weak sana vita zote hizo walikua wanatekwa tu bila risasi kurushwa!!

Hivyo hoja bado ni kwamba ukiwa na wapalestina wengi kuliko waisrael ndani ya taifa moja ni risk ya MAPINDUZI.
 
Hao wafalme wengine waliotawala umewajua kupitia kitabu cha wayahudi biblia alafu unasema hapo sio kwao
Biblia kivipi si kuna vitabu vingi vya historia tu tokea enzi za Sumerian tablets au kulikuwepo na wayahudi enzi za Sargon of Akkad?

Kwenye biblia hakuna sehemu yoyote imeongelea ottomans ila history inawataja kutawala Israel at some point. Kwahiyo biblia haijawahi kuwa reference ya historia maana pia sio jukumu lake hilo na imeongelea miaka elfu 6 pekee wakati wanasayansi wamegundua civilization zenye miaka zaidi ya laki 2.

Anyway kuwa na biblia sio kigezo cha kujipa utawala maana kila anayetawala si anaandika historia yake sasa kipi kipya? Hata Iran imewahi tawala dunia yaani ulaya mashariki, Asia magharibi na Afrika kaskazini je leo wakienda kudai koloni lao la Israel watapewa?
 
Israel kuna warabu wapalestina million 1.8 wanauraia wa israel na wanatumia passport na wanamisikiti wanasali

Nimekuja gundua una chuki kali sana na israel na unapoletewa facts unahamisha magoli

Unashangaa wapalestina kuwa sehemu ya israel ila hujui kuna wapalestina million 1.8 wanaishi israel unasikitisha sana
 
Acha uongo Rais wa syria alisaidiwa na turkey mpaka sahivi anasaidiwa na turkey mbona unatunga uongo na mambo yako wazi

Kila kitu kibaya cha warabu anasukumiwa israel
Kwanini unapotosha wakati Trump mwenyewe amekiri ndio alimuweka madarakani na hata Israel ndio ilikua inalipua silaha za Assad ili achukue madaraka.

Hao Uturuki walikua wanapambana na Kurds pekee hasa SDF ambao ndio walikua wachukue serikali na kujitangazia eneo huru la Rojava.

Man we jamaa ni mweupe sana kwenye geopolitics za middle east.
 
Huyo suleman umemjua kupitia biblia
Biblia ndo kitabu pekee walioelezea historia ya lile eneo

Hao wengine wamekopy kwenye biblia mbona iko wazi
 
Israel wamuweke madarakani alafu ghafla waanze kumpiga mabomu tena na unaona ni sawa
 
Huyo suleman umemjua kupitia biblia
Biblia ndo kitabu pekee walioelezea historia ya lile eneo

Hao wengine wamekopy kwenye biblia mbona iko wazi
Duh we jamaa wa ajabu sana, reference nyingi hasa za Israel watu wanatumia historical figures wa kiyahudi kama Flavius Josephus aliyeandika kitabu cha Antiquties of the Jews miaka takribani 2000 iliyopita.

Kwa wanasayansi, Biblia ina mkanganyiko wa kihistoria mwingi sana kwahiyo naelewa ni kitabu cha kiroho zaidi ila sio kihistoria na uki cite biblia kwenye tafiti za kihistoria automatically inapigwa chini.

Hata hiyo biblia imechukua historia za maeneo mengine mfano Sumerian tablets mfano story ya Nuhu vs Utnapishtim/Gilgamesh.

Hata kwenye biblia unaona kuna reference ya vitabu vya waajemi na historia zingine nje ya bible. Kasome Ezra, Nehemiah na Esther. Mfano

Esta 10:2
[2]Na matendo yake yote yenye nguvu na ya ushujaa, na habari zote za ukuu wake Mordekai ambao alipewa na mfalme, hazikuandikwa katika kitabu-cha-taarifa cha wafalme wa Umedi na Uajemi?

Maandiko nayo hujui?? Hata historia ya Israel kwenye Bible imenakiliwa kutoka vitabu vya kihistoria vya wayahudi wenyewe na sio biblia kama biblia au hujui hata wayahudi hawatambui kuwa Yesu ameshakuja?
 
Israel wamuweke madarakani alafu ghafla waanze kumpiga mabomu tena na unaona ni sawa
Mbona kawaida hiyo, unamuweka mtu alafu unamdhoofisha ili asiwe tishio kwako. Tumeona DRC hao Rwanda walimuweka Kabila mkubwa, ila baada ya mwaka tu wakaanza kumpiga tena.

israel haiwezi kubali Syria imara hata siku moja maana ni tishio kwao same to uturuki, kama unadai imemsaidia Al Sharaa ila kila siku inarusha mabomu Syria kuepuka Wakurd kuwa na nguvu baada ya kushinda vita dhidi ya Al Assad.

Hata Taleban waliwekwa madarakani na USA ila baadaya miaka michache tu wakavamiwa na wafadhili wao
 
We hujitambui, kwahiyo ikiwa one state solution unajua kuna wapalestina wangapi Hapo Israel, Lebanon, Syria na Jordan hao wote wakiwa raia wa Israel unategemea hawatomezwa?
Ulivyo mjinga na mpumbavu unafikiri Israel atawachukua magaid wotei walioko Lebanob,Syria na Jordan!! Kitu ambacho kama Haiwezi kufanya!!

Wayahudi wanazaliana wachache kuliko wapalestina so hata ikiwa one state baada ya miaka 50 mbele itakua palestina ni wengi kuliko wayahudi na hapo hata mapinduzi yakifanyika yanatiki.
Ni kweli waarabu wanazaliana sana kwa sababu wao wanaabudu sana masuala ya Ngono kuliko chochote.!!

Sahau kabisa suala la wapalestina kuwa na nchi ukoo wote watakufa na hakutakuwa na nchi inayoitwa Palestina!!
 
Uharo wako huu hauweza kuwasaidia wapalestina kuwa ni nchi!!
 
Ulivyo mjinga na mpumbavu unafikiri Israel atawachukua magaid wotei walioko Lebanob,Syria na Jordan!! Kitu ambacho kama Haiwezi kufanya!!
Wale ni raia wa palestina na wanaishi huko kama wakimbizi tu!! Sasa kma one state solution itakataa wapalestina wengine inakua sio solution tena.

Sahau kabisa suala la wapalestina kuwa na nchi ukoo wote watakufa na hakutakuwa na nchi inayoitwa Palestina!!
Watakufaje? Uharibifu wote ule gaza mmeshindwa kumaliza hata 1% ya wapalestina ndio sembuse wote wafe?

Ni hivi bila uhuru wa palestina hakutowahi kuwepo amani Israel
 
Minaongelea israel unaleta habari za Trump
Israel anashambulia syria hata juzi ameshaishambulia sana mpaka turkey ametoa milio na kuitishia israel
Wewe umesema uturuki ndio walimuweka Al qaeda madarakani kitu ambacho ni uongo.

Kuhusu Israel kusaidi waasi wa syria mbona iko wazi. Tukuamini wewe wa kimara bonyokwa au media ya israel inayo cite credible media kma Wall Street journal na Washington Post
 
Israel kuna warabu wapalestina million 1.8 wanauraia wa israel na wanatumia passport na wanamisikiti wanasali
Unapotosha ni raia wa daraja la tatu, na misikiti mbona inachomwa kila siku na serikali imepiga marufuku wapalestina kusali Jerusalem

Tatizo lako umejaa propaganda ila hamna unalojua kuhusu mateso ya raia wa Israel wenye asili ya kiarabu.

Hata makazi yao hayana mahandaki na kombora zote za Iran zilizoelekea huko hasikuwa intercepted maana yake wao sio lolote sio chochote.

Na sio hao tu hata waethiopia waliojikuta wayahudi walipigwa sindano wawe hanithi je unazungumziaje hilo?
 
Daraja la tatu ndo nini

Hata Tanzania kuna matabaka hakuna isiyokuwa na matabaka kuna ambao wanaishi kigogo na wengine mbweni
Nchi zote duniani ziko hivyo

Wanaoifaidi Tanzania ni watu kutoka Asia au wazazi wao walikuja Tanzania zaman kutoka Asia hawa ndo wanaoifaidi Tanzania sasa unashangaa nini kwa israel
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…